Академический Документы
Профессиональный Документы
Культура Документы
com
Sauti ya Waislamu
ISSN 0856 - 3861 Na. 1229 SHAABAN 1437, IJUMAA , MEI 13-19, 2016 BEI TShs 800/=, Kshs 50/=
Kensa inatibika
UGONJWA wa
saratani unaua wastani
wa watu milioni 8.2
duniani kote kwa
mwaka!
Inakisiwa kuwa hadi
kufikia mwaka 2030,
vifo vinavyotokana na
saratani vitaongezeka
hadi kufikia watu
milioni 13 kwa mwaka!
Hali iko hivyo kwa
sababu kuna imani
imejengwa kwa
Soma: Uk. 4
AN-NUUR
Suratu An-faal:44
Na lau wangeendelea
Waislamu katika
kuwaona maadui
zao kuwa wachache,
wangewadharau.
Wasingewachukua
machukizo ya jitihada
kwa sababu binadamu,
kwa sababu ya mazoea,
huwa anausahau
msaada wa Mwenyezi
Mungu katika nyakati
Fethullah-Gulen
za raha na utulivu.
Ni jambo lenye
KUMBUKENI wakati faida hapa kulielezea
aliyewaonyesha
jambo jengine. Nalo
ni wao maadui
ni kwamba malaika
wakati mlipokutana
ambao walipelekwa
katika macho yenu
kwa ajili ya kutoa
kuwa wachache na
msaada katika vita vya
anawaonyesha nyingi
Badr, hawakupigana
kuwa wachache katika upiganaji wa binadamu
macho yao ili atimize
kwa sababu wao
Mwenyezi Mungu
walipelekwa kwa ajili
jambo ambalo lilikuwa ya kuuvunja moyo
ni lenye kutendeka.
upande wa maadui
[AL-ANFAAL 44]
na kuupa nguvu
Jambo hili lilitokea
moyo wa waumini.
katika vita vya Badr.
Na lau wangeshiriki
Wale ambao walishiriki Malaika katika vita
katika Waislamu katika kushiriki kwa vitendo,
vita hivi hawakuwa
ulimwengu wa
mpaka siku hiyo
sababu ungeharibika
wameshuhudia vita vya na kusingekuwa
hakika. Na kunapasa
kunapatikana kwa mtu
kutosahau kwamba
yeyote kufikia kwenye
wao wakati walipotoka daraja la mpiganaji
Madina, haikuwa niya
na huimaliza
yao kuingia katika
wategemezi msaada wa
vita, bali kufuatilia
Mwenyezi Mungu na
msafara wa kibiashara. uangalizi wake. Ama
Kwa msingi huu,
msaada wa Mwenyezi
(ilitarajiwa) Waislamu
Mungu katika dunia
wangetishika.
hii, ambayo ni nyumba
Isipokuwa wakati vita
ya majaribio, msaada
vilipoanza na kukawa
huo unakuja chini ya
hakuna nafasi yoyote
kifuniko na chini ya
ya kujilinganisha,
pazia.
Mwenyezi Mungu
Kwa hakika
aliwaonyesha hali ya
kuonyesha Mwenyezi
uhakika ya maadui
Mungu idadi ya
zao ili wategemee juu
mushirikina kuwa
ya Mwenyezi Mungu
wachache katika
pekee na wakimbilie
macho ya Waislamu,
kwenye msaada wake.
kabla ya kuanza vita
na kupamba moto
kwake, kulikuwa kwa
ajili ya kuzima kuzuka
kwa ukataji tamaa
wowote katika nyoyo
(za Waislamu) na
vile vile kuhakikisha
matayarisho ya kiroho
na shauku ya kiroho
kwa ajili ya kupata
shahada katika
nyoyo. Ulikuwa huu
ndiyo msaada wa
kwanza wa Mwenyezi
Mungu, na rehma ya
Mwenyezi Mungu
ya kwanza kama
ambavyo kulikuwa
kuifanya chache
idadi ya Waislamu
katika macho ya
maadui kulikuwa
ni namna nyingine
ya msaasda wa
Mwenyezi Mungu.
Kwa utaratibu
huo tu, kulikuwa
wepesi kuwatumia
maswahaba
wa mjumbe wa
Mwenyezi Mungu
(s.a.w.) ili kufikia
matakwa ya
Mwenyezi Mungu.
Mwandamo wa mwezi
Leo ni Tarehe 6 Shaaban mwaka 1437 AH, sawa na tarehe 13 May,
2016. Tarehe 6 June tunategemea kuangalia mwezi kwa Ramadhan na
Tarehe 7 June 2016 tukijaaliwa tutaanza Ramadhan Rasmi. Kutokea
hii leo Ijumaa ya tarehe 6 May 2016 hadi kufika kuanza mfungo wa
Ramadhani tumebakisha siku 24.
12:25
7:30
8:9
7:22
50:34
914
114
22
49:6
MASUALA NA JAWABU
1. Itaje Sura ipi na aya ya ngapi? Na wote wawili wakakimbilia mlangoni, na
mwanamke akairarua kanzu yake Yusuf kwa nyuma. Na wakamkuta bwana wake
mlangoni. Mwanamke akasema: Hapana malipo ya mwenye kutaka kumfanyia maovu
mkeo isipo kuwa kufungwa au kupewa adhabu chungu. Jawabu : 12 :25
2. Itaje Sura ipi na Aya yangapi? Enyi mlio amini! Akikujieni mpotovu na khabari
yoyote, ichunguzeni, msije mkawasibu watu kwa kuto jua, na mkawa tena wenye
kujuta kwa mliyo yatenda. Jawabu : 49 :6
3. Itaje Sura na Aya ya ngapi (Ataambiwa) ingieni kwa salama. Hiyo ndiyo siku
ya daima dawamu Jawabu : 50 :34
4. Zipo Sura ngapi katika Quran? Jawabu : 114
5. Zeynab, Rukaya, Ummul Kulthum, Fatma hawa ni akina nani? Jawabu : Watoto
Mtume SAW
6. Kipando cha mnyama aliompanda Mtume Muhammad (SAW) katika safari ya
Miraj anaitwaje? Jawabu : Buraq
7. Vitabu vitukufu waliopewa Mitume ni Taurat, Zaboor, Injeel na .. Jawabu
: Quran
8. Surat Al Faatiha ina aya ngapi? Jawabu : 7
9. Unaposhukuru unatakiwa useme kalima gani? Jawabu : Alhamdulillahi
10. Kitabu cha Injeel kateremshiwa Mtume yupi? Jawabu : Issa
CHEMSHA BONGO: 51
Weka duara kwenye jawabu ilio sawa. Jawabu kamili wiki ijayo.
