Академический Документы
Профессиональный Документы
Культура Документы
tz
Facebook:annuurpapers@yahoo.com
Sauti ya Waislamu
ISSN 0856 - 3861 Na. 1115 JAMADUL AWWAL 1435, IJUMAA , MACHI 7-13, 2014 BEI TShs 500/=, Kshs 50/=
Kesi ya Uamsho:
ASKARI wa kundi la Anti Balaka akimuua Muislamu mbele ya askari wenzake na baadhi ya raia Bangui katika machafuko yanayoendelea Jamhuri ya Afrika ya Kati.
2
www.annuurpapers.co.tz
Tahariri/Habari
Cel: 0784 370 208, 0713 110 148, 0755 260 087 , DSM. E-mail: annuurpapers@yahoo.co.uk Ofisi zetu zipo: Manzese Tip Top Usangi House (Jengo dogo), barabara ya Morogoro, D'Salaam
JAMADUL AWWAL 1435, IJUMAA MACHI 7-13, 2014 isije kuwa sababu ya kuridhia mashinikizo kama haya ya kukubali mambo machafu yakutuangamiza kama haya ya ushoga na usagaji. Tunalazimika kutoa tahadhari hii kwa kuwa tumezoea kuona sheria mbovu zikiridhiwa kwa shinikozo la Mataifa haya makubwa hata kama hazina tija nasi. Kwa mfano sheria ya ugaidi ya Marekani (Patriotic Act) ambayo t u m e n g a n g a n i wa k u i r i d h i a na kuisaini bila hata kuhoji wanaoinganganiza wana agenda gani. Tujifunze kutoka Uganda, misaada isije kuwa sababu ya kupoteza utu wetu kwa maslahi ya wengine.
AN-NUUR
HIVI karibuni tumeshuhudia jirani zetu Uganda, Rais wao Bw. Yoweri Kaguta Museven, akiweka saini kuanza kutumika kwa sheria dhidi ya vitendo vya ushoga nchini humo. Katika Sheria hiyo, adhabu kali zitatolewa kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ikiwemo kifungo cha maisha jela. Aidha sharia hiyo imewabana wanawake ambao huvaa kihasara na kukiuka maadili na ustaarabu wenye heshima. Tangu Rais Museven asaini sheria hiyo, kelele zimesikika dunia nzima, hususan kwa mataifa ya Magharibi na Marekani wakipinga sheria hiyo, kwa madai kwamba inakiuka demokrasia, haki uhuru wa binadamu. Baadhi ya mataifa haya ambayo kwa nchi nyingi za Kiafrika tumezoea kuyaita nchi wahisani, wametangaza kuondoa uhisani wao kwa serikali ya Uganda kwa kukerwa na kuidhinishwa sheria hiyo ya kupambana na vitendo vha kishoga. Uholanzi wao wameshasema kwamba misaada yao ya kifedha waliyokuwa wakiitoa kusaidia bajeti ya serikali ya Uganda kwa ajili ya shughuli za Maendeleo, sasa msaada huo wataupeleka katika taasisi zinazoendesha kampeni za haki za binadamu, hususan zile zinazotetea maslahi ya mapenzi ya jinsia moja. Kwa makusudio hayo, ni wazi kwamba sasa fedha zitamwagwa Uganda ili kuhamasisha harakati za kutetea ushoga. Turudi hapa nchini kwetu ambapo kumesikika wanaharakati wakipambana na mawazo ya jamii kuhusiana uhalali na uharamu wa mapenzi ya jinsia moja. Tunajiuliza, hivi ni nini mantiki ya mataifa yenye nguvu kiuchumi kuyalazimisha mataifa yanayoendelea, hasa ya Afrika kufuata maadili yao na kuwa sheria katika nchi hizo? Hivi maisha ya mashoga na wasagaji yapo hatarini kwa kiasi gani mpaka kulazimishana kutungwa sheria za kuwalinda? Kwa mtazamo wetu, mahusiano ya kingono kati ya jinsia mbili, mke na mume ni mwanzo wa kuendeleza kizazi na familia. Kwa kifupi mapenzi ya mwanamke na mwanaume, pamoja na mambo mengine muhimu lakini lengo kuu ni kupata uzao. Hatuoni sababu nyingine yeyote, iwe ya kibaolojia au ya kimantiki mwanadamu kuingia kwenye uchafu wa ndoa za jinsia moja, zaidi ya hila za kuhitimisha mwendelezo wa kizazi. Inafahamika kwamba katika mahusiano ya ndoa (mume na mke) ni lazima wenza wawe na uwezo wa kutoa viini ambavyo hurutubishwa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kitika viungo vya uzazi wa mwenza mwingine ili kutunga mimba hatimaye kizazi kuendelea kwa kupata mtoto ama watoto. Vile vile kwa mtindo huo huo wa jinsia mbili tofauti, mume na mke hupata tulizo la starehe kwa mujibu wa Maumbile yao. Lakini uchafu huu wa ushoga au usagaji,
ni matokeo ya tamaa za kishetani zisizokuwa za msingi, ambazo ni laana na chukizo kubwa kwa Muumba, na hakuna tija yeyote inayopatikana kwayo. Tunalazimishwa kuhalalisha uchafu huu ili kukidhi haja za waliochafuka, na sisi kuishia kuangamia. Tunafahamu kwamba utamaduni wetu sisi Watanzania na sehemu kubwa ya jamii ya bara la Afrika tangu enzi za mabau zetu, hatuna utamaduni huu wa kaumu Lutwi. Lakini kwa jinsi upepo unavyovuma, tutoe tu angalizo kwa serikali yetu kwamba, hofu ya kunyimwa misaada ya kiuchumi kutoka mataifa makubwa, kamwe
Na Bakari Mwakangwale
VIONGOZI wa Wa i s l a m u k u p i t i a Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu wamesema, hawajadhurika pamoja na yote waliyokumbana nayo wakiwa gerezani zaidi ya kuwaletea faida katika harakati zao. Hayo yamebainishwa na viongozi hao kupitia kwa viongozi wenzao waandamizi wa Jumuiya hizo kufuatia wao kubanwa na masharti ya dhamana zao. An nuur, ililazimika k u p a t a m a e l e z o ya Masheikh hao kupitia I d a r a ya H a b a r i ya Uamsho, ambapo msemaji alitoa maelezo kwa niaba yao kufutia maelezo waliyoyapata baada ya kuongea nao kwa ujumla baada ya kutoka gerezani. Hata hivyo msemaji h u y o a l i o n g e a k wa masharti ya kutotajwa jina lake gazetini, alisema kwa ujumla viongozi hao wamesema h awajadh urika kwa muda wote waliokaa jela. Mashekh wamesema hawajadhurika wala hawajaathirika pamoja na yote waliyokumbana n a y o t o k a walivyokamatwa mwezi Oktoba mwaka juzi, na kutiwa jela allaakuli
Habari
AN-NUUR
Kesi ya Uamsho:
Na Mwandishi Wetu BAADA ya kulegeza mashariti ya dhamana jambo lililowawezesha Masheikh wa Uamsho kuwa nje wakisubiri kesi zao kuzungumzwa, bado yapo maswali m e n g i ya n a y o h i t a j i majibu. Na kwa upande mwingine, b a d o S E R I K A L I ya Mapinduzi Zanzibar inacho kibarua kigumu cha kuthibitisha kuwa kweli ilikuwa na sababu za kuwakamata Masheikh hao, kuwaweka ndani muda wote huo kwa kuzuiya dhamana zao. Tunasema ikizuiya dhamana kwa sababu mshitaki hapa ni Serikali na ni upande wa mashitaka uliozuiya dhamana. Kesi tunayozungumzia hapa ni ile inayowahusu masheikh 11 ambao walisota gerezani kwa zaidi ya mwaka wakikabiliwa na tuhuma za kuhatarisha usalama na kuharibu mali. Masheikh hao wakiongozwa na Amir wao Sheikh Farid Ahmed Hadi, mkazi wa Mbuyuni mjini Zanzibar mwenye umri wa miaka 41, wana kesi mbili mahkamani wa k i d a i wa k u v u n j a Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 1968 inayosimamiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kesi nyingine ipo mbele ya hakimu wa wilaya kwenye Mahkama ya Mwanakwerekwe, mjini Zanzibar ambayo watuhumiwa walifanikiwa kupata dhamana lakini wakazuiwa kutoka r u m a n d e k wa a m r i y a M k u r u g e n z i wa Mashitaka wa Zanzibar (DPP), Ibrahim Mzee. Masheikh wengine waliokuwa ndani ni Mselem bin Ali Mselem (52) wa Kwamtipura,
