Вы находитесь на странице: 1из 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


IDARA YA UHAMIAJI
Anuani ya Simu:
NUKUSHI:

UHAMIAJI

OFISI YA UHAMIAJI WILAYA


S.L.P 417

OFISI YA UHAMIAJI (M)


S.L.P+255
369
SIMU:
282622426
MUSOMA

BUNDA
Wednesday, 06 November 2013

KUMB .BND/IMM/PI/22/49

Afisa Uhamiaji Mfawidhi


Kituo cha Sirari
S.L.P. 164
TARIME
Yah. VERA SARANGE MATONGO
Mtajwa hapo juu ni raia wa Kenya ambaye alikuwa anaishi hapa nchini
kinyume cha sheria .Ameamriwa kuondoka nchini kurudi kwao kwa escort hadi
Sirari na anasindikizwa na askari wa kike( Polisi).
Tafadhali mpokee na kumkabidhi kwa mujibu wa taratibu za Uhamiaji
Natanguliza shukrani

DCIS E. Mushongi
Afisa Uhamiaji Wilaya
BUNDA