JESHI LA POLISI TANZANIA YAH: TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 06/08/20! Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu watano (5) kwa kuhusika na mauaji ya madereva wawili wa bodaboda kwa nyakati tofauti. Watuhumiwa watatu ambao ni A!" #$% !&!MA !W!'J! mweye umri wa miaka ()* Mka+uru* A'D,!A #$% MAJ-&% ./01-'D-A mwenye umri wa miaka (2* Mka+uru na 'A3A40 #$% MA-'1% MW01%! mwnye umri wa miaka (5* Mka+uru wote waka6i wa 1airo Mkoa wa Moro+oro ambao wanashikiliwa kwa tuhuma 6a kumwuua JA.4#%' #$% J%/' MA#A-#! tarehe )7$)8$()72 huko katika 4ijiji 9ha enjulu* &arafa ya Mlali Wilayani 4on+wa kisha ku9himba shimo na kumfukia na ku:ora :iki:iki yenye namba 6a usajili &. 582 ."/ aina ya ;!4%' :amoja na simu yake. Watuhumiwa hawa baada ya kukamatwa walikiri ni kweli walimkodi marehemu tarehe )7$)8$()72 na wakaenda kuonyesha walikofi9ha :iki:iki hiyo na simu huko 1airo. Mwili wa marehemu uli+undulika tarehe )7$)<$()72 na shoka walilotumia kum:i+analo ki9hwani lilikutwa :embeni ya sehemu wali:o mfukia marehemu. Watuhumiwa wen+ine ni A= #$% '-,D0' 0&!4-! mwenye umri wa miaka (5* Mran+i :amoja na /A0;A #$% J-MA M#AA mwenye umri wa miaka (<* Mran+i wote waka6i wa #waswa Dodoma Mjini na 4ondoa ambao wanatuhumiwa kumkodisha dereva wa bodaboda MA,&0' #$% >0.&%,= M4%,% mwenye umri wa miaka ((* Msandawe Mka6i wa 'jeden+wa tarehe (?$)8$()72* kisha kumuua kwa kumkata na kitu 9henye n9ha kali shin+oni na kumjeruhi sehemu mbalimbali 6a mwili kisha ku:ora :iki:iki yenye namba 6a usajili &. 888 .P, ambayo ili:atikana baadaye. &ukio hilo walilifanya katika eneo la 'jeden+wa karibu na makaburi ya .haduru. Watuhumiwa walikamatwa wakiwa huko 4idoka katika Wilaya ya .hemba wakiu6a :iki:iki nyin+ine yenye namba 6a usajili &. 58( ./; aina ya 3o@er wailiyoi:ora tarehe (8$)8$()72 na walikiri kumuua MA,&0' #$% >0.&%,= M4%,% :ia walifanya hivyo kwa sababu alikuwa anawafahamu ili asije akawasema lakini wakasahau kuwa mkono wa dola ni mrefu. Watuhumiwa hawa wanahojiwa :ia kwa matukio men+ine ambayo wamekiri kuhusika na u9hun+u6i ukikamilika watafikishwa mahakamani. Mtandao huu wa watuhumiwa hawa ume+undulika kutokana na ushirikiano m6uri wa wanan9hi. Polisi Mkoa wa Dodoma wanawashukuru sana wanan9hi kwa ushirikiano huo. &unatoa wito :ia kwa wahalifu kuwa uhalifu hauli:i hivyo wabadilike na kuwa wanan9hi wema wanao9hukia uhalifu.
Taarifa Ya Kamati Kufuatia Matokeo Ya Ukaguzi Maalum Wa Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Katika Akaunti Ya Tegeta Escrow Iliyokuwa Katika Benki Kuu Ya Tanzania