BAADHI ya viongozi wa Uamsho waliopewa dhamana na mahakama hivi karibuni. Mussa Juma Mussa (47) wa Makadara, Azzan Khalid Hamdan (48) wa Mfenesini, Suleiman Juma Suleiman (66) wa Makadara, Khamis Ali Suleiman (59) wa Mwanakwerekwe, Hassan Bakar Suleiman (39) wa Tomondo, Ghalib Ahmada Juma (39) wa Mwanakwerekwe, Abdalla Said Ali (48) wa Misuni na Majaliwa Fikirini Majaliwa wa Magomeni Hawa wanakabiliwa na mashitaka matatu kwa pamoja ya kuharibu mali, kufanya uchochezi k wa k u s h a w i s h i n a kuhamasisha fujo, na kula njama ya kutenda kosa. Sh eikh Azzan ana shitaka moja zaidi la peke yake la kutoa maneno ya matusi kwa Kamishna wa Polisi Zanzibar yanayoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Makosa hayo ambayo wote w a m e y a k a n a , wanadaiwa kuyatenda katika maeneo tafauti ndani ya Manispaa ya Mji wa Zanzibar, kati ya Oktoba 17, 18 na 19 mwaka jana. Walikaa gerezani kwa zaidi ya mwaka kutokana na kuzuiwa kwa dhamana yao kwa kibali cha DPP Mzee. Masheikh wa Uamsho walikamatwa katikati ya mwezi Oktoba mwaka juzi 2012 mara tu Sheikh Farid alipoibuka baada ya kutoonekana kwa siku tatu mfululizo.Kuibuka kwake kulizusha mjadala mkali huku viongozi wenzake wa Kiislamu wakishinikiza Jeshi la Polisi litoe taarifa kwa kuwa hicho ndicho chombo mahsusi cha nchi chenye jukumu la kusimamia na kuwahakikishia raia ulinzi na usalama wao na wa mali zao. Hata hivyo, badala yake Polisi , walimtaka Sheikh Farid ake kituoni na kueleza alikokuwa. Viongozi wakuu wa P o l i s i wa l i k a n u s h a tuhuma kwamba Sheikh Farid alitekwa na wana-usalama na kuchwa kusikojulikana. Isipokuwa walidai alijicha makusudi ili kuisingizia uovu serikali. Sheikh Farid aliitika wito wa Kamishna wa P o l i s i Z a n z i b a r (ZCP), Mussa Ali Mussa kuripoti Makao Makuu ya Polisi yaliyo Mwembemadema, ambako alihojiwa. Hakupewa dhamana, badala yake waliendelea kumshikilia hadi walipompeleka mahakamani kwa tuhuma za kutoa taarifa Inaendelea Uk. 4
Makala
AN-NUUR
wa n a s i a s a n i k u wa wimbo mbaya wanaomwimbia mwana, hatimaye ni kutufikisha h a p a i l i p o f i k i s h wa Nigeri. Sasa labda tuwaulize wanasiasa na makamanda wetu wa polisi, wao katika hali hii watakuwa wanafaidi au kunufaika vipi? Kama wakitufikisha hapo, wao na UAMSHO, nani watakuwa wachochezi, wasaliti na wahaini wa dola na wananchi?
BANGUI
Waislamuwazingirwahawanapakukimbilia
kumleta madarakani Michel Djotodia, ambaye alilazimika kuondoka madarakani Januari 10 mwaka huu kutokana na mashinikizo ya kimataifa. Ta n g u w a k a t i h u o magenge ya Wakristo wenye misimamo mikali kutoka kundi la AntiBalaka, wamewaua maelfu ya Waislamu katika nchi hiyo huku maelfu wakilazimika kukimbilia katika nchi jirani. Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuna mauaji yanayoendela nchini humo ni njama za makusudi za kuwaangamiza Waislamu Jamhuri ya Afrika ya Kati. Misikiti imebomolewa na nyumba na maduka ya Waislamu kuporwa na magaidi wa Anti Balaka. Kuna askari 1,600 wa Ufaransa na maelfu ya askari wengine wa kulinda amani kutoka nchi za Kiafrika huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, lakini hadi sasa wameshindwa kuzuia m a u a j i ya Wa i s l a m u yanayofanywa na magaidi wa kundi la anti-Balaka. Mwishoni mwa mwezi F e b r u a r i , Wa i s l a m u wasiopungua 70 waliuliwa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya la Anti Balaka kushambulia kijiji kimoja kilichopo kusini magharibi mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati. Ta a r i f a z i n a s e m a k u wa , k u n d i h i l o l a Kikristo la Anti Balaka lilivamia kijiji cha Guen na kuwalazimisha watu wote kulala chini, kisha kuanza kuwafyatulia risasi na baadhi yao kuwakatakata kwa mapanga na mundu. Mchungaji Rigobert Dolongo, aliviambia vyombo vya habari kwamba mauaji hayo yalikuwa ya kikatili mno. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa m a m i a ya Wa i s l a m u wakazi wa kijiji hicho, wameamua kukimbilia kanisani kwa hofu ya kushambuliwa na hata kuuawa na wanamgambo hao wa Anti Balaka. Karibu Waislamu 800 walikimbilia ndani ya Kanisa Katoliki kwenye mji wa Carnot wa kusinimaghairbi mwa nchi hiyo kujaribu kunusuru maisha yao. Kufuatia hali hiyo magaidi hao waliwataka Waislamu waliojisitiri katika kanisa hilo kuondoka nchini humo au wauawe. Waliwataka Waislamu hao waondoke la sivyo Kanisa hilo litateketezwa kwa moto na wao wakiwa ndani. Hivi karibuni gazeti la Daily Telegraph la nchini Uingereza liliandika kuwa, maelfu ya Waislamu wameshauawa nchini humo, huku maelfu ya wengine wakimbilia nchi jirani. U m o j a wa M a t a i f a u l i s h a w a t a k a wanamgambo wa Anti Balaka kuweka silaha zao chini, lakini viongozi wa kundi hilo wamekataa kutii amri hiyo na kusisitiza kwamba wataendeleza mauaji dhidi ya Waislamu nchini humo. Pamoja na kukudhiri mauaji hayo, mpaka sasa bado hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi ya wauaji huko CAR.
Ripoti zinaeleza kuwa Wa i s l a m u k a t i k a Jamhuri ya Afrika ya Kati wamezingirwa huku vikosi vya Ufaransa na vinginevyo vikishindwa k u ya p o k o n ya s i l a h a magenge ya Wakristo. Mhariri wa Pan-African News Wire, Abayomi Azikiwe, alisema katika mahojiano na waandishi habari kuwa, jamii y a Wa i s l a m u k a t i k a Jamhuri ya Afrika ya Kati inazingirwa huku watu wanaojaribu kuondoka nchini humo wakizuiwa. Jumamosi iliyopita, magaidi wa Kikristo wa anti-Balaka waliokuwa na bunduki, waliwapiga risasi na kuwauwa Waislamu watatu waliokuwa ndani ya gari huko Bangui, mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati. Katika tukio hilo la J u m a m o s i , Wa i s l a m u waliokuwa ndani ya taxi walifyatuliwa risasi na kuuawa na magaidi hao wa anti-Balaka. Dereva wa taxi aliyekuwa amewabeba Waislamu hao ambaye alinusurika, alisema alikuwa amewabeba Waislamu hao kutoka kambi moja ya wakimbizi na walikuwa wakielekea katika mtaa wa Waislamu kabla ya kupigwa risasi na kuuawa. M a c h a f u k o ya s a s a Jamhuri ya Afrika ya Kati yalianza Desemba 2 0 1 2 b a a d a ya wa a s i wa Seleka kumpindua Rais Francois Bozize na
Habari za Kimataifa
AN-NUUR
RAIS Barack Obama. kwa ujumla. Msemaji wa serikali ya Uganda, Ofwono Opondo, amesema nchi za magharibi zinaweza kuondoa misaada yao, lakini Kampala haitabadili msimamo wala kufuta sheria hiyo.