D
14:2
IU
42
555
224
5:1
47:1
3:2
6:5
14:2
MASAUALA
1. Sura ipi na aya ya ngapi isemayo Ambaye anao ufalme wa mbingu na ardhi; na
Mwenyezi Mungu ni shaahidi wa kila kitu.
2. Sura ipi na aya ya ngapi isemayo Walio kufuru na wakazuilia njia ya Mwenyezi
Mungu, Yeye atavipotoa vitendo vyao.
3. Sura ipi na aya ya ngapi isemayo Na Shet'ani atasema itapo katwa hukumu:
Hakika Mwenyezi Mungu alikuahidini ahadi ya kweli. Nami nalikuahidini; lakini
sikukutimizieni. Na sikuwa na mamlaka juu yenu, isipo kuwa nilikuiteni, nanyi
mkaniitikia. Basi msinilaumu mimi, bali jilaumuni wenyewe. Mimi siwezi kuwa
mtetezi wenu, wala nyinyi hamwezi kuwa watetezi wangu. Hakika mimi nilikataa
tangu zamani kunishirikisha na Mwenyezi Mungu. Hakika madhaalimu watakuwa
na adhabu chungu.
4. Mtume yupi aliotumwa kuwa Rehma kwa Ulimwengu, Issa, Mussa Muhammad
(SAW)?
5. Taja jina la Mtume aliozaliwa kimiujiza pale mama yake hakukutana na
mwanamume? Mussa, Issa, Nuh.
6. Ashabul Kahf-Watu wa pangoni walifwatana na mnyama gani?
7. Lini Uislamu ulianza? Wakati wa Mtume Nuh, Adam, Ebrahim?
8. Kalenda ya Kiislamu huitwa kwa jina gani?
9. Mwezi upi uliokatikati baina ya Rajab na Ramadhani?
10. Itaje Miezi 4 Mitukufu iliotajwa katika Quran.
Jee Unajua?
1. Kati ya nchi zinazoongoza ujenzi wa Meli katika zama hizi ni Japan, Korea ya
Kusini na China: https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_the_largest_shipbuilding_
companies na http://www.bloomberg.com/news/articles/2015-07-29/world-s-top-3shipbuilders-post-record-loss-on-deep-sea-failures
2. Mwaka wa wa 2015, Toyota iliuza magari 1,339,024 ikiwa ndio kampuni iliouza
magari mengi kwa wakati mmoja katika mwaka huo: http://driving.ca/toyota/corolla/
auto-news/news/the-top-10-best-selling-cars-in-the-world-for-2015
3. Kati ya ndege za abiria 10 ambazo zina uwezo ya kubeba abiria wengi na kusafiri
kutoka kona moja ya Ulimwengu na kwenda nchi nyengine ni Airbus A380-800: http://
www.aviationcv.com/aviation-blog/2015/top-10-largest-passenger-aircraft-in-the-world
4. Kati ya ndege zinazoongoza kufanya ajali na ukiipanda inakuwa roho mkononi
ni ndege iliundwa katika nchi iliokuwa ikiitwa Czechoslovakia katika miaka ya 1970.:
http://www.therichest.com/rich-list/most-shocking/top-10-most-dangerous-passengerplanes-currently-in-service/?view=all
5. Mji wa Hon Kong ndio wenye majengo yenye urefu mkubwa ukiwa na majengo
314 ukifwatiwa na Mji wa New York wenye majengo 240: https://en.wikipedia.org/wiki/
List_of_cities_with_the_most_skyscrapers na http://list25.com/25-cities-in-the-worldwith-the-most-skyscrapers/5/
6. Nchi zenye vijana wengi katika idadi ya watu duniani kwa asimila ya jumla watu
waliopo wapo katika bara la Africa, nchi yenye vijana wengi kwa asilimia ni TimorLaste asilimia 68.892, Uganda asilimia 68.729, Chad asilimia 68.528, Niger asilimia
67.631, Afghanistan asilimia 67.512, Angola asilimia 67.038, Somalia asilimia 66.742,
Zambia asilimia 66.378, Mali asilimia 66.268, Malawi asilimia 66.093: http://passblue.
com/2015/02/10/the-top-10-youngest-nations-by-population-theyre-mainly-in-africa/
7. India ndio nchi namba moja kuwa na idadi kubwa ya vijana ikiwa ana vijana
356 milioni kati ya umri wa miaka 10 na 24: http://articles.economictimes.indiatimes.
com/2014-11-18/news/56221890_1_demographic-dividend-youth-populationosotimehin
(Kutokana na kutokuwa na wasomaji wengi katika Ukumbi wa Uwanja wa
Maarifa na kutopata majibu ya kuuboresha huu wa Uwanja wa Maarifa, tunafikiria
kuanzisha ukumbi mwengine, tuma barua pepe zuwarde@gmail.com au ujumbe
mfupi kupitia simu 0777436949 unahisi kipi kiwe mbadala wake?)
3
Na Mwandishi Wetu
KINGORA cha hatari kimelia.
Tunaambiwa kimeta kinakuja.
Kitaanzia Nairobi, Kampala
na kuikumba Afrika Mashariki
nzima na majirani zao.
Kenyan authorities claim to
have foiled potential bio-terror
attack.-By Robyn Kriel and Briana
Duggan (CNN)
'Large-scale' ISIS anthrax attack
is foiled by police: Three people 'who
plotted biological attack in Kenya'
are arrested
*Married couple and woman
arrested in Kenya over anthrax
attack plot
*All three are 'part of an ISISlinked East Africa terror group
network'
*Accused of planning 'largescale' and 'biological' attacks in
Kenya.
ISIS In Kenya: Police Foil
Alleged Anthrax Attack By Islamic
State Group-Linked Medics.
Kenyan police bust ISIS cell
plotting large-scale biological attack.
Kenyan police foil planned Isis
anthrax attack on westerners and
locals in Nairobi.
Hivyo ni baadhi ya vichwa
vya habari vilivyopamba
vyombo vya habari vya
kimataifa juu ya balaa hilo.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi
ya Polisi wa Kenya, wanaoleta
balaa hilo ni wananchi wenzetu,
wana Afrika Mashariki wenzetu.
