Академический Документы
Профессиональный Документы
Культура Документы
ISSN 0856 - 3861 Na. 1158 RABIUL AWWAL 1436, IJUMAA , JANUARI 2-8, 2015 BEI TShs 500/=, Kshs 50/=
Na Seif Msengakamba
HAKIMU wa Mahakama
ya Kisutu, jijini Dar
es Salaam, amesema
anashangaa kuletewa kesi
za watuhumiwa kutoka
Zanzibar.
Ameyasema hayo
kufuatia kesi ya
watuhumiwa wa
ugaidi kutoka Zanzibar
kurejeshwa tena Kisutu
kutoka Mahakama Kuu.
K w a
u p a n d e
mwingine, timu ya
Mawakili wanaowatetea
watuhumiwa katika kesi
Inaendelea Uk. 3
Tahariri/Habari/Makala
2
AN-NUUR
AN-NUUR
wa j u m b e m b a l i m b a l i
kutoka kwa wakuu wa
makabila na watawala wa
kigeni, uadilifu wake katika
uendeshaji wa mahakama,
na kuwapa msamaha wote
waliomkosea baada ya
ukombozi wa Makka, ni
ushahidi mwingine wa
umahiri wa Mtume katika
'Uendeshaji Serikali'.
Dola aliyoianzisha
Madina haikuwa bahati
mbaya. Ndiyo hasa ilikuwa
'Mission' ya Mtume
wa Mwenyezi Mungu,
kwamba aanzishe dola, ili
aweze kusimamisha sheria
ya Allah katika ardhi. Na
ndiyo maana watawala
wa Makka walimpiga vita
sana. Walikuwa wanaijua
dhamira hii ya Mtume
kuhusu utawala. Kwa
bahati mbaya, Waislamu
wengi leo hatuipendi kabisa
sunna hii. Tunaogopa
misukosuko yake.
Wa t u wa n a w e z a
kuikubali imani mpya,
lakini itachukua muda
kubadili tabia zao, desturi
zao na mienendo yao
ya maisha. Hata kama
3
Na Salma Al- Ghaithiyyah,
Zanzibar
WAZEE waliopotelewa na
watoto wao wameliomba
Jeshi la Polisi, kusema
iwapo linawashikilia
vijana wao.
Vijana hao walipotea
toka mwezi wa nane,
mpaka leo haijulikani
walipo.
M a e l e z o ya m m o j a
wa wazee hao anasema
kuwa, kijana wake alitoka
kwenda kuswali Isha, na
hajaonekana hadi leo.
Anasema, ana wasiwasi
kijana wake alikamatwa
katika kamatakamata ya
watuhumiwa wa ugaidi
kwani ilikuwa ni kipindi
hicho watuhumiwa
wa n a k a m a t wa k i m ya
kimya na kupelekwa Bara.
Kadhia hii, inawahusu
v i j a n a
wa w i l i
wanaosaidikiwa kupotea
katika mazingira ya
kutatanisha kwa muda wa
miezi minne sasa.
Wa k i z u n g u m z a n a
wa a n d i s h i wa h a b a r i
kwenye ofsi ya Jumuiya
ya Wandishi wa habari
za Maendeleo Zanzibar
(WAHAMAZA), wazee
wa watoto hao, Zubeir
Ame Khalid na Masoud
Salum walisema watoto
wao wametoweka
nyumbani tokea msako
wa vijana wanaotuhumiwa
kujihusisha na ugaidi
ulipoanza zaidi ya miezi
minne iliyopita.
Vijana hao ambao
wametajwa kwa majina ya
Khalid Zubeir Ame na Said
Omar Said, wazee wao
wamesema tokea kutoweka
vijana wao, wamekuwa
wakifuatilia katika vituo
vya polisi, magerezani
Zanzibar na Tanzania bara
bila ya mafanikio.
Wanashindwa kujua
walipo watoto wao,
k a m a b a d o wa h a i a u
wameshafariki.
Mimi mwanangu
Khalid alikwenda kusali
sala ya Ishaa tokea tarehe
17 mwezi wa nane na
tokea hapo nimekuwa
nikifuatilia kila pahala
na kuwafuata baadhi ya
wazee wenzangu ambao
wamepotelewa na watoto
wao, lakini bahati mbaya
sijafanikiwa kumuona
mwanangu hadi leo hii,
amesema Mzee Ame.
Siku chache baada ya
kukamatwa kwa Kassim
Mkadam Khamis ambaye
ni mtoto wa Kamanda
wa Polisi wa Mkoa wa
Mjini Magharibi na
kuunganishwa na
watuhumiwa wa ugaidi
waliopo gerezani Dar es
Salaam, ndipo alipopotea
Habari
AN-NUUR
Khalid na kuanza
kutafutwa.
M wa n a n g u K h a l i d
na mtoto wa Kamanda
ni marafiki sana na
wamekuwa wakisali
pamoja msikitini na
tulipata taarifa mtaani
kwamba mwanawe
anasakwa na polisi, baadae
tukasikia amekamatwa na
amefikishwa mahakamani,
lakini mwangu hadi leo
kimya, alisema Mzee
huyo huku akionesha hali
ya huzuni.
Mzee Ame amesema,
baada ya kuchelewa kurudi
msik itin i mtoto wa k e
mwenye umri wa miaka
23, alipatwa na wasiwasi
na kuanza kufuatilia.
Lakini baada ya mwezi,
Khalid akapiga simu na
kumueleza baba yake kuwa
yupo salama na ametoka
kwa ajili ya kujitolea
kutangaza dini kwa ajili
ya Allah (Tabligh).