RAIS Yoweri Museven. Rais Museveni kwa upande wake, amelaani hatua ya Wa m a g h a r i b i y a kuikatia misaada nchi
yake, lakini akasisitiza kwamba Uganda sio jaa la takataka la kuhifadhi uchafu wote wa wakoloni mamboleo.
kuwapiga, kuwalazimisha kutumia dawa za kulevya na kisha kuwanajisi katika kambi za kijeshi. Ta n g u m wa k a 2 0 1 2 Waislamu wa Myanmar
wamekuwa wakivamiwa na kushambuliwa, kuuawa n a k u c h o m e wa m o t o nyumba zao, huku serikali ya nchi hiyo ikipiga kimya kuchukua hatua zozote.
H a t a h i v y o , wakamkamata na kumpiga sana na amelazwa katika hospitali ya Umaru Shehu (Umaru Shehu General Hospital.) Kiasi maili 30 kutoka yalipotokea mashambulizi hayo, watu kadhaa waliokuwa wamevalia sare za kijeshi wakiwa na bunduki aina ya Kalashnikovs (AK-47 rifles) waliwashambulia watu waliokuwa wakijiandaa kwa swala. Katika shambulio hilo, waliuliwa watu 39. Taarifa za awali zinadai kuwa wahusika na mauwaji hayo ni magaidi wa Boko Haram.
Makala
AN-NUUR
Na Sheikh Salah Sayed. Shukrani zote anastahiki Mwenyezi Mungu Mola wa ulimwengu, na Rehema na Amani zimfikie mbora wa mitume. Ama baada ya utangulizi huu mfupi:Hakika ya Hekima katika kulingania na njia ya kufaulu, na wengi hunyimwa Neema hii ya Kufaulu, na mtu akizitazama aya za Qur ani tukufu ataiba kwa macho yake namna gani Mwenyezi Mungu alivyo ambatanisha hekima pale aliposema (Humpa hekima amtakae na yeyote mwenye kupewa hekima kwa hakika amepewa hekima kwa hakika amepewa heri nyingi) Surat baqarat aya ya (1189) imeunganyishwa utoaji wa Mwenyezi Mungu na hekima na kufauli kwa kila jambo hutegemea na hekima hivyo amesema Mwenyezi Mungu. Kwa yeyote anayetaka kufaulu katika kulingania kwake lazima atumie hekima kwani Mwenyezi Mungu a m e s e m a ( i t a wa t u katika Dini kwa hekima na mawaidha mazuri na jadiliana nao kwa lile lililo zuri zaidi) Annahli (125) na amesema tena Mwenyezi Mungu (sema hii ndiyo njia ya n g u n i n a i t a k wa Mwenyezi Mungu kwa ujuzi wa kweli mimi na kila wanaonifuata, na Mwenyezi Mungu ametakasika na kila upungufu wala mimi s i m o m i o n g n i m wa wanaomshirikisha Mwenyezi Mungu) Y u s u f ( 1 0 8 ) ameambatanisha kufaulu na hekima katika aya hii kwa kila a n a y e l i n g a n i a k wa
kwa maneno au vitendo na kuwasifia walinganiwaji, na sifa hizi ziambatanishwe na maelekezo kwa njia ya kulingania na asishikilie sana yale yaliyobora na awahimize yaliyo ya suna na anapotaka kumnasihi mlinganiwa basi atumie ishara ni bora kuliko njia ya uwazi na huu ndio u l i k u wa m u o n g o z o wa M t u m e ( S . A . W ) alikuwa akisema (kuna baadhi ya watu lakini hasemi kwa uwazi na kumshambulia mtu na kwa wale wanaotaka njia ya kufaulu katika kulingania kwake kwanza ajisafishe upendo wake na yule anayemlingania. Kwanza aanze k u wa l i n g a n i a wanafamilia yake wa karibu na afulilize ulingano wake kwao, na awe mwepesi wa kutoa zawadi kama litawezekana hilo kwani kitu kinachoacha athari kubwa na nzuri katika nafsi, na awalinganie marafiki kwani rafiki ni kuafikiana kama wasemavyo. Na awafungulie mlango walinganiwa kwa kuwasifu ikiwa ni watu wa haki au wa kheri na kuwahimiza juu
ya utoaji wa sadaka na kufunga na mengineyo. A n a t a k i w a mlinganiaji ajihimize kuwalingania wazazi wawili kwani wao ndio sababu ya kuja kwako na hiyo ndio njia ya kwanza katika kufaulu katika kulingania k wa k o n a a c h a g u e mada inayonasibiana na hali yao ili asiwaambie maneno wasioyafahamu au yaliyo juu ya ufahamu wao wa kiakili na apange mipaka ya malengo yake katika ulingania kwako na achague mada inayosibiana na hali yao ili asiwaambie maneno wasio yafahamu au yaliyo juu ya lifahamu wao wa kiakili. Na apange mipaka ya malengo yake katika ulinganiaji wake na aweke kwa mpango wa kidogo kidogo ili watu wasichoke kwani ilikuwa muongozi wa M t u m e ( S . A . W ) alikuwa anawabashiria watu katika kulingania kwake na wala alikuwa h a f u k u z i wa t u . N a alikuwa akiwepesisha na wala hatii ugumu. Hivyo amesema Mtume (S.A.W) (wepesisheni na wala msifukuze watu wabashirieni amesema t e n a ( wa b a s h i r i e n i
wala msiwafukuzishe na wepesisheni na wala msitie ugumu) na anasema (kwa yakini mumeletwa ni wenye wepesi) na tumeamrishwa tuwe watu wa haki na tuzunguke na haki popote utakapokuwa. Na uangalie uhai wa watu na uhai wa wengine ni kwa ajili hiyo ndio maana umepewa Elimu na hekima na uwezo mwenye kuongeza Elimu kama alivyosema Mwenyezi Mungu (na hamkupenda Elimu isipokuwa kidogo) na awe yeye Mwenyewe Mwenye kuielezewa hekima kuwa ni kitu kilichompotea muumini popote atakapoikuta hukokota. Na kwa nini isiwe hivyo na hii ni njia ya kufaulu na kufanikiwa Duniani na akhera. Na juu yako ujue kwamba hekima kama alivyosema Ibnu L-qayimi kufanya yanayotakiwa kwa namna inayotakiwa na kutokana na hili utajipangia wewe m w e n y e w e n j i a ya kufaulu. Ninamuomba mwenyezi Mungu atufanye miongoni mwa wanaosikiliza maneno na kuyafuata kwa vizuri.