Mkuu wa Jeshi la Polisi
Kenya, Inspector General Joseph
Boinnet, anasema kuwa, wanaAfrika Mashariki wenzetu hao,
wameamua kutusaliti baada ya
kujiunga na kundi la Islamic
State.
Taarifa kama hiyo imetolewa
pia na Polisi Uganda na kudai
kuwa tayari wamekamata
watuhumiwa kadhaa huku
wengine bado wakisakwa.
Waliokamatwa ni mwanafunzi
wa Shahada ya udakitari
(Degree) Mohammed Abdi Ali,
ambaye alikuwa akikamilisha
mafunzo yake katika hospitali ya
Wote (Wote Hospital, Makueni
County, Kenya.) na mkewe
aliyefahamika kwa jina la
Nuseiba Mohammed Haji.
Nuseiba ambaye ni
mwanafunzi katika Chuo
Kikuu- Kampala International
University, alikamatwa pamoja
na rafiki yake anayeitwa Fatuma
Mohammed Hanshi.
Taarifa zaidi zinafahamisha
kuwa wakati Mohammed Abdi
Ali alikamatiwa Kenya, Fatuma
Mohammed Hanshi na Nuseiba
Mohammed Haji, walikamatwa
wakiwa chuoni Kampala. Wote
walikamatwa Ijumaa iliyopita.
Wakati Polisi wa Uganda
wakisema kuwa wamemkamata
Nuseiba Mohammed Haji na
Fatuma Mohammed Hanshi
wakipanga kufanya shambulio
la kigaidi la kimeta (anthrax)
ndani ya Kampala, Kenya nao
Habari
AN-NUUR
Na Bakari Mwakangwale
Tahariri/Habari
AN-NUUR
baada ya kutolewa
taarifa kwamba Abdul
Nadir Mumin ameingia
kuanzisha kundi la
ISIS Afrika Mashariki,
imefuatia taarifa kwamba
wamekamatwa magaidi
wa IS wakipanga
shambulio la kigaidi kwa
kutumia kimeta Afrika
Mashariki. Watuhumiwa
hao wamekamatwa
Kenya na Uganda.
Taarifa hizo zikapewa
umuhimu mkubwa sana
na kushereheshwa sana
na vyombo vya habari
vikubwa vya Marekani
na Ulaya yote, mapema
wiki iliyopita, huku
wakikumbushia ya
Westgate.
Taarifa yenyewe
ni kuwa Mohammed
Abdi Ali, mwanafunzi
wa digree ya udakitari
na mkewe Nuseiba
Mohammed Haji,
wanapanga kuishambulia
Afrika Mashariki kwa
kimeta (anthrax).
Inavyoelekea, kama
lilivyo lile la Dar Live,
na mengine kama hayo,
inawezekana hata
hatuna habari kwamba
kuna taarifa kama hizo
zinavuma duniani. Na
hata waliosikia, wala
haiwashughulishi. Lakini
uzoefu unatuonyesha
kuwa, haya mambo
hayaji tu kama habari za
kupita njia. Huwa zina
kawaida ya kufuatana na
matukio makubwa.
Kule Marekani ilikuwa
tishio la ugaidi wa kimeta
lililoleta USAPATRIOT
Act iliyokuja mpaka
huku kwetu. Lakini
ndiyo pia iliyotumika
kumuunganisha Saddam
Hussein na Al-Qaida.
Tujiulize yupo wapi
Saddam! Ipo wapi Iraq
tuliyokuwa tukiifahamu!.
Lakini isisahaulike
kwamba kabla ya kuja
Patriot Act, wapo watu
waliokufa ili kujenga
hoja kuwa kitisho
hicho cha ugaidi;
hakiwezi kufumbiwa
macho. Lazima hatua
zichukuliwe.
Tunajua hadi sasa
yameshaandikwa mengi
kutizama ukweli na
uwongo wa madai yale
ya ugaidi wa kimeta na
uhusika wa Al-Qaida
na Saddam Hussein.
Na kubwa katika
yote yaliyofanyika, ni
kutizama, kitaalamu nini
kimeta, kinasambazajwe
na uwezekano wa Al-
AN-NUUR
Mbunge Konde
Inatoka Uk. 3
Hayo yamebainishwa
na Mh. Tundu Lissu,
akiwasilisha hotuba
ya Kambi ya Upinzani
Bungeni Mjini Dodoma,
akizungumzia suala la
Muungano na matatizo
ya Kisiasa ya mara kwa
mara na kuonekana kama
kero tokea kuundwa kwa
Muungano huo mwaka
1964.
Mh. Lissu, akigusia
kadhia ya hivi karibuni
ya kufutwa na kurudiwa
kwa uchaguzi Mkuu
Visiwani Zanzibar,
(2015/2016) alisema
tatizo sugu ni mfumo wa
Muungano ambao hautoi
uhuru wa kidemokrasia
kwa Wazanzibar.
Tatizo la msingi ni
ukoloni wa Tanganyika
kwa Zanzibar, ambao
umevikwa joho la
Muungano. Bila kulivua
joho hilo na kulishona
lingine na kupatikana
mbadala wa lililopo,
Zanzibar haitokuwa
huru. Amesema Mh.
Lissu.
Alisema, katika
mazingira kama
yaliyotokea katika
Uchaguzi uliopita na
kupelekea kufutwa,
tatizo la msingi sio Jecha
TANGAZO
AN-NUUR
Orodha ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha TANO 2016/2017 katika shule za IPC
1.
A : WAVULANA
NA.