M i m i n i l i k u wa n a
wasiwasi sana na nikajua
sio kweli, maana hana
kawaida ya kuondoka bila
ya kutuaga wazee wake,
itakuwa alikuwa katika
mikono ya vyombo vya
usalama na ndio maana
akawa anakhofu kubwa
wakati alipokuwa akiongea
na sisi wazazi wake.
Alisema Mzee Ame.
A l i o n g e z a k wa m b a
tulikwenda kwenye
t a a s i s i ya F i i s b i l i l l a h
ambayo inaratibu
watu wenye kutangaza
dini, lakini tulipofika
t u k a a m b i wa h a y u m o .
Jina lake halimo katika
orodha ya walioondoka,
nikenda jumuiya ya
Uamsho ili nijue jee
mwanangu yumo kwenye
watu waliokamatwa? Kwa
sababu watu waliokamatwa
wengi ni wa Uamsho, labda
na mwanangu atakuwa
ameingizwa katika gurupu
hilo, lakini bahati mbaya
jina lake halikuwemo
Aidha, aliwaeleza
wa a n d i s h i wa h a b a r i
kwamba kutoweka kwa
mtoto wake kumempa
wakati mgumu na
kulazimika kumtuma kijana
wake mkubwa kufuatilia
kwenye magereza yote
Zanzibar pamoja na
Ta n z a n i a b a r a , l a k i n i
hawakufanikiwa kumuona
katika magereza hayo wala
hayupo katika orodha
ya watu waliofikishwa
mahakamani.
Kwa upande wake Mzee
Masoud Salim, mkaazi
wa M b u y u n i a l i s e m a
Inatoka Uk. 1
hiyo, Jumanne wiki hii
wamemtaka Hakimu
Hellen Liwa, wa Mahakama
ya Kisutu jijini Dar es
Salaam, kujitoa katika
Kesi hiyo inayowakabli
Masheikh na Waislamu
wengine wapatao 22.
Mawakili
hao
wa m e s e m a , n i v ye m a
hakimu huyo ajitoe
ampishe hakimu mwingine
kusikiliza hoja zao.
Kufuatia madai hayo
ya upande wa utetezi,
Hakimu Hellen Liwa,
alisema amekubali kujitoa.
Hata hivyo, akasema
ameishangaa Mahakama
Kuu kutosema lolote juu
ya watu kutoka Zanzibar
kuletwa katika Mahakama
ya Kisutu.
Hatua hiyo ya mawakili
hao kumkataa hakimu
imekuja baada ya hoja
zilizokuwa zimewasilishwa
na upande wa utetezi
katika Mahakama Kuu
Novemba 24, kuamuliwa
na Mahakama hiyo kuwa
kesi irudi tena Makahama
ya Kisutu.
Awali Desemba 29
Kesi hiyo iliitishwa lakini
iliahirishwa hadi Desemba
30, 2014 kutokana na jalada
lenye maamuzi kutoka
Mahakama Kuu kuchelewa
kufikishwa mahakamani
hapo.
Akizungumza na gazeti
hili baada ya kuahirishwa
k e s i h i y o , Wa k i l i wa
upande wa utetezi Bw.
Makala
AN-NUUR
Waislamu (serikali?).
Wakijitokeza masheikh
wenye kukemea maovu
ya n a y o f a n y i k a n d a n i
ya serikali na baadhi ya
Inatoka Uk. 3
Mahakama yenye
mamlaka, kwa maana
hiyo Mahakama ya
Kisutu haiwezi kuwa na
mamlaka kwamba, kwa
kosa lililofanyika Mwanza
au Zanzibar haiwezekani
katika Mahakama hiyo
kwani mipaka yake ni
mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa hiyo pamoja
na kwamba Hakimu
anasema anashangazwa
na hilo, itabaki hivyo
hivyo kwamba kwa kosa
l i l i s h t a k i wa k u l i l e t a
Mahakama ya Kisutu bado
inaonekana sio sahihi.
Hata hivyo alisema kwa
sababu sheria hiyo bado ni
mpya na ndio Mahakama
inajifunza, na wao pia
wanajifunza lakini kwa
kuwa Mahakama Kuu
ilikwishasema hoja zile
zirudi Mahakama ya Kisutu
na zitolewe uamuzi, basi
wataona sasa Mahakama
ya Kisutu itasemaje
kuhusu hoja hiyo na halafu
k a m a h a wa j a r i d h i k a ,
watakwenda mbele
kwasababu ni haki yao ya
msingi.
Tunasubiri tupangiwe
hakimu, aje tumpe hoja
zetu, naamini ni hoja zilizo
simama kisheria azitolee
Habari za Kimataifa
AN-NUUR
Makala
AN-NUUR
Makala
Na Mohamed Said
SHEIKH Ali Mzee Comorian
amefariki. Sheikh amefariki
tarehe 28 Desemba 2014 sawa na
tarehe 5 Rabbi Awal au Mfungo
Sita 2015.
Binafsi habari zimenifikia kabla
ya sala ya Dhuhr. Siwezi kusema ni
lini nimemjua Ali Mzee Comorian
au ni lini kwa mara ya kwanza
nilifahamiana naye na kumtia
machoni. Siwezi kusema hayo
kwa kuwa Ali Mzee, tumekuwa
na kucheza pamoja katika mitaa
ya Dar es Salaam ya 1960.
Leo nikiangalia nyuma naona
kama vile ni jana tu kushinda leo.
