You are on page 1of 1

Wavulana na Vyura (The Boys and the Frogs)

Wavulana na Vyura
Walikuwa wavulana wakicheza kando la ziwa. Mchezo wao ndio kutupa
mawe majini, hivyo wakaumiza sana vyura viliomo ziwani. Mwishoni, chura
mmoja, hodari kuliko wenzake, akainua kichwa chake ziwani akasema, Ee,
wangwana rafiki zangu, acheni, nawasihi, kwani mchezo wenu ni mauti
yetu.
The Boys and the Frogs
There were boys playing playing by the lake. Their game involved throwing
stones into the water and as a result hurt the frogs that were in the lake.
Finally, one frog, braver than the others, lifted up his head out of the lake
and said. "Hey, my beloved friends, stop, I beg you, because your game is
our death!"
Ziwa
Jiwe (pl.
Mawe)
Chura
Mauti

Lake
Stone
Frog
Death