JINA TAHASUSI
MAHALI
1
ABDALLAH HASSAN MAKOSA
HKL MASASI
2
AHMED MOHAMED NEMBO
HGK YOMBO
3
AL-AMIN ABUBAKAR YUNUS
HGL MAGOMENI DSM
4
HAFIDH SALUM SAID
CBG SUMBAWANGA
5
HAMADIBAKARI MTAYA CBG
TANGA
6
HAMZA MUSTAFA NGOPE
HGL ILALA
7
HASSAN HASHIMU KOMBO
HGE ZANZIBAR
8
HATIBU MBWANA MOHAMED
ECA KIMARA
9
ISIHAKA JUMA MTIGO
PCB SINGIDA
10 ISSA ABDULRAHMAN MILINGA
ECA MBAGALA
11 MNAVA MAULID NGAVA
HKL DODOMA
12 MWALIMU H. MWALIMU
PCB MBAGALA -DSM
13
RAMADHAN ALI NIHUKA CBG
UTETE-RUFIJI
14 RAMADHANI FIKIRINI MAKARANI
HGE MANYUMBU
15 SAID SULEIMAN JUMA
CBG WETE-PEMBA
16 YUNUS YUSUPH MASUDI
PCB BUGURUNI
17 ZAMAKHSHAR AHMAD ZUBEIR
PCB DODOMA
B : WASICHANA
NA. JINA
TAHASUSI MAHALI
1
ABINASA MASOUD SAID
CBG DSM
2
AISHA HUSSEIN SAKI
HKL DODOMA
3
AMINA ABDALLAH HAMAD
HKL CHANIKA DSM
4
ASIA KHALID JUMA
PCB KITETO-MANYARA
5
ASIA OMARI KILIMA
HGE DSM
6
DORIS HOPE JAFFAR
ECA MBAGALA
7
FATHIYA MASOUD NASSOR
HKL DSM
8
HALIMA KARIM BABLIA
PCB TEMEKE DSM
9
KULUTHUM ALLY SALUM C
CBG DSM
10 MAIMUNA HASSAN SHEKHE
HGL TANDALE DSM
11 NADYA NASIB ABEID
PCB BOKO DSM
12 NASRA SALUM NDIVATA
HKL MASASI
13 PHIRDAUS NURDIN SALUM
HKL G/MBOTO DSM
14 RAHMA ALLY JOBBE
HKL MBAGALA DSM
15 RAHMA NASSOR KIKUMBIH
CBG BOKO DSM
16 RAHMA SHAALI AMME
CBG MAGOMENI DSM
17 SAADA AHMED SAID
ECA SUMBAWANGA
18 SAMIA ALLY MALIBICHE
CBG MBEZI DSM
19 SHAZMA MOHAMED EBRAHIM
ECA DODOMA
20 ZULFA RAJUN KISAVULI
HGE MOROGORO
21 LEILA JUMA LILOKA
HGL KIBAMBA DSM
22 AZIZA SEKRO MWIJUMA
HKL MWANGA
23
HADIJA M.DAUDI HKL
DSM
24 ASMA MUHIDIN NKYA
HGK
2. NYASAKA ISLAMIC SEC SC.- MWANZA
A : WAVULANA
NA.
JINA KAMILI TAHASUSI
MAHALI
1
HAJI ABINNUR SHAWEJI PCB KILWA
2
SIRAJI RAMADHAN KISHOKA
PCB
TABATA
3
HAJI KUPAZA SHAFII
EGM
DSM
4
ATHUMANI SHABANI ATHUMANI HKL
TABORA
5
MUKHTAR H KASSIM
HGL
MWANZA
6
IBRAHIM A ALLY PCB KIGOMA
7
HAFSA KHAMIS HKL MWANZA
B : WASICHANA
JINA KAMILI
TAHASUSI
MAHALI
1
AFRAH SULEIMAN KLA BUNDA
2
AMINA ALLY NANGAY
HGK
KATESH
3
FARAJA SALIM ABDUL HKL MKURANGA
4
JOKHARI ADAM NASSIB
PGM
KIGOMA
5
MWAJUMA MUSTAFA HKL SHINYANGA
6
RAMLA HAMISI NTANDU
CBG
SINGIDA
7
SADA TWAHA OMARY PCB KOROGWE
8
ZAINAB MINIHAJI SAID
HKL
BUNDA
9
TATU KABAJU CBG KIGOMA
10 ZULEHIA H. QASSIM
CBG
MWANZA
Makala/Tangazo
AN-NUUR
Orodha ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha TANO 2016/2017 katika shule za IPC
Yanatoka Uk. 5
11 FATMA ALI SALUM
CBG ZANZIBAR
12 FATMA JUMA BAKARY
ECA TABATA DSM
13 FATMA TWAIRAN SAID
HGE SEGEREA DSM
14 FATUMA ATHUMANI ALFANI
EGM PUGU-DSM
15 FATUMA HAIDARY AZIZ
HKL
DSM
16 FAUDHIA HAROUN
HGL BUZA-DSM
17 HADIJA MALIKI MSUYA
CBG MOSHI
18 HADIJA SALUM MYOWELA
PCB LINDI
19 HADIJA ZUBERI NJAKILAYE
PCB KISARAWE
20 HAJATH RASHID URASSA
ECA KIGOGO DSM
21 HANIPHER IDRISSA MAWAZO HGE MBEYA
22 HAWA SAID KALENGE
CBG MTWARA
23 HUSNA MIRAJI ABDALLAH
HGL KAHAMA
24 JOHARI MASOUD MWINYI
HKL MOROGORO
25 JULAYLA ABDUL-WAHAB
HGL MBANDE- DSM
26 JUNAYNA ABDUL-WAHAB
HGK MBANDE- DSM
27 KHAYRAT MOHAMED ALLY
CBG TEMEKE- DSM
28
LAILAT J.JUMA HGK
BAGAMOYO
29 LATIFA ABUBAKAR UMBE
CBG KINYEREZI
30 LATIFA MBARAKA BYARUSHENGO PCB DSM
31 MARIAM R MASOUD
PCB GEITA
32 MARIAM SHAFII HUSSEIN
PCB KINYEREZI- DSM
33 MARYAM ABDUL MBOKELE
ECA DAR ES SALAAM
34 MAUA JUMA NASSOR
HKL DSM
35 MWAJUMA ABDILLAH SALIM
HGE MOSHI
36 MWAJUMA OMAR MOHAMED
HGL MOROGORO
37 MWANAHAMIS R MSUYA ECA SAME
38 MWANAHAMISI MOHAMEDI
ECA SINZA DSM
39 MWANAHAMISI NYANGE BENDERA CBG TANGA
40 MWANAHAWA SELEMANI
CBG TANGA
41 MWANAIDI ABDILLAH SALIM
HGK MOSHI
42 MWANAISHA KARATA ADHUMANI PCB KOROGWE
43 MWANAISHA RASHID RAMADHAN PCB MOSHI
MUHIMU.
1. WALIOCHAGULIWA NA AMBAO HAWAJAPATA MAELEKEZO YA
KUJIUNGA (JOINING INSTRUCTIONS) WAZIFUATE PALE WALIPOCHUKULIA
AU KURUDISHA FOMU KUANZIA JUMATATU MEI 16, 2016.