AWALI ya yote ni wajibu wetu kumshukuru sana ALLAH (s.w.t.), aliyetuwezesha kufika hapa tulipo katika suala zima la mchakato wa katiba yetu mpya. Hali kadhalika tunapaswa kuipa kongole awamu hii ya n n e ya u t a wa l a wa nchi yetu, awamu ambayo hatamu zake zimeshikwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Kongole ni zake kwa kubuni mfumo huu wa aina yake wa Bunge maalumu la katiba. Katika historia ya nchi yetu, hili ndilo litakuwa Bunge la kwanza la aina hiyo nchini. Ni muhimu sisi Watanzania kuwa na kuuendeleza utamaduni huu mzuri wa kumpongeza na kumshukuru kiongozi anapofanya jambo zuri, bila ya kujali chama chake, kabila lake, dini au itikadi yake. Bunge maalumu la katiba lilianza vizuri siku ya Jumanne ya Februari 18, ingawa lilikuwa na baadhi ya kasoro ambazo kwa siku ya mwanzo zinaonekana ni kasoro kubwa. Lakini kadiri siku zinavyosonga mbele, kasoro katika Bunge hili zinazidi kukua badala ya kupungua. Hoja za kupoteza muda na kuvurugana badala ya kujadiliana, zimekuwa zikimlazimu Mwenyekiti wa muda wa Bunge hili maalum, M h e . Pa n d u A m e i r Kificho, kuahirisha vikao mara kwa mara na kuendelea baadae, ikiwa ni kama njia ya kuwapa muda wajumbe kutuliza wahaka, angalau kuweza kuendelea na mjadala. Ikumbukwe kwamba ndio kwanza wajumbe hao wapop katika kujadilki kanuni tu, za kuliendesha Bunge
Makala
AN-NUUR
litakuwa na tija, ufanisi na matokeo mazuri yanayo kusudiwa, Inshallah. Kwa upande wetu sisi watu wa Taasisi za Dini, tunampongeza sana ndugu yetu Mhe. Sheikh Musa Kundecha kwa mchango aliouonyesha wa kutetea haki zetu za kiimani. Aliyoyasema Kundecha katika Bunge hili la katiba, ndio hayo ambayo yanasemwa mara kwa mara na watu wenye itikadi sahihi katika dini ya Kiislamu. K a d h i a ya K a t i b a kutambua uwepo wa Mungu, ni kadhia isiyohitaji mjadala mbele ya viongozi wa dini zote kuu hapa nchini. Kwa sababu lengo la Katiba hii ni kutumiwa na watu katika siasa zao, maamuzi yao na mambo yao yote, na walengwa wenyewe ni hawa Watanzania ambao asilimia kubwa ni Waislamu au Wakristo na wote hao wanaamini kuwa Mungu yupo. Jingine ambalo Mhe. Kundecha alilitilia mkazo, ni uhuru wa kuabudu. Waislamu wawe huru katika
kuhudhuria swala ya Ijumaa Misikitini, bila ya kuwa na wahaka wa kupitwa na mijadala inayoendelea. Kama ilivyo hivyo hivyo pia kwa kila siku ya Jumapili, wabunge Wakristo nao wanapata fursa ya kuhudhuria ibada Makanisani. Kadhia nyingine ambayo ni sehemu katika uhuru wa kutoa maoni, ni ule mjadala wa kura ya wabunge kupigwa kwa siri au kwa dhahiri. Kwa maana hii pana, haja gani kura iwe dhahiri wakati kupiga kura ni amana baina ya mja na Mola wake, katika kuiwakilisha nafsi yake na nafsi za anaowawakilisha? Sio jambo jema watu kutoaminiana kiasi cha kufikia wanapowasilisha maoni wenyewe, iwe lazima yaonwe au kusikiwa na wengine. Madai yanayotolewa na baadhi yetu kwamba kiongozi wa awamu ya pili ya Dola ya Kiislamu, aliyeshika hatamu za uongozi baada ya kufariki kwa Bwana Mtume Muhammad Inaendelea Uk. 13
Makala
AN-NUUR
Kituo cha Kiislamu cha Kimisri kimefanya kongamano la kidini siku ya Jumamosi iliyopita kwa kushirikiana na Msikiti wa Kichangani Magomeni lenye anuani ya ( ULINGANIAJI WA ATHARI ZAKE KATIKA KUPIGA VITA UBABE NA UGAIDI. aliuawa kwa makusudi,
na mapango ya mbweha ambacho kina ukweli kwa kiwango kile kile cha vibwagizo vingine. Ni kuwa jeshi la Marekani l i n a o n e k a n a k u wa l a wapiganaji wa kupenda kazi hiyo ambalo halina uhusiano wa karibu na wananchi wa kawaida, hali ambayo kwa hilo tu inaleta wasiwasi. Na kuwa inawezekana pia wa kidini aliyekuwa, ninavyokumbuka, Kanali na Mkatoliki kutoka Ireland alikuja katika kambi yetu akibwabwaja moto na mateso ya kiama. Alitoa picha nzuri ya Pat OBrien akicheza nafasi ya Padri Francis Duffy wa kikosi cha 69 cha wapiganaji kabla hajapotea katika wingu la moshi wa sigara nene, akikoroma jambo fulani kuhusu kuua wa k o m uni s t i . Vi j a na wawili kutoka Chicago walimfuata nyuma wakiita Fatha, Fatha, bila shaka wakiwa na haja ya msaada wa kiroho wa aina moja au nyingine, lakini alishahitimisha ziara yake ya kiroho kambini. Kazi ilikuwa imemalizika. (Philip Giraldi, ofisa wa zamani wa CIA, ni Mkurugenzi Mtendaji wa kitengo huria cha ushauri wa masuala ya sera za kiusalama nchini Marekani, Council for the National Interest.)
mashimo matatu ya risasi utosini yakionyesha kuwa alipigwa risasi kwa silaha ya M - 1 6 k wa k a r i b u . Askari wenzake katika hatua isiyo ya kawaida walizichoma moto nguo zake na deraya zake za mwili baada ya kufa, na kitabu chake cha kuandika kumbukumbu zake za siku hadi siku kilikuwa hakionekani. Uchunguzi wa jinai uliombwa lakini ukakataliwa na utawala wa jeshi. Wakati familia ilipolalamika, ofisa wa uchunguzi mwandamizi Luteni Kanali Ralph Kauzlarich alisema kuwa wanadai hilo kwani familia ya Tillman wote hawaamini. Kama wewe unakana kuwa Mungu yupo na huamini katika chochote, kama unakufa, ni wapi unapokwenda? Hakuna chochote. Unakuwa sehemu tu ya minyoo ardhini. Kuna kibwagizo kuhusu askari, kutoamini
inajijenga kuwa tabaka la wapiganaji ambalo pia lina ushawishi wa kina wa kidini kama hitaji muhimu inasaidia tu kuongeza umbali wa kihisia kati ya askari n a wa n a n c h i wa l i o wengi, nje ya masuala ya kikatiba inayozuia. Uzoefu wangu na vita vitakatifu kwa msaada wa Jeshi la Marekani umekuwa tofauti kidogo, lakini ulikuwa ni wa askari wa mujibu wa sheria, zamani sa na. Katika mafunzo
ya awali wakati wa vita ya Vi e t n a m m s h a u r i
Makala
AN-NUUR
KANISA Katoliki linafurahia kiwango cha juu cha kupendeza katika vyombo vya habari kuliko ilivyokuwa kwa miongo kadhaa sasa, na mamia ya maelfu ya Wakatoliki waliokuwa wamekata tamaa wanarudi, kwa upande mmoja kutokana na u o n g o z i m p ya n a kwa njia fulani wa k i m a p i n d u z i , wa Papa Francis I. Lakini, kama inavyosema makala ya kina ya kituo cha utangazaji cha PBS 'Frontline' chenye kichwa cha habari S i r i z a Va t i c a n , mikasa ya kimaadili ambayo ilikaribia kuteketeza imani ya wengi katika kanisa, iliyoanza baada ya kifo cha Papa Yohana Paulo II mwaka 2005, bado haijatokomea. Isitoshe, kufaulu kwa Upapa wa Francis I kutategemea anavyoitatua mikasa hiyo kwa haraka na kwa kina. Siri za Vatican iliyoonyeshwa Washington Februari 25 katika vituo vya wazi vya televisheni, inaangalia bila kubakiza kitu, hali ya kanisa Papa Francis aliyoirithi kutoka kwa mtangulizi wake, Papa Benedict XVI ambaye alimfuatia Papa Yohana Paulo II, na mkuu wa kwanza wa kanisa kujiuzulu katika kipindi cha miaka 600. 2012 ulikuwa
