Вы находитесь на странице: 1из 5

KILIMO BORA CHA NYANYA

MAGONJWA NA WADUDU
Utangulizi
Nyanya ni zao la chakula na biashara. Kilimo cha zao hili hufanyika majira yote
(masika na kiangazi), na faida hupatikana haraka na ni ya kuridhisha ikilinganishwa
na mazao mengine. Pamoja na umuhimu wa zao hili, wadudu waharibifu na
magonjwa huathiri uzalishaji na ubora wa matunda. li mkulima aweze kupata faida
na kuongeza pato la kaya yake ni !ema kuzingatia udhibiti wa magonjwa na wadudu
wa zao hili. Kipeperushi hiki kinatoa maelezo ya udhibiti wa magonjwa na wadudu
muhimu ya zao la Nyanya.
MAGONJWA YA NYANYA
Bakajani chelea (Late blight)
"gonjwa huu huenenzwa na !imelea !ya fangasi. #usababishwa na hali ya hewa hasa
ya unye!unye!u, na huenezwa na upepo. $ajani, shina, matunda hushambuliwa.
$ajani huwa na ukungu mweupe na kiji!u, na baadaye hukauka. $atunda huwa na
mabaka ya kikahawia na baadaye kuoza. $ashina pia huwa na mabaka ya kikahawia.
U!hi"iti
Nyunyiza dawa ya kuzuia ukungu hasa wakati wa masika, %awa
zinazopendekezwa ni &idomil, %ithane '(, )ra!o, *unguran, milraz.
*anya mzunguko wa mazao. "sipande nyanya sehemu moja kila msimu au
palipolimwa mazao jamii ya nyanya km !iazi m!iringo, bilinganya, aina zote
za pilipili na nyanya chungu.
+umia mbegu safi
Panda aina za nyanya zinazo!umilia ugomjwa
Bakajani tangulia (Early blight)
#uenezwa na !imelea !ya fangasi. #usababishwa na kuenezwa na hali ya hewa
pamoja na mbegu zenye ugonjwa. $abaka ya kahawia yenye mistari ya m!iringo
huonekana kwenye majani na shina. )aka jeusi hutokea sehemu ya tunda
inayoshikana na kikonyo.
U!hi"iti
Nyunyiza dawa ya Kocide, *unguran
+eketeza mabaka ya mazao baada ya ku!una
+umia mbegu safi na bora
Mn#auk$ %u&a'i (Fusarium wilt)
#uenezwa na mbegu zenye ugonjwa. #usambazwa na !imelea !ya fungasi
!ina!yoishi kwenye udongo.
"gonjwa hujitokeza zaidi wakati wa kiangazi. ,imelea hushambulia sehemu au
mirija ya mmea ya kupitishia maji na chakula. $mea hukosa maji na chakula na
hatimaye hunyauka. -hina la mmea likipasuliwa ndani huonekana rangi ya kikahawia.
U!hi"iti
+umia mbegu safi na bora
+umia mzunguko wa mazao. Nyanya zisizungushwe na mazao jamii yake
+eketeza masalia ya mimea
www.ariuyole.go.tz
.homa kitalu cha nyanya kabla ya kusia mbegu
Mn#auk$ "acte'ia (Bacterial wilt)
"gonjwa husababishwa na !imelea !ya bacteria !ina!yoishi kwenye udongo.
#uenezwa na kusambazwa na mbegu na udongo wenye !imelea. $irija ya mimea ya
kupitishia maji na chakula hushambulia na mimea hunyauka ghafla. $mea hukauka
na kufa.
U!hi"iti
Panda mbegu safi
Panda nyanya sehemu ambayo haijawahi kupandwa !iazi m!iringo,
bilinganya au nyanya chungu
+umia mzunguko wa mazao
#akikisha mfereji wa maji ya kumwagilia hayapiti kwenye shamba lenye
historia ya ugonjwa huu.
.homa kitalu cha nyanya kabla ya kusia mbegu
Mn#auk$ (eti&ili )Verticillum wilt*
#akuna dawa inayozuia au kutibu ugonjwa huu kwa sasa. "gonjwa husababishwa na
ukungu (fangasi) kwenye udongo. "kungu huu huishi kwenye udongo kwa muda
mrefu bila kudhurika. "gonjwa huongezeka ikiwa mizimizi ya nyanya
imeshambuliwa na minyo fundo/ au kukiwepo na hali ya ubaridi au ukame. "gonjwa
husababisha hasara kubwa. "gonjwa hushambulia sehemu ya ndani ya shina na
kusababisha sehemu hiyo kuwa na rangi ya kiji!u. $ajani hugeuka njano na mimea
kunyauka na kufa.
U!hi"iti
+umia mzunguko wa mazao usiopungua miaka mine
0ndoa mabaki ya nyanya shambani
+umia mbegu bora na safi
Baka!$a (Bacterial spot)
"gonjwa huu huenezwa na !imelea !ya bacteria !ina!yoishi kwenye mbegu, pia
kwenye hewa. #uenezwa kwa kasi sana wakati wa masika. $adoa ya rangi kahawia