Nawakumbuka marafiki zake
wakubwa marehemu Ahmada
Digila (mtoto wa Sheikh Digila,
mmoja wa wanafunzi wa Mufti
Sheikh Hassan bin Amir) na Said
Mohamed Marjebi. Ali Mzee
Comorian ni mtoto wa Sheikh
Mzee Comorian (mshairi bingwa
wa kutunga mashairi ya kumsifu
Bwana Mtume (SAW) na yeye pia
alikuwa mwanafunzi wa Mufti
Sheikh Hassan bin Amir).
Mama yake Ali Mzee Comorian
ni Maalim Bahia, mama maarufu
Dar es Salaam na mwalimu wa
Qur'an katika madrasa yake
mashuhuri ya Maalim Bahia
iliyoko Mtaa wa Kariakoo. Hawa
ndiyo wazazi wake Ali Mzee
Comorian.
Mara tu baada ya kifo cha
Sheikh Ali Comorian kufahamika,
ujumbe ulianza kutumwa katika
mitandao, taarifa zikipishana,
ikiingia hii inakuja nyingine
kukupa taarifa ile ile na ya msiba
ule ule. Sheikh Ali Comoria
alikuwa mtoto wa mjini, mtu wa
watu na Sheikh maarufu katika
Masheikh wa mji kiasi watu
wakawa wanamwita ''Sheikh wa
Dar es Salaam.''
Katika hafla yoyote Sheikh Ali
kama hataitwa kuzungumza,
basi ataombwa mwisho atoe
dua na hapo ndipo Sheikh Ali
alipokuwa akiwapeleka wazee
Masheikh wa Dar es Salaam
akiwarudisha nyuma enzi za baba
yake Sheikh Ali, Sheikh Mzee
Comorian kwa sababu Sheikh
Ali Comorian alisoma dua za
mashairi alizotunga marehemu
b a b a ya k e . H a ya ya l i k u wa
mashairi aliyotunga Sheikh Mzee
Comorian zaidi ya miaka 50
iliyopita na yalichapwa kwenye
kitabu. Jina la kitabu limenitoka
lakini nakumbuka kitabu kilikuwa
na picha yake kavaa joho na
kafunga kilemba.
Nimewahi mara nyingi
kumuuliza Sheikh Ali kuhusu
kukichapa kitabu kile ili watu
wa hivi sasa wanufaike nayo.
Bahati mbaya hadi leo kitabu kile
hakijachapwa.
Mimi binafsi ingawa umri wetu
ulikuwa sawa na mchezo wetu
ulikuwa mmoja, mimi siku zote
nikimpa heshima Sheikh Ali
kwa ajili ya elimu yake ya dini.
Sheikh Ali Comorian alimaliza
elimu ya sekondari Kinondoni
Muslim School, wao wakiwa
AN-NUUR
Makala
AN-NUUR
K A B L A ya t u k i o l a
kukamatwa ndege ya
mchungaji Ayo, yapo
matukio kadhaa ambayo
ndio msingi wa wasiwasi
w a Wa i s l a m u k u w a
wapo watu wanatumiwa
huku serikali ikijua.
Moja ya matukio hayo
ni lile la Gombe. Katika
tukio hilo watu kadhaa
waliwamininia risasi
waumini wa kanisa la
Gombe Deeper Life Church,
na ikatangazwa kuwa
Boko Haram wamedai
kuhusika. Lakini
muda mfupi baadae
ikafahamika kuwa
waliohusika walikuwa
ni watu kutoka kabila
l a I g b o , Wa k r i s t o .
Baada ya taarifa hizo
kuzagaa watuhumiwa
w a l i o k a m a t w a
katika eneo la tukio
wakahamishwa kutoka
Gombe wakapelekwa
Abuja na toka wakati
Makala
9
Na Omar Msangi
UTAONA mtu kakaa
katika kijiwe cha kamari
ya karata tatu, akili yake
ikimtuma kuwa pale
ni mahali pa kutokea.
Atapata pesa aondokane
na dhiki aliyo nayo. La
uhakika kwa mtu kama
yule ni kuwa pamoja na
dhiki yake, lakini shida
yake kubwa zaidi ni
umasikini ulio kichwani.
Amekosa hata ile akili
ndogo tu ya kumsaidia.
Labda kama ndio
kwanza kaingia mjini
kutoka shamba ambapo
hakuna utapeli wa aina
mbalimbali, unaweza
kusema kuwa anaponzwa
na ushamba wake.
Wiki iliyopita
tuliarifiwa kuwa mtu
mmoja amekuwa akipita
katika Misikiti ya Songea
akichangisha fedha za
kununulia silaha-bunduki
na risasi. Taarifa zinasema
kuwa mtu huyo akiwaahidi
waliokuwa wakimsikiliza
katika baadhi ya misikiti
k wa m b a wa k i c h a n g a
pesa angenunua silaha
na kwamba angewasaidia
kwenda Somalia na
Syria kupigana Jihad.
Inaelezwa kuwa katika
msikiti mmoja zilichangwa
shilingi 55,000 akaondoka
nazo akiwaahidi
waliochanga kuwa
a n a k w e n d a Tu n d u r u
halafu atawarudia kwa
mipango mingine.
Kulikochangwa 55,000
ni msikiti unaitwa kwa
utani Faradhi Kifaya,
kwa sababu kuna kaburi
katika Msikiti huo.