mwaka wa machukizo kwa (Benedict)," anasema Antony Thomas, mtengenezaji wa kipindi/makala hiyo, mwandishi na mkurugenzi wa filamu hiyo kwa ajili ya Frontline, aliiambia Yahoo News katika mahojiano. Kila kitu kilikuwa kinaporomoka. Alikuwa anataka kuisafisha benki ya Va t i c a n . A l i k u w a katika hali ngumu sana muda wote." Mwaka wa mikasa katika maeneo mengi, siyo tu kuhusiana na ubadhirifu wa fedha katika benki ya Vatican, ila pamoja na matukio ya uingiliaji (kunajisi) wa watoto wadogo na mapadre kuenea zaidi ya nchi 20, na hivyo kuzidi kudhihirika kwa unafiki wa kanisa kuhusu ushoga. Mabadiliko mawili muhimu yaliyoletwa na Benedict yalikuwa yamebadilisha kwa uwazi katekismo ya Kikatoliki - yaani, kanuni za kutumika kwake - kuainisha ushoga kama uharibifu wa kimsingi, kuweka mazingira ya, pamoja na mambo mengine, kuwaondoa mapadri shoga. Wakati huo huo, taarifa zilianza kusikika Roma kuhusu uwepo wa mafia ya kishoga' ndani ya kanisa ambayo ilikuwa inajumuisha baadhi ya maofisa wake wakuu, ambao hawakuwa na simile katika kutumia nguvu zao za kisiasa na pia kuendelea kuishi maisha ya wazi kabisa na ya ushiriki
PAPA Francis (katikati) akiongea na Rais Barack Obama (kushoto) pamoja na mkewe. mwingi katika ushoga. N a a m i n i a n a t a k a ambaye pia alifaulu Kuliwa na mengi tuwahudumie watu kuzaa watoto kadhaa yaliyojitokeza, ikiwa ni w a k e , n a h i v y o na wanawake takriban pamoja na mtu mmoja, chapisho linaposema wawili. Makosa ya Maciel ambaye anasemekana huwezi', hilo ni janga a l i k u w a a n a t o a kubwa. Ni maumivu.. ya l i f i c h u l i wa k wa wavulana wa kwaya n a t u m a i n i k u w a , njia isiyopingika na kama wa kupanga," siku moja, Mapadri uchunguzi wa Vatican T h o m a s a l i s e m a . w a n a w e z a k u w a ulitolewa mwaka T u l i c h o j a r i b u huru katika uhusiano mmoja baada ya kifo kufanya katika filamu na wawe Mapadri c h a Pa p a Yo h a n a hii, ni kutokufanya wazuri. Kuwa useja P a u l o I I . H u k u j a m b o h i l o l i w e katika Kanisa utakuwa akiwa anatazamiwa wa kujiamulia." kutangazwa mtakatifu rahisi. Wako watu Siri za Vatican" h a p o A p r i l 2 7 , wengi katika Vatican p i a i n a a n g a l i a Papa huyo alikuwa ambao ni mashoga mwingiliano kati ya m u u n g a j i m k o n o na wanaishi maisha hitaji la Kanisa kuwa mkubwa wa Maciel ya useja, na hii ni M a p a d r i wa b a k i e na wana-Mgambo wa ngumu kwao. Na kuna katika useja na idadi Kristo, ambayo ilijenga wengine wanashiriki kubwa ya uingiliaji sifa ya ukusanyaji k i k a wa i d a k a t i k a watoto katika ngazi raslimali kwa nguvu, ushoga." zake tofauti. Si mengi kuwashawishi vijana K a t i k a f i l a m u yalikuwa mabaya kama k u wa wa t a wa , n a h i y o , Pa d r i s h o g a lile la Padri Marcial k u s i m a m a w i m a a n a y e f a n y a k a z i Maciel Degollado, d h i d i ya u l i b e r a l i Vatican anaeleza athari mwanzilishi wa umoja (uhuru wa mtu binafsi za mafundisho ya w a k i - K a n i s a w a kupindukia). kanisa kuwa ni kama Legionaires of Christ Ikiwa imekaribia kisu moyoni mwako, (wana-Mgambo wa kufilisika kutokana kwani naamini katika Kristo), mwingiliaji n a k u f i c h u l i w a wito, Naamini katika w a t o t o a m b a y e k w a m a t e n d o y a k u i t i k i a k u f a n y a vitendo vyake Kanisa mwanzilishi wake, k a z i ya M u n g u . lilivipuuzia kwa Namwamini Yesu. miongo kadhaa - na Inaendelea Uk. 11
10
Na Said Mihiko KUIBUKA na kuanguka kwa mataifa, mara zote kumefuata mpangilio wa kanuni na taratibu, ambazo zimefafanuliwa vyema ndani ya Qur'an kwa njia mbalimbali. Hakuna sababu ya kuamini kwamba kanuni hizi zitabadilika katika karne ya 21, eti kwa sababu tu kuna mataifa yameweza kuunda vyombo vya kwenda angani na makombora ya 'cruise'! Utambuzi wa kweli wa hali ya Umma wa Wa i s l a m u , u n a w e z a kutoka ndani ya Qur'an tu, kwa sababu vigezo vingine vyote, ama ni nusu ukweli au mawazo matupu, ambayo hayana uhusiano wowote na uhalisia. Kigezo kimoja muhimu cha Qur'an, katika kufahamu hali ya jamii, ni kuchunguza hali ya watu binafsi, wanawake n a wa n a u m e , a m b a o ndiyo wanaounda jamii. Msisitizo huu wa mtu mmoja mmoja, pia ndiyo njia ya Qur'an ya kujenga jamii zenye haki. Kwa hiyo, ili kuleta mabadiliko yoyote katika j a m i i z a Wa i s l a m u , mabadiliko lazima yatokee katika hali za kimaadili, kiroho na kimali (material) za mtu mmoja mmoja, ambao ndiyo wanaounda jamii hizo. Kwa hiyo, inapodaiwa kuwa ulimwengu wa Waislamu uko katika hali mbaya, maana yake ni kwamba hali za wanaume na wanawake, wa n a o j i i t a Wa i s l a m u ndiyo mbaya. Na hili ni matokeo ya moja kwa moja ya Waislamu kutupa vyanzo vyao viwili vya Uislamu, ambavyo ndivyo vinavyowapa mfumo wao wa maisha. Mfumo ambao u n a wa we z e s h a k u wa Makhalifa wa Mwenyezi Mungu hapa duniani. Kimsingi, Muislamu wa kweli hawezi kuwa katika hali mbaya kama ilivyo sasa. Ni ukweli uliothibitika wazi kihistoria kwamba, wakati Waislamu walipoufuata Uislamu kwa ukweli, waliweza kuunda jamii bora zenye ustawi na waliweza kutawala dunia. Kwa hiyo, kuuacha Uislamu, ndiyo sababu ya Waislamu kuwa katika hali mbaya duniani leo! B a a d a ya k u u t u p a Uislamu kama mfumo kamili wa maisha,
Maradhi ya umma-2
Makala
AN-NUUR
MWANAMKE wa Kiislamu (kulia) akitoa da'awah kwa asiyekuwa Muislamu. mfumo wa Kimagharibi ukapandikizwa kwenye jamii za Waislamu kama mbadala. Kuhama huku, kutoka kwenye mfumo wa Kiislamu na kuingia k we n ye U m a g h a r i b i , kumeleta madhara makubwa kwa Waislamu. Kumesababisha maadili ya Waislamu yabadilike na hata vigezo vya kuyaangalia mambo. Hali hii imetia ukungu maono ya wazi yaliyoletwa na Uislamu, katika kiwango ambacho mapambo bandia ya Kimagharibi, yamewachanganya kabisa Wa i s l a m u ! Wa n a t a k a kuiga kila kitu - mtindo wa maisha, maadili, fikra na mifumo mbalimbali ya Kimagharibi. Wanalazimisha mfumo huu wa maisha kwa jamii zao. Waislamu wengi zaidi wakifuata mfumo huo, basi maradhi ndiyo yanazidi kusambaa kwenye jamii nzima ya Waislamu. Changamoto kubwa inayowakabili wasomi Waislamu duniani leo, ni kutafuta njia za kukabili wimbi zito linalotaka kuzibadili jamii zao na kuwa za Kimagharibi. Wanahitaji kubainisha mapungufu ya mfumo wa Kimagharibi na kuonyesha, vipi maisha yanayozingatia misingi ya Kiislamu, ndiyo suluhisho pekee la matatizo yote ya n a y o z i k a b i l i j a m i i za Waislamu duniani. Baada ya kuelewa hilo, sasa mkazo unakuwa kwa Muislamu mmoja mmoja, katika mchakato wa kuijenga upya jamii ya Waislamu. Lazima tutambue vishawishi ambavyo vinajenga na kuunda maisha ya mtu mmoja