Вы находитесь на странице: 1из 2

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


IDARA YA UHAMIAJI
Anuani ya Simu:
NUKUSHI:

UHAMIAJI

OFISI YA UHAMIAJI WILAYA


S.L.P 417

OFISI YA UHAMIAJI (M)


+255 282622426
S.L.P 369
MUSOMA
KUMB

BUNDA

SIMU:

Thursday, 05 March 2015

.NA.BND/IMM/INV/VOLIII/21/109

Obama
Kijiji cha Nyatwali
BUNDA

Yah; WITO
Idara ya Uhamiaji inaendelea na operesheni ya kuwatafuta,
kuwahoji na kuwapa maelekezo namna ya kuishi nchi kwa mujibu
wa sheria ya Uhamiaji namba 7 ya Mwaka 1995. Sheria inaanisha
kuwa ili uweze kuendelea kuishi nchini kwa raia yeyote wa nje
sharti ahalalishe ukaaji wake. Vinginevyo sheria ya Uhamiaji
katika kifung cha 31 (1) (i) na (2) itachukua mkondo wake.
Kwa mujibu wa daftari yetu ya Wahamiaji haramu wewe
umetajwa kuwa wewe si raia wa Tanzania. Hivyo basi unatakiwa
kufika ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Bunda siku ya Jumatatu ya
tarehe 9/3/2015 saa 3.00 asubuhi kwa mahojiano ukiwa
vitambulisho vyako vya kuthibitisha uraia kama cheti cha
kuzaliwa kwako na wazazi wako, na kama wewe si raia basi ufike
na vyeti vya ukaaji wako.
Endapo hutafika utakamatwa na sheria iliyotajwa hapo juu
itachukua mkondo wake ikiwa ni pamoja na kukufikisha
mahakamani.

DCIS E. Mushongi
Afisa Uhamiaji Wilaya

BUNDA

Nakala kwa
Afisa Mtendaji Kata Kunzugu---------- Kwa Taarifa
Afisa Mtendaji Kijiji cha Nyatwali -----Mjulishe mhusika

Вам также может понравиться