Na vijana wa Ansaar
wanaubeza. Inaelezwa
kuwa ilitokea kuwa katika
Msikiti unaopendwa na
vijana, Imam akakataa
kumpa fursa mchangishaji
yule wa fedha za tasbihi.
N a e l e z wa k u wa s a s a
vijana wanasema kumbe
Faradh Kifaya, ndio
msikiti wa harakati. Huu
wa Sunna hauna kitu.
H e b u k wa a k i l i ya
kawaida tu tuulizane,
tunawaweka katika kundi
gani wale waliohamasika
na ku chang a sh ilin g i
55,000! Tunawatathmini
vipi hawa wanaokuja juu
kumshutumu Imam wao
kuwa kakataa msikiti wake
kutumika kuchangisha
fedha za kununulia silaha
za kutumika kinyume na
Uislamu na kinyume na
sheria za nchi!
Hivi hata ile akili ya
kawaida tu ya kutambua
utapeli wa ki-mjini
wa t u h a wa h a wa n a ?
Hivi wana tofauti gani
n a wa l e wa n a o c h e z a
karata tatu wakidhania
AN-NUUR
K AT I K A k a n d a m o j a
inayopatikana katika
mtandao, anayedaiwa
kuwa kiongozi wa Boko
Haram, Abubakar Shekau,
amejirekodi na kutoa
ujumbe kwa Waislamu
na watu wa Nigeria kwa
ujumla. Katika sehemu moja
anasema hivi:
In every nation, in every
region, (they) now have a
decision to make. Either you
are with us, I mean we are
Muslims who are following
Salafi foot steps, or you are with
Obama, Francois Hollande,
George Bush, Clinton. I forget
not Abraham Lincoln.
Ban Ki-moon and his people
generally, and any unbeliever,
kill, kill, kill, kill, kill,This war
is against Christians, I mean
Christians generally.
Na katika kanda nyingine
akiwa kashikilia bunduki
la kizamani la kutungulia
ndege, anasema kuwa hii
elimu ya shule ni haramu.
Ukitizama picha hiyo na
sauti zinazosikika za Takbiir,
jambo moja ni la uhakika.
Kanda hiyo ni usanii.
Kwanza sauti za takbira
zinazosikika, hazitolewi na
watu wanne waliomzunguka.
Zimerekodiwa kwingine
na kupachikwa. Pili,
anachosema anaonekana
kabisa sio chake. Kaandikiwa
na kutakiwa some.
Unamwona anavyopata tabu
kusoma aya za Quran na
maandishi ya Kiarabu katika
makaratasi aliyoshika.
Kwa aya chache
anazozisoma, ilitarajiwa
kuwa kwa mtu kama
yeye anayetajwa kuwa ni
kiongozi wa Mujahidina
wa kusimamisha Kitabu na
Sunnah, Nigeria, asipate
tabu kutafuta msahafu
au kuziandika mahali
asome. Lakini unamwona
anavyopata tabu kutamka
herufi za Kiarabu au vipande
vya aya hizo.
Lakini pia ukimtizama
na jinsi anavyoyumbishwa
na ile bunduki anayojaribu
kuifyatua huku akipiga
takbiira. Inaonyesha kabisa,
si mtu wa kushika bunduki.
Kinachodhihiri ni kuwa huyu
ni mtu tu Bogey man kwa
jina la Abubakar Shekau
ambaye hutumika kupiga
picha na kutoa kauli za
propaganda.
Muhimu zaidi katika
video hii ni pale anaposema
kuwa vita hii ni dhidi ya
Wakristo wote. Ikitanguliwa
Inaendelea Uk. 11
10
Makala
AN-NUUR
wanaohusika ni Waislamu
wa kabila la Hausa/Fulani
(Boko Haram) kutoka Jos.
Hili liunganishe na yale
matukio yaliyoshindwa
moja likiwa lile Miss Lydia
J o s e p h a l i ye k a m a t wa
akitaka kuchoma moto
Kanisa la Kikatoliki, St.
John Catholic church katika
mji wa Bauch na lile la
Emmanuel King aliyevalia
kanzu kofia na kilemba
kama Muislamu halafu
akakamatwa akifanya
jaribio la kuchoma moto
kanisa la Redeemed Christian
Church of God la Yenagoa
ambao ni mji mkuu katika
Jimbo la Bayelsa.
Katika mlolongo huu wa
kupanga matukio na kisha
kuwasukumizia Boko
Haram, katika orodha lipo
lile jaribio la Madam Ruth
kutaka kulipua kwa bomu
kanisa la ECWA church,
eneo la Kalarin, Kaltungo
katika Jimbo la Gombe.
Jumapili, Februari 19, 2012
watu wanne walikamtwa
wa k i wa n a m i l i p u k o
wakitaka kulipua Kanisa
Katoliki- St. Theresas
Catholic Parish, High-level,
11
Inatoka Uk. 9
drone murders amid
c r a c k d o w n o ve r s c h o o l
attack, ni moja ya vichwa
vya habari mapema
wiki hii ikielezwa jinsi
Marekani ilivyozidisha
mashambulizi yake ya
drone Pakistan ambapo
mpaka sasa mamia
k wa m a e l f u ya wa t u
wameuliwa. Katika tukio
moja la mwisho wa wiki
iliyopita, watu wanane
waliuliwa yaliporushwa
makombora mawili
kule Waziristan katika
mpaka wa Pakistan na
Afghanistan. Pamoja na
kuwa Umoja wa Mataifa,
UN, umekuwa ukilani
mashambuilizi hayo
kwamba yanakiuka sheria
za kimataifa na kwamba
yamekuwa yakisababisha
k u u l i wa wa t u we n g i
wasio na hatia wakiwemo
watoto wadogo, lakini
Marekani imetia pamba
masikioni. Inaendela. Hadi
sasa watu zaidi ya 2,200
wameshauliwa. Serikali
ya Pakistan imeshindwa
kabisa kuishawishi
Washington kukomesha
mashambulizi hayo.
