Вы находитесь на странице: 1из 2

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


IDARA YA UHAMIAJI
Anuani ya Simu:
NUKUSHI:

UHAMIAJI

OFISI
YA UHAMIAJI
+255 282622426
S.L.P 369
KUMB
.NA.BND/IMM/THO/07/47
MUSOMA
SIMU:

OFISI YA UHAMIAJI WILAYA


S.L.P 417

BUNDA
Tuesday, 31 March 2015

Insp Venance Apolinary


S.L.P 417.
BUNDA.
YAH: HATI YA MAKABIDHIANO YA OFISI WILAYA YA BUNDA.
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu.
Wakati nikiwa likizo kuanzia tarehe 01/04/2015-22/04/2014, Mimi DCIS/DIO
ELIZEUS L. MUSHONGI nakukabidhi wewe ASIS VENANCE APOLINARY
vifaa vifuatavyo hapa chini pia majukumu yote ya utawala wa ofisi ya Uhamiaji
Wilaya ya Bunda kwa kushirikiana na kuu ya Wilaya pamoja na shughuli zote
zitakazojiri Wilayani hapa kwa kipindi hicho:1. GARI No. STK 2559 LANDROVER DEFENDER linatembea.
2. PIKIPIKI No.STK 8560-Inatembea.
3. TV FLAT SCREEN SN#1128 YLU196888- 1PC.
4. RECEIVER-SR.No.No.MFT-930 PLUS/232-1 PC
5. SATELITE DISH-1PC.
6. WIRE (20M) CABLE-1PC.

7. C- BAND LNBF-1PC.
8. COMPUTER-HPS 203 1a-1PC.
9. UPS-RS No.650-1PC.
10. PRINTER-SR VNC5R01973.
11. DIESEL LITA 15 (KUMI NA TANO TU)
12. ERV No. 49506390-49506396
13. ETD No. 09793511-09793600.
14. RCCB No. 01853305-01853350
Nawasilisha kwako kwa kumbukumbu zako muhimu.
SAHIHI YA ANAYEKABIDHI....................................
Mushongi ERL.DCIS.
Afisa Uhamiaji Wilaya
BUNDA

SAHIHI YA ANAYEKABIDHIWA...........................
Venance Apolinary ASIS
333BUNDA
NAKALA:
AFISA UHAMIAJI (M),
S.L.P 369,
MUSOMA.