Вы находитесь на странице: 1из 2

Mhe.

Dr Jakaya Mrisho Kikwete



Chama Cha Mapinduzi Tawi la Texas tunatoa pongezi zetu za dhati kwa
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dr Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutunukiwa tuzo ya mwana
demokrasia bora Afrika.
Tuzo hii ni ishara ya kutambuliwa na kuthaminiwa kwa mchango wa
Mhe. Rais na Watanzania wote kwa ujumla katika juhudi za kudumisha na
kuendeleza demokrasia barani Afrika, hii ni heshima ya kipekee kwa Rais
wetu na Watanzania wote.
Tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kukupa afya njema, hekima na
busara zaidi kuitumikia nchi yetu na Afrika kwa ujumla.

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Afrika

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Abdallah Nyangasa,
Katibu
Tawi la CCM Texas.

Вам также может понравиться