Ukishaingizwa, kutoka
kazi.
Hiyo ndiyo hali
inayoikuta nchi yoyote
ambayo ishaingizwa katika
mchezo huu wa kifimbo
cheza. Lazima kitisho
kidumishwe ili masilahi
ya kibeberu yaendelee
kupatikana. Kwa upande
m m o j a ya n a y o d a i wa
kuwa mashambulizi ya
kigaidi, mengi yakiwa
na utata kama ule mzaha
(hoax) wa Westgate Kenya,
yataendelea kuwepo, watu
wasio na hatia wanauliwa.
Na kila likitokea
shambulio, halitakosekana
zimwi (bogey man) iwe ni
mtu binafsi au kikundi cha
kigaidi kitakachosemewa
kuwa kimedai kuhusika.
Kwa upande mwingine
mashambulizi ya drone
na kwa njia nyingine,
ya t a e n d e l e a k u w e p o
ikielezwa kuwa ni
kupambana na magaidi.
Wa t u wa s i o n a h a t i a
wanauliwa. Ni mshumaa
unaoungua pande zote
mbili.
Pa k i s t a n i l i y o k u wa
ikipigana kibega na
India kwa kuwa na
kipusa (nyukilia) na kwa
uchumi unaoimarika,
sasa imesambaratishwa
haijulikani hatma yake ni
nini. Nigeria nayo hoi.
Tuseme kuwa kama
wapo watu hapa nchini
wa n a o t u m i wa k a t i k a
kuweka hii mitego
(entrapment), ili ipatikane
sababu ya kuwahujumu
Makala
AN-NUUR
state-sponsored terror
network operating in EuropeBBC2 1992)
Angalia pia haya
yanayotokea Kenya.
Hebu jaaliya kama kuna
watu walitumika katika
kutekeleza ule mzaha
na danganya toto ya
shambulio la Westgate,
hivi wao watanufaika
vipi Kenya ikizama katika
machafuko yanayoanza
kuchanua yakianza na
matukio kama lile la
kuuwa abiria 29 Wakristo
wakiwa safarini kuelekea
Nairobi?
Kafiri anaitaka Jihad
ya akina Abu Ismail
Inatoka Uk. 9
Gazeti la Nigeria,
Tribune la Desemba 30,
2011; lilichapisha makala
iliyoandikwa na Gordon
Duff ambaye ni Mmarekani,
mtaalamu aliyebobea wa
mambo ya usalama (security
specialist), kwa sasa akiwa
mhariri wa jarida, Veterans
Today (US magazine).
Katika sehemu moja ya
makala hiyo, Gordon Duff
anasema kuwa ipo mipango
ya kuisambaratisha Nigeria.
Kwamba, japo Boko Haram,
ilikuwa ni kitu halisi hapo
awali, lakini Boko Haram ya
sasa ni kitu kingine kabisa.
Ni nunda linalotumiwa na
wenye agenda ya kuivuruga
Nigeria. Ni hao hao
wanaowalea Al Qaida, ni
hao hao tena wanaokujia
na mipango ya kupambana
na Al Qaidah, lakini kila
utakavyoitumia, zogo lipo
pale pale.
Akielezea umuhimu wa
Nigeria anasema kuwa kwa
umuhimu wa nchi hiyo
Afrika, kupatikana kwa
utengamano Nigeria, ndio
usalama na utengamano
wa dunia, ila wachache
ndio wanalijua hilo. Lakini
pia, kuivuruga Nigeria, ni
jambo la muhimu kwa kuleta
vurugu na machafuko katika
dunia. Jambo ambalo ni
wachache pia wanaojua.
Pengine kwa hili nisimame
hapa niwaache wale
Watanzania na Waislamu
wenzangu wanaopita huku
na huko wakitangaza kuwa
Boko Haram, ni Mujahidina
wanaopigania kusimamisha
Khilafah, Nigeria, wapime na
kuyazingatia haya.
Lakini labda nigusie tena
jambo moja kwa sababu ndio
katika haya haya matatizo
yanayotukabili ya vita vya
fikra, propaganda na fikra
potofu. Yupo binti moja
kapata fursa ya kwenda
kusoma medicine katika
moja ya Vyuo Vikuu hapa
nchini. Lakini kwa bahati
mbaya kabla ya kuripoti
chuoni akadakwa na mama
mmoja Salafi katika wale
wanaoharamisha takriban
kila kitu (Takfir).
W a l e
a m b a o
wamemsikiliza Abubakar
Shekau akisema Either you
are with us, I mean we are
Muslims who are following
Salafi, or you are with Obama,
Francois Hollande, George
Bush, Clinton. I forget not
Abraham Lincoln.
K wa h i y o , b a a d a ya
kuvutishwa bangi la kiShekau, kwenda chuoni
ikawa mbinde.
Taarifa zinazopatikana
hivi sasa ni kuwa binti huyo
anataka kuacha chuo. Hoja
anayopewa na Ustadha wake,
Salafi Takfir ni kuwa hawezi
kusoma katika mazingira
ya kumuaswi Mungu kwa
sababu anasoma na wanaume
ambao sio maharimu wake.
