Вы находитесь на странице: 1из 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


IDARA YA UHAMIAJI
Anuani ya Simu:
NUKUSHI:

UHAMIAJI

OFISI YA UHAMIAJI WILAYA


S.L.P 417

OFISI YA UHAMIAJI (M)


S.L.P+255
369
SIMU:
282622426
MUSOMA

BUNDA
Tuesday, 05 May 2015

KUMB:BND/IMM/O.P/VOL..2/02

Kamishna Mkuu wa Uhamiaji


S.L.P. 512
DAR ES SALAAM
YAH: MALIPO YA HATI YA UKAAZI (RESIDENCE PERMIT CLASS C)FR ZACHARIAS A.
POULOSE
Mtajwa hapo juu ni Padre wa Kanisa Katoliki ambaye anatarajia kufanya kazi katika jimbo la Bunda
baada ya kupata kibali cha kuishi nchini. Ombi lake liko makao makuu ya Uhamiaji na
limeshaidhinishwa .
Jimbo Katoliki la Bunda limelipia ombi hilo kwenye risiti (ERV) namba 4532417 na cash deposit
slip namba 798232 zote za tarehe 5/5/2015 hapa Ofisi ya Uhamiaji Bunda.
Pamoja na barua hii naambatanisha hati tajwa kwa hatua zako muhimu.
Nawasilisha
DCIS E. Mushongi
Afisa Uhamiaji Wilaya
BUNDA
Nakala kwa

Afisa Uhamiaji Mkoa


S.L.P. 369
MUSOMA-------------Maagizo yako yametekelezwa

Katibu wa Askofu
S.L.P. 275
BUNDA---------------Kwa taarifa