2. NAFASI BADO ZIPO KWA SHULE ZOTE TATU NA FOMU
ZINAPATIKANA KATIKA VITUO VYA KUUZIA FOMU KOTE NCHINI AU
KATIKA TOVUTI WWW.ipc.org.tz
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
MWAYAONA Y MAULID
PCB
NADHYRA OMAR BAKAR
PCB
NASBA MOHAMED HASSAN
CBG
NASRA KHALIFA MRUMBI
PCB
NASRA SULEIMAN LIGOPORA HGL
NURU SULEIMAN JUMA
CBG
OFFU-NAJMAH MOHAMED MAGID HKL
PITIJUMA TWAHA FADHILI
PCB
RAHA ALMASI FAIZ
HKL
RAI RAMADHANI ALI
PCB
RAMLA RAJABU HANTI
HGE
RUKIA MALIKI MSUYA
ECA
RUMAYSWAU RIDHWAN
HGE
SADA AMRI MRISHO
HGK
SALAMA HASSAN NGELLO
PCB
SALAMA IBRAHIM MWISHEHE ECA
SALHA NASSOR WAZIRI
PCB
SALIMA MLEKWA
HGE
SALMA OTHMAN JAFAR
PCB
SANIA ADAM RASHID
PCB
SAUMU SALMINI SAIDI
CBG
SAUMU SIABA MSEMO
EGM
SOPHIA HUSSEIN MANZIRO
CBG
SWABRA MOHAMED ISSA
PCB
UMMUL-KHEIR M. ABDULNOOR PCM
ZAINA OMARI MBWANA
PCB
ZAINAB ATHUMAN
HKL
ZAINAB RAMADHAN
PCB
ZUHURA ALLY RAJABU
ECA
ZULEIKHA YUSUPH KAMNA
HKL
ZULFA RAMADHANI ALUTE
PCB
ZULPHA SWALEH
ECA
DODOMA
PEMBA
SINGIDA
CHAMAZI DSM
KIBADA DSM
MBEZI- DSM
DSM
MOSHI
ZANZIBAR
ZANZIBAR
KIBAHA
MOSHI
DSM
KIGOMA
ISVYA TABORA0787510500
MBAGALA
MOROGORO
USINGE TABORA
ZANZIBAR
TABORA
UGWENO MWANGA
GEITA
MOSHI
YOMBO -DSM
DSM
LUSHOTO
LUSHOTO
DSM
SINZA
DSM
BABATI
MOSHI
Hoja ya Visram
AN-NUUR
Na Nizar Visram
HATIMAE Waziri wa Fedha na
Mipango, mheshimiwa Dak.
Philip Mpango, amewasilisha
kiwango na ukomo wa bajeti
kuu ya serikali kwa mwaka
2016/17. Waziri ameliambia
bunge kuwa mwaka ujao
wa fedha zitatumika Sh.
trilion 29.53. Kati ya fedha
hizo, mapato ya ndani ni Sh.
trilioni 17.79 zitakazopatikana
kutokana na kodi ya Sh. trilioni
15.1 itakayokusanywa na TRA,
wakati mapato yasiyo ya kodi
yakiwa Sh. trilioni 2.69.
Sh17.72 trilioni zitakuwa
kwa ajili ya matumizi ya
kawaida, wakati Sh11.82
trilioni zimetengwa kwa ajili
ya shughuli za maendeleo. Hii
ni sawa na asilimia 40 ya bajeti
nzima.
Katika bajeti iliyopita,
shughuli za maendeleo
zilipangiwa Sh 5.76, sawa na
asilimia 25.9.
Asilimia 40 kwenda kwenye
mipango ya maendeleo, hili ni
jambo jema, alisema Freeman
Mbowe, mwenyekiti wa
Chadema na kiongozi wa kambi
ya upinzani bungeni, alipoongea
na waandishi.
Bajeti hii ni kubwa kuliko zote
katika historia ya nchi yetu. Na
matumizi nayo yataongezeka.
Wananchi kwa hiyo wawe tayari
kulipa kodi zaidi ili kukidhi
mahitaji ya serikali. Bila shaka
wale matajiri na madalali wao
waliokuwa wanakwepa kodi (au
wanaosamehewa kodi) huenda
wakakamuliwa ili walipe. Lakini
na wananchi wa kawaida nao
wawe tayari kulipa kodi zaidi
kupitia njia mbalimbali kama
vile vinywaji, sigara, sukari,
usafiri na kadhalika.
Kwani tunaelezwa kuwa, ili
serikali iweze kufikia kiwango
cha bajeti hii, itapaswa ifanye
jitihada kubwa ya kubuni
vyanzo vipya vya mapato.
Kwa kiasi kikubwa mzigo huu
utabebwa na wananchi, kwa
vile bidhaa zitaongezewa kodi
na ushuru ili kuziba nakisi ya
wastani wa Sh. trilioni 2. Hii
ni pamoja na TRA kwa sasa
kukusanya wastani wa Sh.
ni ukwepaji unaofanywa na
makampuni ya simu. Waziri
Majengo aliliambia bunge
kuwa serikali inalielewa jambo
hili. Waziri wa usafirishaji
na mawasiliano, Profesa
Mbarawa naye alisema hatua
zinachukuliwa kuziba mianya.
Tunasubiri kuona iwapo hizo
hatua zitazaa matunda.
Kwani tunaambiwa kampuni
za simu zimekuwa zikikusanya
zaidi ya Sh 5.5 trilioni. Kati ya
hizi ni bilioni 35 tu zimelipiwa
kodi. Yaani zaidi ya Sh 5.4
trilioni hazilipiwi kodi! Huu si
ukwepaji wa kiwango cha juu
sana.
Hapa tunazungumzia sekta
moja tu ya mawasiliano. Hatujui
sekta zingine zinakwepua
kiasi gani. Kwa mfano, kuna
sekta ya usafirishaji wa anga,
nchi kavu na majini. Kuna
biashara ya mafuta, kuna halaiki
ya mabenki, kuna majengo
yanayochepuka kama uyoga
kila mahali. Kuna mahoteli ya
kitalii. Wote hawa wanakusanya
matrilioni. Serikali inaambulia
ngapi kati ya hizo?