Kwa akili ya kawaida tu,
na hasa kwa mtu kama yeye
aliyefikia hatua ya kufika
Chuo Kikuu, yapo maswali
machache ambayo yangeweza
kumfungua bongo kama
alikuwa amevutishwa
bangi la kumpumbaza. Mtu
Inaendelea Uk. 13
12
MAKALA/MASHAIRI
AN-NUUR
Inatoka Uk.6
Katika Uislamu,
kumiliki mali nyingi
hakuongezi heshima
ya mtu, wala umasikini
haudhalilishi utu
wake. Kweli mali ni
muhimu kwa maisha ya
binadamu, lakini mali
ni njia tu ya kupitia, siyo
lengo kuu la maisha
ya hapa duniani. Moja
ya mafundisho mazuri
ya Uislamu ni amri ya
kuamrisha mema na
kukataza mabaya.
Mema yadumishwe
na mabaya yatupwe.
Kwa ufupi, Uislamu
umejengwa katika
mlolongo
wa
maamrisho na
makatazo. Maamrisho
na makatazo hayo
yamewekwa kwa
manufaa ya binadamu
hapa duniani.
Mwenyezi Mungu
Mtukufu hakuweka
sheria yoyote, kanuni
wala utaratibu hapa
duniani isipokuwa kwa
manufaa ya viumbe
wake. Makatazo
yamewekwa ili
kuzuia madhara kwa
binadamu ya hicho
kilichokatazwa. Maovu
yamewekwa ili kuwapa
mtihani binadamu
n a c h a n g a m o t o ya
uhuru waliopewa na
Mwenyezi Mungu wa
kuchagua kati ya mema
na maovu.
Maamrisho yote na
makatazo kutoka kwa
Mwenyezi Mungu,
kama yalivyowasilishwa
kupitia Mtume wake
Muhammad (saw),
yalikusudiwa kusafisha
roho ya binadamu, ili
aweze kuishi maisha
bora ya kumpendeza
Mwenyezi Mungu hapa
duniani.
U n a d h i f u
(orderliness) - Moja ya
mafundisho mengine
ya Uislamu ni kuhusu
u n a d h i f u . Ya a n i
nidhamu, udhibiti,
usimamizi, uratibu,
upangaji, na mengi
mengine, yanayohusika
zaidi na kujipanga
(organization) ambayo
k wa b a h a t i m b a ya
yameeleweka vibaya
kuwa hayatoki kwenye
Uislamu.
Kinyume chake,
Uislamu unawahimiza
watu kuishi kwa
unadhifu na kuweka
kila kitu mahali pake.
Msingi wa unadhifu
wa Kiislamu uko juu ya
mambo mawili makuu
- Imani kwa Mwenyezi
Mungu mmoja asiye
na mshirika na
umoja (oneness) wa
wanadamu. Sheria na
taratibu zote zimetoka
ndani ya Qur'an na
Mtume Muhammad
(saw) amefafanua
u n a d h i f u h u u k wa
vitendo na kauli.
Moja ya maadili
mazuri yaliyofundishwa
na Uislamu katika
eneo hili ni kutumia
vizuri muda waliopewa
wanadamu. Qur'an na
Sunna zimetaja muda,
yaani siku, wiki, mwezi,
mwaka na karne. Watu
watakuwa wamepotea
iwapo hawatatumia
vizuri muda waliopewa
katika uhai wao kutenda
mema.
Ni hasara kubwa sana
watu kupoteza muda
wao, wenye thamani
kubwa, waliopewa na
Mwenyezi Mungu hapa
duniani, kwa kufanya
shughuli za kipuuzi.
Ni kweli maisha lazima
ya f u r a h i w e , l a k i n i
si kwa gharama ya
rasilimali za binadamu,
ambazo ni muhimu kwa
mwendelezo na ustawi
wao hapa duniani.
Mwenyezi Mungu
Mtukufu ameumba
muda na nafasi,
katika hali ambayo
i t a wa f a a b i n a d a m u
katika shughuli zao
mbalimbali, ili waweze
kufikia malengo yao
kimaisha. Kuna muda
wa kufanyakazi,
wa kusoma, wa
kuburudika, wa
kupumzika na hata wa
kushereheka. Zote hizo
ni sehemu ya shughuli
za binadamu katika
kumuabudu Mwenyezi
Mungu na kutumikia
njia yake.
Qur'an inasema
Mwenyezi Mungu
ameumba mchana kuwa
muda wa kutafuta riziki
na usiku kuwa muda wa
mapumziko. Ameumba
13
Inatoka Uk. 11
Muislamu mwenzako. Na
kama akiwa Muislamu
au Mwarabu mwenzako,
pia hutauziwa silaha za
kukufanya umshinde.
Wote mtauziwa silaha na
kusaidiwa kimaarifa ili
muuwane vya kutosha
na muendelee kutajirisha
makampuni ya kibeberu
ya kuuza silaha kama
ilivyokuwa katika vita ya
Iraq na Iran.
Mujahidina wa zama hizi
Ukitizama ile kanda
ya Ar Risala (The
M e s s a g e ) , Wa i s l a m u
walipoamrishwa kupigana
na makafiri waliokuwa
wakiwahujumu,
walionekana wakifua na
kutengeneza silaha zao
zilizokuwa zinalingana
na tekinolojia ya silaha
wakati ule. Hawakwenda
kununua kwa makafiri.
