Вы находитесь на странице: 1из 1

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA

TAARIFA KWA UMMA Wakati matengenezo ya kiufundi katika visima vya gesi vilivyopo katika kisiwa cha Songosongo, wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi yakiendelea na kusababisha upungufu wa umeme katika gridi ya taifa, Shirika la Umeme anzania ! "#$S%&', linawaomba wate(a wake wenye viwanda na migodi kusitisha matumizi ya umeme nyakati za usiku na kuendelea kutumia umeme nyakati za mchana tu ili umeme uweze kutosheleza wate(a wa ma(umbani katika kipindi cha usiku) *oezi hili ni la muda mfupi kuanzia sasa hadi #ovemba +,, mwaka huu ambapo matengenezo ya kiufundi katika visima hivyo vya gesi yatakuwa yamekamilika na umeme kure(ea katika hali ya kawaida) Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao(itokeza)

Imetolewa na:

OFISI YA UHUSIANO, TANESCO MAKAO MAKUU

Вам также может понравиться