Вы находитесь на странице: 1из 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


IDARA YA UHAMIAJI
Anuani ya Simu:
NUKUSHI:

UHAMIAJI

OFISI YA UHAMIAJI WILAYA


S.L.P 417

OFISI YA UHAMIAJI (M)


S.L.P+255
369
SIMU:
282622426
MUSOMA

BUNDA
Monday, 25 May 2015

KUMB .NA.BND/DN/11/04

MWALIMU MKUU
Shule ya msingi st. Paul
BUNDA
Yah: URAIA WA MWL SELINA SAILAS
Mtajwa hapo juu, kwa taarifa zilizopo ofisini si raia wa
Tanzania. Kama itakuwa kweli atakuwa anaishi na kufanya kazi
kinyume cha sheria ya Uhamiaji namba 7 ya mwaka 1995.
Mtajwa anatakiwa hapa ofisini kesho tarehe 26/05/2015 saa
tatu asubuhi kwa ajili ya mahojiano akiwa na ushahidi wa uraia
wake, vyeti vya shule tangu shule ya Msingi hadi vyuo
alivyosomea na vyeti vya ubatizo.
Endapo hatafika hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake na
wewe kama mwajiri wake.
Nakutakia kazi njema
DCIS E. Mushongi
Afisa Uhamiaji Wilaya
BUNDA
NAKALA KWA
Mwalimu Selina