Вы находитесь на странице: 1из 3

From Mange Mange kimambi_

"Baada ya kusoma posti ya Idris all I can say is Pole


mdogo wangu.
Kama hukuwa na mimba kama wasio kupenda wanavyodai
au kama kweli ulikuwa nayo ni wewe, Idris na Mungu
mnaeujua ukweli. Wanawake wengi mno wanapata
miscarrage especially mimba ya kwanza, ila kwako wewe
lazma waseme ulikuwa unatafuta Kiki. Like is said ukweli
mnaujua wenyewe.
Wema wewe sio mtu kuchukua ushauri ila this time
naomba uchukue ushauri wangu pls. Theres a reason why
wanawake huwa wanaambiwa hata na madoctor
wasitangaze mimba mpaka ipite 4 months and thats
because mimba chini ya miezi minne inaweza kutoka
anytime. Hata dadako hapa huwa nakuwa na kiherehere
cha kutangaza kwenye blog nna mimba ila huwa najikaza
mpaka niingie 2nd trimester.
Next time news kama hizi only share with your mom na
dada zako not marafiki . Kumbuka hizi habari zilianza
kutanganzwa na marafiki zako , i think baada ya hapo na
wewe ndo ukapata mshawasha wa kutangaza. Hao sio
rafiki zako Wema hakuna rafiki anaweza kumtangazia rafiki
yake anaempenda kimimba cha mienzi miwili ,huo ni
wakati wa kuomba kwa Mungu mimba ikue na ikomae na
sio muda wa kutangazia wajinga. Mimi personally nilitaka
hata kulia ulipotangaza but it was too late.
Another thing Wema, hivi kwanini unakubali kuwa
pressured na wajinga wa social media kuzaa when you are
not ready??? The pressure is getting to you Wema. Mbali
na familia yako ni mimi peke yangu ndo ninae jua umri
wako Wema, Wema huna hata 26 years we mtoto. toka lini

mtu mdogo hivyo akawa classified as tasa??? Why


unakubali kupewa pressure uzae ukiwa mdogo hivi? hata
kuolewa hujaolewa?? Achana nao mdogo wangu, acha
waongeee midomo mali yako. Subiri uolewe ndo uzae
,hujawahi hata kuishi na mwanaume for more than a year
why uitwe tasa na wewe uanze kupata mshawasha wa
kubeba mimba? Achana na hao wapuuzi. Mwishowe uje
kuzaa mtoto while you are not ready au uzae na mtu huna
mpango wa kuishi nae kisa tu uwakomeshe hawa wajinga
wa kwenye mitandao. utajikomesha mwenyewe. Please
dont succumb to the pressure. You are way too young.
Wanakushindanisha na wanawake ambao unatakiwa
uwaamkie tena kwa kupiga goti na wewe unakubali
kabisaaa. Kuzaa wanazaa mpaka panya when the time is
right utazaa.
Another thing, don't succumb to the pressure ya maisha ya
ex wako. Kama Kweli uliwahi kumpenda be happy for him
that he is happy! That's what love is! Na wewe you will be
happy. Usipewe pressure na hawa mbwa wa kwenye
mitandao kuwa your ex is happy with so and so mpaka Na
wewe uwe Na pressure ya kuwa na Mtu. Au kukufanya Na
wewe uanze kuonyesha uko in love na Mtu. You are a
beautiful woman you can pull any man you want. Take your
time pls! Hawa mbwa wa kwneye mitandao wanaweza
kukufanya ukaharibu Maisha yako ili uwa prove wrong.
Achana nao. .
Listen everything happens for a reason. Kuna Sababu
maalum why wewe Na Diamond hamko pamoja and that's
because kuna mwanaume Mungu amekupangia. Labda
ushakutana nae maybe not but yupo wa kwako.

Mi Naomba uwe Kama Beyonc , her love life is soooooo


private Mpaka haters wanakosaga cha kusema. Be private
na wanaume maboyfriend and so forth. Ukiolewa Au
ukichumbiwa ruksa kumtangaza mumeo. But before that
be careful Maana mkiachana watu wanakuwa wana vitu vya
kuku sema.Don't succumb to the pressure ya
kushindanishwa na ex wako. Yani watu wanawafanya
Kama wajinga, wanawashindanisha daily waone mtaishia
wapi Na nyie mnawapa faida.All those videos ulikuwa
unaweka snap chat of you and Idriss baadae zitakuja
kukuhaunt, there is no need. Usishindane nao. Acha
waweke video zao za kihindi and so forth wewe keep your
love life private , utaona faida yake baadae. Acha waje
kushtukia Wema anaolewa na mimba ya miezi 9 juu Wabaki
wametoa macho. Au washtukie umeshazaaa kabisa
waseme umeiba mtoto
Please achana na hawa marafiki Wema. Kama iki work out
with Idris good for you, if not nakushauri tafuta mwanaume
ambae hayuko hata Instagram au social media plssss ili
akuongoze vizuri. Find a guy mwenye Maisha tofauti
kabisa na ya kwako. Mkaka flani meneja wa benki Huyo
ndo atakubadilisha completely but these guys wa kwenye
mitandao Kama wewe issue itakuwa pale pale. Like
ungekuwa Na mkaka wa benki huko kwanza hata Ile
interview ya clouds angekukimbizaaaa angekuchapa vibao
kabla hata hujatangaza hiyo mimba

Вам также может понравиться