mmoja kwenye jamii. Kwa maneno mengine, tunahitaji kuelewa kitu gani hasa k i n a m f a n ya m t u a we Muislamu madhubuti. Vishawishi muhimu zaidi vinavyojenga maisha ya mtoto vinatoka 'nyumbani' na shule. Miaka ya awali ya elimu, siyo tu inazalisha stadi za mtoto, bali pia inajenga mtazamo wake kuhusu ulimwengu na tabia zake za kudumu. Hiyo ndiyo sababu Qur'an huwa Kitabu cha mwanzo kabisa kusomwa na kila mtoto kwenye ulimwengu wa Waislamu. Hisia za mwanzo za Qur'an ndizo zilizokuwa zikifinyanga maisha ya Waislamu. Watoto pia walikuwa wakijifunza taaluma na stadi nyingine za msingi kimaisha kupitia falsafa ya Qur'an. Katika zama za sasa, idadi kubwa ya Waislamu hawaifahamu vizuri Qur'an. Wanashindwa kutambua kwamba kusoma Qur'an siyo tu ni ibada ya kupata thawabu, bali pia ni njia inayoweza kubadili maisha yote ya Muislamu anayesoma Aya hizo za Kitabu cha Mwenyezi Mungu. Ni mchakato hai wa ndani, ambao unambadilisha na kumjenga Muislamu, j i n s i ya k u ya a n g a l i a mambo yote yaliyopo na yanayotokea duniani. Muingiliano huu na Kitabu cha Mwenyezi Mungu pia ulikuwa ni mchakato wa kujifunza wa maisha yote ya Muislamu. Ilikuwa ni Kitabu hiki ndicho kilichozalisha uongozi madhubuti katika jamii za Waislamu - uongozi ambao, awali uliweza kufahamu matatizo makubwa ya ulimwengu huu na kuyapatia ufumbuzi, ikiwa ni pamoja na kugundua njia sahihi ya kuelekea ulimwengu ujao. Hali haiko hivyo tena leo. Mtazamo kuhusu dunia walionao Waislamu wengi haukujengwa juu ya msingi wa Qur'an, bali umejengwa na elimu za kisekula, huku Uislamu ukifundishwa kwa kudonoa, tena katika mtindo wa nusu nusu. Huu ndiyo mzizi wa majanga yote yanayowakumba Waislamu duniani leo. Wakoloni waliowatawala Waislamu walifahamu vyema kwamba ili kuudhoofisha ulimwengu wa Waislamu, lazima wakate kabisa mizizi ya Mfumo wa Elimu wa Waislamu. Walihujumu vipawa na karama za Wa i s l a m u . Wa l i p o r a mali na kuvuruga taasisi za Elimu za Waislamu, ambazo ndizo zilizokuwa zikizalisha Wasomi wa Kiislamu, sina maana ya Wasomi
Waislamu, na badala yake wakapandikiza mifumo na taasisi zao za kielimu. Baada ya muda, mifumo hii mipya ya elimu kutoka ulimwengu wa Magharibi, ikabadili mfumo mzima wa elimu katika ulimwengu wa Waislamu, na kuzalisha aina mpya ya Wasomi, ambao wameng'olewa kutoka kwenye shamba lao la kiitikadi na kitaaluma. Matokeo yake, Waislamu wengi leo duniani, wana ufahamu mdogo sana kuhusu dini yao na mila yake ya kisomi. Leo hii, mafundisho ya Uislamu na utamaduni wa k e m a d h u b u t i wa kitaaluma, vimepuuzwa k a b i s a n a Wa i s l a m u walio wengi. Elimu ya Kisekula inazalisha Waislamu Masekula tu, isipokuwa wachache mno, wale wenye ufahamu wa kutosha kuhusu dini yao. Waislamu wenye mtazamo wa Kisekula, ni wale wanaouweka Uislamu upande mmoja, na dunia upande mwingine. Kwao wao, Uislamu ni kwa ajili ya Akhirah tu, ingawa hawasemi hivyo wazi. Unapozungumzia masuala ya Uislamu kutawala na kuendesha mambo, wanaona haiwezekani. Elimu walizopitia zimewaandaa hivyo. Ndugu zangu katika imani, maradhi hayo yameutafuna sana umma wa Kiislamu, kiasi kwamba si rahisi siku hizi, kukuta "Waislamu Walioelimika" wanajua chochote kuhusu kazi za wanazuoni wakubwa kama Fakhr al - Din al - Razi, Abu Hamid al - Ghazali, Ibn Qayyim al - Jawziah, Abul ala Maududi, Sayyid Qutb, Ibn Khaldun na mamia ya wanazuoni wengine wa Kiislamu. Waislamu wengi "Wasomi" wanaziona kazi za kitaaluma za wanazuoni hawa kuwa hazifai, z i m e p i t wa n a wa k a t i na zinastahili kutupwa jalalani. Na mbaya zaidi, wamezitupa kazi hizo, bila ya kufungua hata kurasa moja na kuona ubaya wake, kama adabu za kisomi zinavyotaka. Wanataaluma hawa bobezi wa Kiislamu, wameacha hazina kubwa ya utaalamu, ambayo imeangalia na kuchambua masuala m u h i m u ya n a y o g u s a maisha ya kila siku ya Waislamu. Wasomi wetu Waislamu katika zama hizi hawajui hilo. Rejea kuu Inaendelea Uk. 12
11
Makala
AN-NUUR
wa n a - M g a m b o walimlaani Maciel mwezi Februari na kuwaomba radhi waliowaumiza, licha ya kuwa kundi hilo lilimchagua mmoja wa wasaidizi wake wa karibu kuwa kiongozi wao. S i r i z a Va t i c a n " i n a m h o j i m m o j a wa wanae Maciel, ambaye anaelezea ubaya aliokuwa akifanyiwa na baba yake. Thomas alisema kubainisha katika filamu kwa aina ya unyanyasaji wa kingono ulikuwa lazima - kwa sababu bado ni jambo linaloleta wasiwasi mkubwa na kwa sababu ya umuhimu
wake inawezekana bado haujazingatiwa kiasi cha kutosha katika hisia za watu. Ni kwa kiasi gani ni vibaya zaidi kufanyiwa vitendo viovu na Mchungaji wako - na jinsi waingiliaji watoto wanavyowafanya watoto wajisikie hatiani pale wanapoambiwa ni wewe utakayekwenda motoni kama utasema lolote juu ya jambo hili' (kwa maana kuwa walitishwa n a Wa c h u n g a j i walio wanajisi kuwa watakwenda Jahanamu iwapo watasema kuwa wamefanyiwa mchezo huo mbaya). Unachukua mawazo ya ndani kabisa ya mtoto na
kuyakanyagakanyaga." Na bado, Thomas alisema, licha ya k u wa h o j i m a k u n d i kadhaa ya watu katika utengenezaji wa filamu hiyo uliochukua karibu mwaka mmoja, aligundua kitu kilichokuwa karibu ya mwujiza. Ni mtu mmoja t u a l i ye s e m a k u wa makosa makubwa ya Kanisa katika kipindi cha muongo mmoja kinapunguza imani. Watu wote ambao ni wakinzani wakubwa wa kile kinachotokea, wote ni waumini wakubwa wa Ukatoliki, na nadhani hiyo ni adhimu sana," Thomas alisema. Zaidi, licha ya kuwa Papa
Francis bado hajaangalia kwa karibu masuala magumu kama utoaji mimba na uzuiaji mimba, ameinua mioyo na matumaini ya makundi makubwa ya Wakatoliki waliokuwa wamekata tamaa. Ameelezea msimamo bayana kuhusu kuongezeka k wa p e n g o k a t i ya watu tajiri na maskini duniani. Mtazamo ambao anaendana na Rais Barack Obama wa Marekani, ambaye anapanga kutembelea Makao Makuu ya Papa hapo Machi 27.
Kama Francis ataweza kufunga mafundo yaliyoachwa yananing'inia ya Benedict kwa kuifanyia mageuzi Benki ya Vatican na Curia (Sekretarieti) ambayo inasimamia mfumo wake wa u ta wa l a , ni ha d i thi ambayo hitimisho lake bado. Lakini Papa mpya kwa hali yoyote ile anakabiliana na hali hii. Thomas alisema. Ni mchangamfu, mshiriki kwa hisia na wa kawaida. Tayari amefanikiwa kufanya mengi na hajakaa madarakani kwa mwaka mmoja bado."
itakayokidhi mahitaji na matakwa ya makundi jamii yote yanayounda hiki kinachoitwa leo Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Wabillah taufiq Sheikh Abdallah Ahmad Bawazir 0767 215 898
MWENYEKITI wa muda Bunge Maalum la Katiba, Pandu Ameir Kificho, akitoka bungeni baada ya kuahirisha kikao cha Bunge hilo hivi karibuni.
