S.L.P 369 MUSOMA. YAH: MGAWANYO WA KATA KWA MAAFISA. Tafadhali husika na somo hapo juu. Pamoja na barua hii nakutumia mgawanyo tajwa kwa maafisa wote tulionao kwa sasa hapa wilayani ili waweze kuzihudumia kulingana na maelekezo tuliyopewa. Naomba kuwasilisha