Kama itatokea nchi ya
Kiislamu (ya Waislamu)
ikajichimbia (kama
ilivyojichimbia Korea)
wanafanya utafiti katika
kila nyanja, kilimo ili
kujitosheleza kwa chakula,
viwanda vya kuzalisha vitu
mbalimbali ili kujiimarisha
katika uchumi, taaluma
mbalimbali mpaka ile
ya silaha za kivita, huku
wa n a p i g a D a wa h ya
k u wa i t a wa t u k a t i k a
Dini ya Haki, wakiibuka
wanaibuka na makombora
ya kisasa yakiwemo yenye
vichwa vya nyukilia, hao
ndio unaweza kusema
k u wa k a f i r i , a k i s i k i a
wanatangaza Jihad,
ataogopa (Rejea: Anfal:
60).
Wa k i i b u k a w a t u ,
wakajichimbia mahali
wa n a f a n ya u t a f i t i n a
kuunda vitu, kila mwaka
wanaibuka na kombora
jipya, na ndege zake za
kivita, sio za kununua, hao
wakitangaza Jihad, kafiri
anaweza kuwaelewa na
hataweza kuwapuuza.
Lakini kwa hawa
wachangisha fedha za
t a s b i h i w o t e , h a wa
kafiri anafurahia zaidi
wakijazwa mawazo ya
Jihad na kwa hakika ndiye
anayewachochea kupitia
njia na mawakala walio
sambaa duniani kote,
kuanzia wanaojitambua
kuwa wapo katika kazi
hiyo na wale wanaotumika
kupitia mtu wa tatu au kwa
remote control. Na hii
ilianza toka ulipokamilika
ule mradi katika Chuo
Kikuu cha Nebraska
(University of Nebraska
Omaha (UNO)), U.S.A,
wa kuandaa mujahidina
wa kutumika kama foot
soldiers wa kupigana
proxy war za mabeberu.
Sababu kubwa za beberu
kafiri kutamani na
kuchochea jihad kwa
sasa ni nne. Kwanza, hiyo
inakuwa njia nyepesi ya
kuwaangamiza Waislamu.
Wa n a m p a s a b a b u n a
Makala
AN-NUUR
hawatakuwa wanapigana
Jihad, itakuwa ni vurugu
tu (violence) na wakiwa
katika vurugu hakuna
lolote la maendeleo
Inatoka Uk. 11
wanaloweza kufanya.
Watazidi kudumaa na
kurejeshwa nyuma katika
zama za kiza wakitoa
nafasi kwa ukafiri
kunawiri na kujiimarisha
zaidi. Katika vurugu
lililopo Afghansitan,
Yemen, Libya, Iraq, Syria
na Somalia, jambo gani
la kimaendeleo linaweza
kufanyika? Lakini la tatu ni
kuwa wakiwa na mawazo
hayo, wanatengeza
sababu ya kupachikwa
ugaidi na hivyo kama ni
Afrika kurahisisha kazi
ya A f r i c o m . N a n n e ,
kwa upande mwingine,
wanapatikana askari wa
miguu (foot soldiers) wa
kutumika mahali popote
mabeberu watakapo taka
k u p i g a n a p r o x y wa r .
Walitumika Afghanistan,
wakatumika Libya, sasa
wanatumika Syria.
Libya hivi sasa inaelezwa
kuwa ipo katika state
of complete collapse,
wa t u k wa m a m i l i o n i
wakiwa wamehama nchi
14
AN-NUUR
Makala
a k i c h u k u l i wa h a t u a .
Itakumbukwa kuwa tukio
hilo lilitanguliwa na lile la
silaha kutoka Uingereza.
Gazeti la THISDAY la
Ijumaa Januari 13, 2012
ukurasa wa 6 liliandika
juu ya ripoti iliyotolewa na
BBC kuwa mfanyabiashara
moja wa silaha wa
Uingereza, Gary Hyde
alipandishwa kizimbani
k a t i k a m a h a k a m a ya
London kwa kuandaa
mpango wa kusafirisha
shehena kubwa ya silaha
kwenda Nigeria. Shehena
hiyo ilikuwa ya bunduki
80, 000 na risasi milioni
32. Je, silaha hizi zilikuwa
akipelekewa nani katika
Nigeria?
Gazeti la SATURDAY
SUN la Jumamosi Machi
10, 2012 ukurasa wa 10
liliripoti kuwa katoni 11
za milipuko zilizoagizwa
kutoka Afrika ya Kusini
zilikamatwa na Idara
ya Forodha ya NigeriaNigerian Customs Service
( N C S ) k a t i k a u wa n j a
wa ndege wa Murtala
Muhammed International
A i r p o r t , L a g o s . K wa
mujibu wa taarifa za NCS,
milipuko hiyo ilikuwa
i p o k e l e we n a B wa n a
Charles Eporwei Edike.
Dola za Kimarekani.
idadi kubwa ya watu iliyo
nayo, itakuwa vigumu
kuinyonya.
Laini pia ikibaki katika
hali yake ya sasa hivi,
itakuwa rahisi pia kwa
mataifa mengine kama
China kujichimbia huko na
kuwa mmoja wa wateja wa
mafuta ya nchi hiyo.
Lakini yakizuka
machafuko na mabeberu
wakiwahi kikachero
na kijeshi kujichimbia
katika nchi hiyo kwa
kisingizio cha kuisaidia
kupambana na magaidi,
ndio watakuwa wamefika.
H a wa t a r u h u s u m t u
mwingine kuingia kuweka
m i k a t a b a ya k u v u n a
mafuta.