Hata Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG)
anatuambia kuwa mwaka jana
serikali ilishindwa kukusanya
kodi ya Sh 6.9 trilioni. Hii
inatokana na walipa kodi
wakubwa kupinga makisio ya
kodi zao mahakamani na katika
bodi ya rufaa za kodi. Kiwango
hiki kinaongezeka kila mwaka.
Yaani mwaka 2013/2014
walikataa kulipa Sh trilioni 1.7
na mwaka 2014/2015 zikafikia
hizo trilioni 6.9. Mwaka huu
hatujui, labda tusubiri ripoti
ijayo ya CAG.
Ndio maana nikasema
mwananchi wa kawaida
awe tayari kufidia kodi hizi
zinazokwepuliwa na wawekezaji
wa ndani na wa nje.
nizar1941@gmail.com
0713-562181
Ending
Hoja ya Kilaghai
AN-NUUR
Inaendelea Uk. 10
Tangazo
AN-NUUR
Waislamu kote nchini mnatangaziwa nafasi za Kidato cha Tano kwa shule zifuatazo:
Shule hizi ni za Kiislamu zenye lengo la kuwapa wanafunzi taaluma ya hali ya juu na malezi
bora ya Kiislamu. Shule hizi ni za BWENI za mchanganyiko wa wavulana na wasichana.
Zipo Combinations zote za SAYANSI, ARTS na BIASHARA.
Muombaji awe na ufaulu wa masomo matatu (3) kwa kiwango cha Credit (yaani A, B na C)
Daraja la III (Division three) au zaidi na Grade D kwenye masomo ya Combination.
Mwisho
nini
tarehe
30/05/2016
Mwishowa
wakurudisha
kurudishafomu
fomu
tarehe
02/05/2016.
Fomu za maombi zinapatikana kwa gharama ya Shilingi 10,000= katika Tovuti:www.ipcorg.tz na katika vituo vifuatavyo:
488444/0653 705627.
MTWARA: Ofisi ya Islamic Education Panel,
Mtaa wa Magomeni A mkabala njia panda ya
uwanja wa ndege: 0715 465158/0787 231007.
SONGEA: Kwa Kawanga Karibu na Msikiti wa
NURU : 0713249264. Mkuzo Islamic High
School :0654 876317
MBEYA: Ofisi za Islamic Education Panel Uhindini
0785425319. Rexona Video mkabala na
Mbeya RETICO: 0713 200209/0785425319.
Rukwa: Sumbawanga:Jengo la Haji Said
Shule ya Msingi Kizwike: 0757090228/0786
313830
TABORA: Kituo cha Kiislamu Isevya:
0784
944566/0718 556355. Nzega - Dk. Mbaga-0754
576922/0784576922.
IRINGA: Madrastun Najah: 0714 522 122.
PEMBA: Wete: Wete Islamic School : 0777
432331/0712772326.
UNGUJA: Madrasatul Fallah: 0777125074.
PANDU BOOKSHOP 0777462056 karibu na
uwanja wa Lumumba
: 0716
544757/0718661992
SINGIDA: Ofisi ya Islamic Education. Panel
karibu na Nuru snack Hotel : 0786
425838/0784 928039.
MANYARA: Ofisi ya Islamic Ed. Panel Masjid
Rahma: 0784491196
KIGOMA: Msikiti wa Mwandiga: 0714717727.
Kibondo Islamic Nursery School:
0766406669. Kasulu: Murubona Isl.SS:
0714710802/0763 298440
MAFIA: Ofisi ya Ust. Yusufu Ally jirani na
LINDI: Wapemba Store: 0784 974041/0783
msikiti mkuu : 0773580703.
4/18/2016 5:23:55 AM
10
Inatoka Uk. 8
HOJA YA KILAGHAI
AN-NUUR
11
MAKALA
AN-NUUR
ROBERT S. Mueller.
JOHN Ashcroft
JOHN McCain
was unlikely to have been produced in
some "cave." (Tazama: FBI was told to
blame Anthrax scare on Al Qaeda by
White House officials". Daily News
(New York). August 2, 2008.)
Hata hivyo, haikupita muda,
wenyewe wakaanza kushikana
uchawi baada ya kugundua kuwa
aina ya kimeta iliyotumika Ames
starin (Ames strain of anthrax),
inatoka katika maabara zao
wenyewe. Watu kama Barbara
Hatch Rosenberg, wakaanza
kupaza sauti wakitaka uchunguzi
Inaendelea Uk. 16
12
TANGAZO
AN-NUUR
(a)
(b)
(c)
Awe Muislamu.
Awe amefaulu masomo matatu (3) au zaidi kwa kiwango cha D au zaidi katika Mtihani wa Kidato cha 4.
Atakayekuwa na ufaulu wa kiwango cha D au zaidi katika masomo ya Lugha ya Kiarabu, Kiingereza,
Kiswahili na Elimu ya Dini ya Kiislamu atapewa kipaumbele zaidi.
Mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu ni tarehe 15 JULAI, 2016.
Fomu za maombi zinapatikana kwa gharama ya Shilingi 5,000/= (elfu tano) katika Tovuti:www.ipcorg.tz na katika vituo vifuatavyo:
ARUSHA: Ofisi ya Islamic Education Panel, Jambo
Plastic, Ghorofa ya 2 mkabala na Msikiti Mkuu
Bondeni : 0783 438676/0715 438676.
KILIMANJARO: Moshi: Msikiti wa Riadha:07673453
0714710802/0763 298440
LINDI: Wapemba Store: 0784 974041/0783
488444/0653 705627.
MTWARA: Ofisi ya Islamic Education Panel,
Mtaa wa Magomeni A mkabala njia panda ya
uwanja wa ndege: 0715 465158/0787 231007.
SONGEA: Kwa Kawanga Karibu na Msikiti wa
NURU : 0713249264. Mkuzo Islamic High
School :0654 876317
MBEYA: Ofisi za Islamic Education Panel Uhindini
0785425319. Rexona Video mkabala na
Mbeya RETICO: 0713 200209/0785425319.
Rukwa: Sumbawanga:Jengo la Haji Said
Shule ya Msingi Kizwike: 0757090228/0786
313830
TABORA: Kituo cha Kiislamu Isevya:
0784
944566/0718 556355. Nzega - Dk. Mbaga-0754
576922/0784576922.
IRINGA: Madrastun Najah: 0714 522 122.
PEMBA: Wete: Wete Islamic School : 0777
432331/0712772326.
UNGUJA: Madrasatul Fallah: 0777125074.