12
Mashairi/Makala
AN-NUUR
Maradhi ya umma-2
wanazotegemea kuhusu ulimwengu na mambo yake, ni wanazuoni na wachambuzi wa Kimagharibi. Hawa ndiyo "Wasomi" wetu Waislamu. Lakini wale ambao hawakupitia taasisi za kisekula za elimu, nao wanaugua maradhi mengine sugu. Wanasoma elimu za madrasa a m b a z o m a u d h u i ya kidini (religious content) ya mitaala wanayopitia, inaishia kwenye vitabu vichache tu, na shehena k u b wa ya k i t a a l u m a inayozungumzia ulimwengu wa kisasa haiguswi kabisa. Masomo kama Sayansi ya Tiba, H i s a b a t i , S a ya n s i z a Kijamii (Social Sciences) na Sayansi Asilia (Natural Sciences), hayafundishwi kabisa katika shule hizi za "mafunzo ya kidini". Kwa hiyo shule hizi hazina u we z o wa k u z a l i s h a Wa i s l a m u a m b a o wa n a we z a k u k a m a t a nafasi za uongozi katika jamii. Kwa hiyo jukumu zito la uongozi na utawala katika jamii, linaachwa mikononi mwa Waislamu waliopitia taasisi za kisekula za elimu, ambazo zimejengwa kwa miundo na falsafa za Kimagharibi, zinazopinga vikali Uislamu. Hali hii imeweka ufa mkubwa katika jamii n y i n g i z a Wa i s l a m u d u n i a n i , Ta n z a n i a i k i w e m o . Wa i s l a m u wengi wanapewa elimu ya kisekula na wachache wanapata elimu ya "kidini". Makundi haya mawili mara kwa mara yanakuwa katika msuguano na kusababisha hali tete katika jamii, kutokana na tofauti zao kimtazamo kuhusu ulimwengu. Bila shaka, kuna Waislamu ambao kupitia jitihada zao wenyewe, wa m e we z a k u j i p a t i a elimu kutoka pande zote mbili za ulimwengu, lakini hawa ni wachache mno. Ili kuweka msingi wa harakati endelevu za kusimamisha Uislamu, mabadiliko makubwa yanahitajika katika jamii za Waislamu, tena kwenye ngazi zote, hususan sekta ya elimu. Wakati Waislamu wengi wanafahamu hitajio hilo,
Inatoka Uk. 10
Nimeishika kalamu,mkono wa kuumeni Niandike ya kaumu,yanayojiri nchini Yahitajika nidhamu,uadilifu moyoni Japo vuta nikuvute,hatutafuti mshindi Yupo atakae moja, siyo kwamba majinuni Anazo zakwake hoja,bora nafasi mpeni Mawazoye kuyachuja,hilo ni jambo auni Japo vuta nikuvute,hatutafuti mshindi Anayezitaka mbili,pia msikilizeni Mzitulize akili,mjadili kwa makini Huru mkalijadili,pasi vitisho sirini Japo vuta nikuvute,hatutafuti mshindi Wanao zitaka tatu,siyo kwamba jambo geni Wamevivaa viatu,vilivyo achwa zamani Wame ukabili mwitu,sasa mambo hadharani Japo vuta nikuvute,hatutafuti mshindi Kweli vuta nikuvute,basi kwa haki vuteni Masilahi muyalete,ni yataifa mbeleni Makundi msiyatute,kuyaingiza bungeni Japo vuta nikuvute,hatutafuti mshindi Hatutafuti mshindi,limeshinda kundi gani Japo nimejitahidi,utamuwe si uoni Nimefika kwenye tindi,kalamu naweka chini Japo vuta nikuvute,hatutafuti mshindi Isihaka Hemed Mzuzuri(Sauti ya Mkutubi) MUM-Morogoro
VUTA NIKUVUTE
kuna taasisi chache mno zilizodhamiria kwa dhati kuendeleza rasilimali mpya za kielimu, ambazo zimejengwa juu ya mtazamo wa Qur'an kuhusu ulimwengu (Qur'anic Worldview). Yaani taasisi za kielimu za Kiislamu ambazo zina uwezo wa kujenga stadi, kulea vipaji, na kutoa mafunzo muhimu yanayohitajika, ili kuuelewa ulimwengu wa kisasa. Ukosefu wa mtaala kama huo, utawafanya watoto wetu waendelee kutumikia taasisi za kisekula, hatua ambayo inazifanya jamii za Waislamu duniani ziendelee kuwa mbali na mtazamo wa Qur'an kuhusu ulimwengu. Ndugu zangu katika imani, hali hiyo ndiyo inayotufanya Waislamu t u we wa n y o n g e k wa ulimwengu wa Magharibi kila siku, kwa sababu hicho ndicho mfumo wa elimu unachopanda kwenye vichwa vya watoto wetu. Bila shaka kuleta mabadiliko ni mchakato utakaochukua muda mrefu sana, na wala hakuna njia ya mkato katika kutibu maradhi haya mazito ya umma wa Kiislamu. Ukiangalia kuibuka na kuporomoka kwa mataifa mbalimbali kupitia macho ya Qur'an, pengine njia ya haraka zaidi kuanza mchakato
h u u wa m a g e u z i n i kujenga rasilimali mpya za kielimu, na taasisi za mafunzo kufundisha mtaala huu mpya. Njia hii itatuletea Waislamu wenye kuyaona mambo K i i s l a m u . Wa i s l a m u waliozama kwenye maono ya Kiislamu, wenye uwezo wa kutafakari, kuchambua na kukabiliana na changamoto zinazowakabili Waislamu duniani leo. Baadhi ya wachambuzi waliozama zaidi kwenye elimu ya kisekula, wanadhani Marekani kupitia shirika lake la k i j a s u s i ( C I A) , i n a mipango mizito sana ya kuwamaliza Waislamu, b i l a y a Wa i s l a m u we n ye we k u t a m b u a . Lakini wachambuzi waliozama zaidi kwenye Qur'an, wanaziona mbinu hizo ni dhaifu tu, kama alivyobainisha Mwenyezi Mungu mwenyewe, ndani ya kitabu chake: " Wa l e w a l i o a m i n i wanapigana katika njia ya Mwenyezi Mungu, lakini waliokufuru wanapigana katika njia ya Shetani. Basi piganeni na marafiki wa Shetani. Hakika hila za Shetani ni dhaifu" Qur(4:76) Tuupe nafasi umma wetu kuwajua mashujaa wake, jinsi walivyoishi hapa duniani na pia jinsi walivyorejea kwa Mola wao.
DVD
DVD
DVD
DVD, inayozungumzia umuhimu wa Elimu ya kumjua ALLAH (SWT), sasa zinapatikana. Mwasilishaji wa mada hiyo ni Sheikh Fahad Ibrahim kutoka Shule ya Alfurqaan, Buguruni-Malapa. Kwa mahitaji na mawasiliano zaidi piga Simu No:- 0773 032 328, 0712 232 328, 0768 816 040.