huonekana kwenye majani na matunda.
U!hi"iti
Panda mbegu bora na safi
+umia mzunguko wa mazao
+eketeza masalia ya mazao
Nyunyizia dawa ya funguran, Kocide121, .obo3, )ra!o
Mak$(u "akte'ia )Bacterial canker*
"gonjwa huenezwa na !imelea !ya bacteria !ina!yoishi kwenye mbegu na hewani.
#utokea zaidi wakati wa masika. $ajani hukauka nchani na mako!u yaliyodidimia
hutokea kwenye shina. $atunda huwa na mako!u yenye rangi ya kahawia sehemu ya
katikati.
U!hi"iti
+umia mbegu bora na safi
www.ariuyole.go.tz 4
+eketeza masalia ya mazao
+umia mzunguko wa mazao
Ra&ta (Yellow leaf curl)
"gonjwa huu husababishwa na !irusi na huenezwa na nzi wadogo weupe. #utokea
zaidi wakati wa kiangazi. $imea hudumaa na majani yaliyoshambuliwa huwa na
rangi ya manjano na pengine rangi ya zambarau. Nyanya hupasuka.
U!hi"iti
Nyunyiza dawa za sumu za kuua wadudu (-elecron, %ursburn, 5ctelic)
Ng6oa mimea yenye ugonjwa
+umia mzunguko wa mazao
7eka shamba katika hali ya usafi
Bat$"at$ (Tomato mosaic virus)
"gonjwa husababishwa na !irusi na hueezwa na mbegu na kugusana. $ajani huwa na
mchanganyiko wa rangi hasa kijani kibichi na kijani kilichofifia (majano). $ajani
hujikunja na manjani machanga huwa na maumbile yasiyo kawaida. "kifikisha jani
huwa lina!injika!unjika.
U!hi"iti
+umia mbegu bora na safi
Ng6oa mimea iliyoshambuliwa
+eketeza masalia ya mazao
7eka shamba katika hali ya usafi
WADUDU WAHARIBI+U
,ia(i Matun!a (Fruit worm)
,iwa!i hawa hutokana na wadudu nondo. ,iwa!i hutoboa matunda na kuacha
matundu na hatimaye matunda huoza. #upunguza ubora wa matunda.
U!hi"iti
Nyunyizia dawa ya kuua wadudu. %awa hizo ni pamoja na 5ctelic (28., -electron,
%ursbaan, $aji ya majani ya mwarobaini au utupa pia huua wadudu.
Utiti'i ekun!u (Red pider mites)
#awa ni wadudu wekundu, wadogo sana wanaoweka utando chini ya majani, hasa
wakati wa kiangazi. 7adudu hawa hufyonza utom!u kwenye majani na kusababisha
majani kukauka.
U!hi"iti
Nyunyizia dawa za sumu. %awa hizo ni pamoja na 5ctellic, -elecron,
%ursbarn na +hione3
$wagilia maji mara kwa mara
7eka shamba katika hali ya usafi
www.ariuyole.go.tz 9
Inzi eu-e (!hite flies)
#awa ni nzi weupe wadogo sana. #ujitokeza sana wakati wa kiangazi. #ueneza
ugonjwa wa !irusi ujulikanao kama &asta.
U!hi"iti
Nyunyizia dawa za sumu za kuulia wadudu kama -elecron, 5ctellic, %ursban na
thione3. Pia maji ya majani ya mwarobaini na utupa.
,i!uka'i au Wa!u!u .a%uta ("phids)
Ni wadudu wenye rangi nyeusi au kuijani au kahawia. #ukaa chini ya majani na
kufyonza utom!u kwenye majani machanga. #udumaza mmea na kushindwa kuzaa
matunda
U!hi"iti
Nyunyizia dawa za sumu za kuulia wadudu kama &ogor, 5ctellic, -elecron, %ursban
maji ya majani ya mwarobaini na utupa, maji ya pilipili.
Min#$$ (#ematodes)
Ni minyoo midogomidogo ambayo hushambulia mizizi na kuweka !ifundo. $izizi
hushindwa kuchukua maji na chakula kwenye udongo. $imea hudumaa na
kushindwa kuzaa
U!hi"iti
+umia mzunguko wa mazao
.homa udongo wa kitalu kabla ya kusia mbegu kwa kutumia karatasi la
plastiki jeusi na nishati ya jua
.homa masalia ya mazao
/$ta )$utworms*
#ushambulia miche ya nyanya hasa baada ya kupandikizwa shambani. 7akati wa
mchana hujificha kwenye udongo na usiku hujitokeza na kukata miche kwenye shina
usawa wa udongo.
U!hi"iti
Nyunyiza dawa za kuua wadudu kwenye shina usawa wa udongo
#akikisha miche inapata maji ya kutosha.
Ki.et$lea na0
+aasisi ya "tafiti Kilimo "yole,
Kitengo cha $boga na $atunda
-.:.P.'22
MB1YA2 3AN4ANIA
-imu; 24( < 4(129=9
*a3; 24( < 4(122=(
8>mail;ariuyole?iwayafrica.com
7eb; www.ariuyole.go.tz
www.ariuyole.go.tz '
www.ariuyole.go.tz (

Вам также может понравиться