PANDU BOOKSHOP 0777462056 karibu na
uwanja wa Lumumba
: 0716
544757/0718661992
SINGIDA: Ofisi ya Islamic Education. Panel
karibu na Nuru snack Hotel : 0786
425838/0784 928039.
MANYARA: Ofisi ya Islamic Ed. Panel Masjid
Rahma: 0784491196
KIGOMA: Msikiti wa Mwandiga: 0714717727.
Kibondo Islamic Nursery School:
MAFIA: Ofisi ya Ust. Yusufu Ally jirani na
0766406669. Kasulu: Murubona Isl.SS: msikiti mkuu : 0773580703.
Kwa maelezo zaidi piga simu: 0787 188964, 0784 267762 na 0654 613080
ARABIC CHETI.indd 1
4/18/2016 5:25:19 AM
13
Inatoka Uk. 10
Kuna madai kuwa matatizo ya
Dk. Rife na mashine yake ya Ray
Beam yalianza pale mkurugenzi
wa AMA, Morris Fishbein,
alipotaka Dk. Rife amuuzie
haki za kumiliki na kuzalisha
hiyo mashine; ambapo zaidi ya
kumpa pesa, angembakishia na
mrabaha kidogo. Inasemekana
kuwa Dk. Rife alikataa na
kuanzia hapo Fishbein na AMA
yake wakaingia kwenye vita
naye. Kwanza AMA iliwakataza
madaktari waliokuwa
wanachama wake kuitumia hiyo
mashine na kisha ikafungua
mashitaka mengi mahakamani
dhidi ya Dk. Rife na kampuni
yake ya Beam Ray Corporation.
Kutokana na gharama
kubwa za kisheria inasemekana
kampuni ya Beam Ray
Corporation ilifirisika. Baadaye
Dk. Rife alijaribu kunyanyuka
na kuanza upya lakini mazingira
bado yalikuwa kikwazo. Katika
kipindi hicho ugunduzi wa
penicillin na viua vijasumu
(antibiotics) vingine ulichukua
nafasi kubwa ya shauku katika
tasnia ya tiba. Fishbein na AMA
walitumia fursa hiyo kufanya
ushawishi mkubwa kwa tasnia
ya tiba kuzama kwenye kutumia
viua vijasumu kama njia ya
kupambana na maradhi na
kuachana na tekinolojia ya Dk.
Rife.
Kwa bahati mbaya
ushawishi wa Fishbein na
AMA ulikuwa mkubwa sana
kiasi kwamba mpaka anakufa
mnamo mwaka 1971 Dk. Rife
alikuwa ameshindwa kuifanya
tekinolojia yake kuwa chaguo
la kwanza kwa matatibu katika
mapambano dhidi ya vimelea
vya maradhi na ugonjwa wa
saratani.
Tukio la tatu linamhusu Rene
A. Caisse na kile kinachojulikana
kama Chai ya Essiac (Essiac Tea).
Rene alikuwa ni mwanadada
wa Kikanada ambaye kitaaluma
alikuwa muuguzi. Katika
miaka ya 1920 alikutana na
bi kizee aliyekuwa mke wa
mchimba madini mmoja ambaye
alikuwa ameugua ugonjwa
wa saratani ya titi na akapona
kwa kutumia mchemsho wa
mchanganyiko wa miti shamba
fulani aliyokuwa kapewa na
Mhindi Mwekundu mmoja.
Yule Bi. Kizee alimtajia
Rene mimea husika na pia
akamwelekeza namna ya
kuandaa mchemsho wake.
Rene alitunza kumbukumbu ya
mchanganyiko wa mitishamba
husika na jinsi ya kuandaa
mchemsho huo na kujiambia
kuwa iwapo ingetokea siku moja
akaugua saratani basi angetumia
tiba hiyo.
Kiasi cha mwaka mmoja
baadaye Rene alipata taarifa
kuwa dada pekee wa mama
yake alikuwa amefanyiwa
upasuaji na kubainika kuwa
na saratani ya tumbo ambayo
ilikuwa imesambaa hadi
kwenye ini. Alifanya ziara
kumtembelea hospitali ambako
daktari alimwambia kuwa
hakuna chochote ambacho
hospitali ingeweza kufanya
kuhusu matibabu ya shangazi
Hoja ya Kilaghai
AN-NUUR
14
SIASA MWENYEWE NANI
1. Wandugu nawasalimu, nijue muhali gani
Muwaje na majukumu, yanokushughulisheni
Ya kutafuta vitamu, asubuhi na jioni
Siasa mwenyewe nani, mwenzenu sijamjua
2. Swali la leo rahisi , ninalo waulizeni
Kitambo nimelihisi, laniumiza kichwani
Mbele ya kadamnasi, naleta tuchangieni
Siasa mwenyewe nani, mwenzenu sijamjua
3. Hii siasa wenzangu , wafuasi wake nani
Umenipata uchungu , isiwe ya mashetani
Hebu tupange mafungu, tumjue ni Fulani
Siasa mwenyewe nani, mwenzenu sijamjua
4. Siasa hupigwa vita, kungia misikitini
Ruhusa haikupata, kutangazwa kiririni
Wengi yamesha wakuta, waozea gerezani
Siasa mwenyewe nani, mwenzenu sijamjua
5. Siasa haikufaa, hata kule kanisani
Wachungaji wanalia, kuhubiri watamani
Marufuku imekua, kutajwa madhabahuni
Siasa mwenyewe nani, mwenzenu sijamjua
6. Siasa pia tatizo, tukiwa maofisini
Tena kikubwa kikwazo, watu hawatambuani
Katu usiwe wa mwanzo, achana na hiyo fani
Siasa mwenyewe nani, mwenzenu sijamjua
7. Siasa inatukera, hatuyebu michezoni
Hauchezeki mpira, na siasa midomoni
Chagua la kwako bora, yote haiwezekani
Siasa mwenyewe nani, mwenzenu sijamjua
8. Hata katika jamii, siasa hatuthamini
Makada hatuchukii, tukifika maskani
Nchi yetu ndio hii, twende kwengine kwa nani
Siasa mwenyewe nani, mwenzenu sijamjua
9. Siasa kila mahali, mbona haitakikani
Kulikoni jambo hili, limengia kisirani
Metuchanganya akili, tumekuwa punguwani
Siasa mwenyewe nani, mwenzenu sijamjua
10.Wandugu zangu wapenzi, hebu nisaidieni
Huu sio upuuzi, majibu yafikisheni
Yaleteni wazi wazi, siasa afanye nani
Siasa mwenyewe nani, mwenzenu sijamjua
Mtunzi ni: Suluhu A. Hamza
P. O. Box 1898, Zanzibar
0776 720 588
Kiswahili kinakufa
AN-NUUR
MAKALA/MASHAIRI
15
AN-NUUR
Inaendelea Uk. 17
16
Makala
AN-NUUR
Inatoka Uk. 11
17
Inatoka Uk. 15
ubaga.