13
Makala
AN-NUUR
Papa Francis Commission into Institutional Responses to Child Sexual Abuse, lilizinduliwa April 2013. Linatarajiwa kuhoji waathirika wa vitendo hivyo vya ngono kuanzia 5,000. Canada: Kituo cha Mount Cashel Orphanage, Newfoundland, kilifungwa mwaka 1990 baada ya wafanyakazi wake kuwafanyia ngono watoto kwa miongo kadhaa. Mwaka 2002, muungano wa waliojitangaza kuwa ni waathirika zaidi ya 10,000 wa vitendo vya ngono, waliunganisha nguvu kudai malipo ya fidia. Nchini Marekani: U c h u n g u z i wa m a k o s a ya jinai wa mwaka 2004 uliwanasa Mapadri 4,400 na makosa ya kufanya ngono na watoto kati ya mwaka 1950 na 2002; ubakaji huo uliathiri watoto wapatao 11,000. Askofu Mkuu wa zamani wa Boston Bernard Law alilazimishwa kujiuzulu mwaka 2002 kwa kuwalinda Makasisi wabakaji. Askofu Mkuu wa zamani wa Los Angeles, Roger Mahony, alikubali kulipa dola za kimarekani milioni 660 kwa waathirika 500wa vitendo vya ngono. Nchini Ireland: Padri mmoja alikiri kubaka zaidi ya watoto 100, mwingine alisema mara kadha alikuwa akifanya ngono na watoto k wa z i d i ya m i a k a 2 5 . Jumla ya watoto wa Irish 14,500 wameripotiwa kuwa waathirika wa vitendo vya ngono walivyofanyiwa na Makasisi. Nchini Ujerumani: Mapema mwaka 2010, mamia ya kesi za kubakwa watoto katika taasisi za makanisa zilijitokeza. Katika chuo cha Jesuit college Canisius jijini Berlin kiasi cha kesi 20 kiliripotiwa. Mwishoni mwa mwaka 2012, ripoti ilisema kwa uchache maofisa 66 wa Kanisa walituhumiwa kujihusisha na vitendo vya ngono dhidi ya watoto. Nchini Uholanzi: Mwishoni mwa mwaka 2011, ripoti ilisema,maelfu ya watoto walibakwa ndani ya taasisi za Kanisa kati ya mwaka 1945 na 2010, na kiasi cha washukiwa wapatao 800 walitambuliwa. L a k i n i Va t i c a n p i a lilikasirishwa na kile ilichokiita kuingiliwa m a f u n d i s h o ya K a n i s a baada ya UN kuitaka Vatican irekebishe misimamo yake. Askofu Mkuu Silvano Tomasi, Mkuu wa Ujumbe wa Holy See kwenye Umoja wa Mataifa mjini Geneva, alitetea rekodi ya kanisa ya kupambana na ubakaji watoto. Nafikiri ni vigumu sana kupata taasisi nyingine au hata dola ambayo imefanya vya kutosha hasusan katika kuwalinda watoto, alisema. Ripoti iliitaka Vatican kutizama upya nafasi yake juu ya utoaji mimba ambao ni wazi kwamba ni jambo la hatari katika maisha na afya za wasichana na kutoa mwito wa kulegea kidogo katika kutambua hali ambayo uwezekano wa kuwepo huduma ya kutoa mimba
14
TANGAZO
AN-NUUR
1. Shule hizi ni za Kiislamu zenye lengo la kuwapa wanafunzi taaluma ya hali ya juu na malezi bora ya Kiislamu. 2. Shule hizi ni za bweni za mchanganyiko wa wavulana na wasichana . 3. ZipoCombinationszaSAYANSI, ARTSnaBIASHARA.Piawanafunzi wote wanafundishwa Islamic Knowledge,Introduction to Arabic na Compyuta. 4. Muombaji awe na Crediti tatu na Pass mbili au zaidi katika mtihani wa kidato cha nne. 5. Fomu za Maombi zinapatikana kwa gharama ya shilingi 10,000/= katika vituo vilivyoorodheshwa hapa chini.
Arusha - - - Ofisi ya Islamic Education Panel Jambo Plastic Ghorofa ya 2 mkabala na msikiti Mkuu Bondeni - 0763 282 371/ 0784 406 610 Moshi: Msikiti wa Riadha 0654 723 418 Same: Kirinjiko Islamic Secondry School: 0784 296424/0655 697 075 Uongofu Bookshop: - 0784 982525/ Mandia Shop - Lushoto: 0782257533 Nyasaka Islamic Secondary School 0717 417685/0786 417685 Ofisi ya Islamic Education Panel - Mwanza - Mtaa wa Rufiji mkabala na Msikiti Al-Amin 0785 086 770 Duka la Kansolele -Stendi ya zamani sokoni - 0714587193 Bukoba: Alhuda Caf Kwa mzee Kinobe karibu na ofisi za TRA. - 0688 479 667 Msiikiti wa Majengo-0718866869 Kahama ofisi ya AN NUUR Karibu na msikiti wa Ibadhi: 0753 993930 Ubungo Islamic High School 0754 260 241/0712033556 Ofisi ya Islamic Ed. Panel Temeke -Msikiti wa Nurul Yakin 0655144474 Wasiliana na Ramadhani Chale :0715704380 Hijra Islamic Primary School : 0716 544757/0712 325086 Ofisis ya Islamic Ed. Panel karibu Nuru snack Hotel 0714285465 Babati: Shule ya Msingi Hangoni: 0784 667575 Msikiti wa mwanga Kigoma: 0753 355224 Kibondo Islamic Nursery School: 0784 442860 Kasulu: Murubona Isl.SS. 0714710802. Wapemba Store: 0784 974041/0786 959663 Amana Islamic S.S 0786 729 973 Kilimanjaro
Kigoma - - - Lindi - -
- Kwa Kawanga Karibu na Msikiti wa NURU 0715 681701/0716791113 - Mkuzo Islamic High School. 0716 791113 - Duka la vifaa vya Kiislamu nje ya Msikiti wa Uyole 0713 200209 Rexona Video mkabala na Mbeya RETICO: 0713 200209 Sumbawanga: Masjid TAQWA 0717082 073 Kituo cha Kiislamu Isevya: 0784 944566 Madrastun Najah: 0714 522 122 Wete: Wete Islamic Education Center: 0777 432331
- Madrasatul Fallah: 0777125074- - Ofisi ya ust. Yusufu Ally jirani na msikiti mkuu 0653705627
6. Pia Fomu zinapatikana kwenye Tovuti: www.ipctz.org. Ikumbukwe kuwa watakaopata fomu kupitia tovuti (download) watatakiwa kuzilipia wakati wa kuzirejesha. USIKOSE NAFASI HII ADHIMU WAHI KUCHUKUA FOMU SASA! Wabillah Tawfiiq MKURUGENZI
15
Makala/Tangazo
AN-NUUR
16
AN-NUUR
MAKALA
16
AN-NUUR
na Kamati ya Vyakula na Kilimo Ulimwenguni ( FA O C o m m i t e e ) inayoitwa CODEX A L M E N TA R I U S , iliyotaja kwamba kinywaji chochote ambacho kina kiwango cha Alkoholi chini ya asilimia 0.5% kinahesabika kwamba hakina Alkoholi (yaani kimeepukana na kilevi). Kwa mujibu viwango vya kitaalamu, vinywaji vilivyoepukana na kilevi Chini 0.5% alc (Alcohol) vimegawanyika katika makundi matatu nayo: Alcohol free beer/ wine/ lager. De-alcoholized. Non-alcohol. K u n d i l a k wa n z a na pili pamoja na kwamba vinywaji vyake vinahesabika kwamba vimeeepukana na kilevi, yaani alkoholi chini ya 0.5% alc (alcohol). Lakini kimaabara vina alkoholi ambayo ina kiwango kinachopimika (measurable). Kwa mujibu wa mtizamo wa Kiislamu, kila kinacholewesha kidogo au sana kunywa
ni haramu kama tulivyoyoona hapo juu kwa mujibu wa Quran na Hadithi. Kundi la kwanza na pili kwa mujibu wa viwango vya FAO, vinahesabika kwamba havina (kilevi) alkoholi chini ya 0.5% alc (Alcohol), lakini vina kilevi ambacho kinaweza kulewesha, kwa hivyo, ni haramu kwa Muislamu kunywa vinywaji vilivyotengezwa kulingana na makundi hayo mawili kati ya ALCOHOL FREE BEER/ WINE/ LAGER na DEALCOHOLIZED. Kundi la tatu ambalo ni Non-Alcohol ni vinywaji vyote ambavyo vimeepukana kabisa na kilevi (Alkoholi), k wa v i n y wa j i h i v i kwenye utengenezaji wake vimengenywa ( e n z y m e s ) havikurutubishwa. Na mtengenezaji pombe pia hutumia ngano kwa kuchanganya na vimengenyo (hamira) katika mchakato (process) wa utengenezaji wake,
lakini huvirutubisha vimengenyo (enzymes) ili kuweza kupata alkoholi (kilevi). Hivyo hukumu ya uhalali na uharamu wa alkoholi (kilevi) itatolewa kulingana n a k i wa n g o c h a k e kilichomo kwenye b i d h a a ya c h a k u l a (kinywaji), ( % alc). Muislamu ni wajibu wake kabla ya kutumia bidhaa za viwandani ambazo vina alkoholi kwa ajili ya matumizi ya chakula au vinywaji kwa mujibu wa viwango vya FAO ( 0.5 % alc) ni wajibu wake kujua viko kwenye kundi gani la viwango vya alkoholi nilivyovitaja hapo juu na ni lazima asome tangazo (lebel) ili kuweza kuangalia viambata (Ingredients or constituents) vilivyomo kwenye bidhaa. Vyakula au vinywaji ambavyo vimeepukana na kilevi huwezi kuvitolea hukumu kisheria katika dini (Uislamu) kwamba ni kilevi kwa dhana ya Inaendelea Uk. 15
Gazeti hili hutolewa na Islamic Propagation Centre S.L.P. 55105 na kupigwa chapa na POA Printing Works LTD, S.L.P. 4605, Dar es Salaam.