Вы находитесь на странице: 1из 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


IDARA YA UHAMIAJI
Anuani ya Simu:
NUKUSHI:

UHAMIAJI

OFISI YA UHAMIAJI WILAYA


S.L.P 417

BUNDA

OFISI
YA
+255 282622426
S.L.P 369
KUMB
.NA.BND/IMM/STK/30/26
MUSOMA
SIMU:

Thursday, 20 June 2013

AFISA UHAMIAJI (M),


S.L.P 369,
MUSOMA.
YAH: LIKZO YA SIKU SABIINI (70) A.5810 S/SGT ADAM MGETA.
Tafadhali husika na mada hapo juu.
Mtajwa hapo juu ni Askari wa jeshi la Magereza ambaye aliazimwa kwa muda
kufanya kazi katika Ofisi ya Uhamiaji (W) Bunda kama dereva wa gari No.
STK.2559.Anaetegemea kuanza likizo yake tarehe 24/06/2013- 01/09/2013. Katika
kipindi hiki cha mpito tumeomba kwa Mkuu wa Gereza la Bunda atupatie dereva
No. B.2182- Coplo Adronis Kaijage aweze kutusaidia kuendesha gari hilo hadi
A.5810 S/SGT Mgeta atakapomaliza likizo yake.
Nawasilisha kwako kwa kumbukumbu zako muhimu.

................................
T.W Nyangasa,
AFISA UHAMIAJI (W),
BUNDA.