Kisa cha vijana wa pango katika
Quran
Bali unadhani ya kwamba wale
Watu wa Pangoni na Maandishi
walikuwa ni ajabu miongoni mwa
ishara zetu? (18:9).
Vijana hao walipo kimbilia
kwenye pango walisema: Mola wetu
Mlezi! Tupe rehema itokayo kwako,
na tutengezee uwongofu katika
jambo letu. (18:10).
Tukayaziba masikio yao
kuwalaza humo pangoni kwa muda
wa miaka kadhaa wa kadhaa.
(18:11).
Kisha tukawazindua ili tujue
ni lipi katika makundi mawili lilio
hisabu sawa muda walio kaa.
(18:12).
Sisi tunakusimulia khabari zao
kwa kweli. Hakika wao walikuwa
ni vijana walio muamini Mola
wao Mlezi. Na Sisi tukawazidisha
uwongofu. (18:13).
Na tukazitia nguvu nyoyo
zao walipo simama na wakasema:
Mola wetu Mlezi ni Mola Mlezi
wa mbingu na ardhi. Hatutamwita
mwenginewe kabisa badala yake
kuwa ni Mungu. Hivyo itakuwa
tumesema jambo la kuvuka
mpaka. (18:14).
Hawa watu wetu wameshika
miungu mingine badala yake
Yeye. Kwa nini basi hawawatolei
uthibitisho ulio dhaahiri? Na
nani aliye dhaalimu zaidi kuliko
anaye mzulia uwongo Mwenyezi
Mungu? (18:15).
AN-NUUR
18
TANGAZO
AN-NUUR
Abdulrahman Al-Sumait Memorial University (SUMAIT University) invites qualified applicants to apply for the following programs:1. Bachelor of Science:
(1) Information Technology
(2) Computer Science
2. Bachelor of Science with Education:
(1) Physics & Mathematics (2) Chemistry & Biology (3) Physics & Chemistry (4) Chemistry & Mathematics (5) Biology & Geography (6)
Information Communication Technology (ICT)
3. Bachelor of Arts with Education:
(1) English & Kiswahili (2) English & Geography (3) English & History (4) English & Islamic Studies (5) Arabic Language & Kiswahili (6)
Arabic Language & English (7) Arabic Language & Geography (8) Arabic Language & History (9) Arabic Language & Islamic Studies
(10) Kiswahili & Geography (11) Kiswahili & History (12) Kiswahili & Islamic Studies (13) Islamic Studies & Geography (14) Islamic
Studies & History (15) History & Geography (16) Counseling & English.
4. UQF level 6 in Foundational Sciences & UQF level 6 in Arts and Social Sciences (Pre University Programmes)
ADMISSION REQUIREMENTS:
1. The applicants should have at least
i)
A minimum of two principal passes in Tanzania Advance Certificate of Secondary Education (ACSE) in the appropriate subjects or
equivalent.
ii)
Ordinary Diploma (NTA Level 6) with at least of GPA of 2.7
Applicants who obtains less than the minimum requirements may be considered for admission to one year UQF Level 6 Certificate
programmes (Pre- University Programmes) or NTA Level 6
ANNUAL FEES
2,250,00/=
1,800,000/=
Tuition
1,900,000/=
1,600,000/=
Accommodation (Optional )
Graduation
Students Union
Computer Services
Registration
Medical Services
Application Forms
TCU Fees
1,100,000/=
750,000/=
250,000/=
30,000/=(New Students)
10,000/=
40,000/=
40,000/=
30,000/=
25,000/=
20,000/=
The SUMAIT University reserves the right to change these fees at any time,
Application forms may be obtained from:
(i)
Academic Office, SUMAIT University, Chukwani, Zanzibar.
(ii)
Africa Muslim Agency, Mabaoni Chake Chake Pemba: Tel: 024-2452337
(iii) Utaani Secondary School at Wete Pemba.
(iv) Africa Muslim Agency, Tabata Dar es Salaam: Tel: 022-2807843
(v)
Or you can download the application form through our website www.sumait.ac.tz
Application fees should be paid through the following account number:
The People Bank of Zanzibar (Islamic Banking Division) Account No. 51120100002450
A completed form together with payment receipt should be returned to the Academic Office.
For further information contact:
Academic Office,
SUMAIT University
P.O BOX 1933, Zanzibar
MOBILE: 0773 774 838 or 0772 000 243
E-mail: info@sumait.ac.tz Or
Visit our main campus at Chukwani, West District, Unguja, two kilometers from the new House of Representatives Building.
19
M
Ukurasa wa Watoto
AN-NUUR
Uislamu ni usafi - 2
WIKI iliyopita
tulijifunza juu ya
Usafi. Tukamalizia
kwa kusema kuwa:
Muislamu wa kweli
ni yule anayeiga
tabia ya Mtume
(s.a.w).
Mtume alikuwa
msafi. Akatuambia
kuwa hataingia
Peponi ila yule aliye
msafi.
Na usafi ni wa
tabia, mwili, nguo,
mazingira na kauli.
Leo tutaangalia
usafi wa meno na
kinywa.
Hebu fuatilia
maelezo haya:
Ali ni mtoto msafi.
Hupiga mswaki
kila asubuhi mara tu
anapoamka.
Hivi ndivyo
alivyokuwa akifanya
Mtume Muhammad
(s.a.w)
Kupiga mswaki
husafisha meno.
Meno ya Ali ni
masafi kwa sababu
yanasafishwa mara
kwa mara.
Kinywa cha Ali ni
AN-NUUR
20
MAKALA
20
Soma
gazeti
SHAABAN 1437,
IJUMAA la
MEI 13-19, 2016
AN-NUUR
KWA TSH 800/=
kila Ijumaa
AN-NUUR
Gazeti hili hutolewa na Islamic Propagation Centre S.L.P. 55105 na kupigwa chapa na Business Printers Ltd, Dar es Salaam.