Kwa hiyo, Boko
Haram, inadaiwa kuibuka
katika mazingira haya
na kwamba imekuwa ni
dubwana ambalo si rahisi
ya kulielewa.
Na inatuhumiwa kuwa
baadhi ya taasisi za Kikristo
na baadhi ya Wakristo
binafsi, wamekuwa
wakitumiwa kupandikiza
fitna na mbegu mbaya ya
machafuko.
(Tazama: (1) Bible4Africa
website: Spreading the Bible
or spreading the seed of hate
and discord in Africa?
(2) Article linking IBB to
Boko pulled after NewsRescue
expose! Bible4Africa
implicated!. Tazama pia, A
KKK, Supremacist plot to
disintegrate Nigeria.)
Hata hivyo, pamoja na
propaganda hizo kutoka
kwa taasisi za Kikristo,
kama ilivyo kwa ISIS,
wanaouliwa wengi katika
Ngeria ni Waislamu.
Watu wanauliwa Kano,
Yobe na majimbo mengine
a m b a p o Wa i s l a m u n i
takribani asilimia 95.
Hutasikia Boko Haram
wakifanya mauwaji ya
k u t i s h a K u s i n i m wa
Nigeria kwenye Wakristo
wengi.
15
Makala
AN-NUUR
Inatoka Uk. 16
SEHEMU ya madarasa ya Shule ya Kiislamu ya Chalinze (Chalize Islamic Modern primary School).
gerezani.
Mkuu huyo wa Gereza
alisema, akiwa gerezani
baada ya kutoka Muhimbili
Ust. Salum, alipatwa na
Maleria, akapatiwa tiba,
akawa anaendelea na dozi
na sasa amepona na hali yake
sio mbaya sana.
Mimi mwenyewe
jana ( Jumapili iliyopita)
nimemuona hali yake si
kwa hivyo inavyoelezwa na
juzi juzi hapa alikuja mama
yake mzazi akamuona pia.
Alisema Bw. Kiyungi.
Akielezea juu ya
operesheni aliyofanyiwa
Ust. Salumu, alisema,
tatizo ni kwamba sehemu
aliyofanyiwa operesheni hiyo
ipo sehemu mbaya, kwa
maana hiyo akasema nafuu
yake inakwenda taratibu.
Huyu bwana amefanyiwa
upasuaji sehemu ya haja
kubwa, ambapo palikuwa na
kidonda ikabidi madaktari
wakifanyie operesheni na
k u t o a m a t i b a b u u p ya .
Alibainisha.
Hata hivyo, Mwandishi
alipomuuliza kidonda
hicho kimesabishwa na kitu
gani, alijibu kwa ufupi tu
akisema, Mimi sijui, lakini
hali yake inaendelea vizuri
na anaongea vizuri, yupo
kitandani na mahali pake ni
pazuri kabisa.
Mkuu huyo wa Gereza,
alikanusha kuwa taarifa
kuwa hapati matibabu vizuri
sio za kweli na kwamba Ust.
Salumu, anapata matibabu
kama kawaida.
Siku mbili tatu hizi
aliniambia kwamba hapati
dawa, nilipoonana na daktari
wake kwa hoja hiyo, alisema
dawa kama dawa ni sumu,
unapo pewa dozi ya siku tano
zikiisha inabidi wakutizamie
hali.
Huwezi ukawa
AN-NUUR
16
16
MAKALA
16
AN-NUUR
Soma
gazeti la
AN-NUUR kila Ijumaa
Na Bakari Mwakangwale
wanafunzi wa Kiislamu
wamekuwa wakipata
misukosuko katika Shule
ambazo si za Kiislamu pindi
wanapofuata maamrisho ya
dini yao wakiwa shuleni.
Sheikh Hussein amesema,
u w e p o wa S h u l e h i y o
hapo Chalizne, Wazazi
wa Kiislamu sasa hawana
budi kuachana na kasumba
za kuendekeza mila za
kuwacheza ngoma mabinti
kwa gharama kubwa,
badala yake gharama hizo
wazielekeze kuwapeleka
watoto Shule.
Alisema, uzoefu
unaonyesha kwamba
wanaume ndio wanaongoza
kwenda kukata vibali vya
kuwacheza watoto wao
ngoma, pasi na kuzingatia
maadili ya Dini.
Cha ajabu akasema, baada
ya hapo binti anavaa Hijjab
anaende Shuleni.
A k i wa S h u l e n i s i k u
Mwalimu akimbughudhi
kuhusu hijabu mnakuja
kwetu kulalamika, mnataka
Waislamu waandamane,
l a k i n i u n a s a h a u k u wa
n i we we ( M z a z i ) n d i o
ulichukua kibali cha
kumuweka mwanao uchi
katika kumcheza ngoma.
SEHEMU ya madarasa ya Shule ya Kiislamu ya Chalinze (Chalize Islamic Modern primary School).
Alisema Sheikh Hussein.
Sheikh Hussein, akawataka
wazazi wa mji huo kubadilika
n a k u f u a t a m a a d i l i ya
Uislamu kikamilifu, huku
akiwashajiisha kuwapeleka
watoto wao katika shule
za Kiislamu ambazo sasa
zimesogezwa katika mji wao,
ili waweze kujifunza dini yao
kwa uhuru.
Alisema, katika Shule
ambazo si za Kiislamu,
Inaendelea Uk. 15
AFYA ya mtuhumiwa wa
Ugaidi Ustadhi Salum Ally,
aliyefanyiwa operesheni
hivi karibuni imewatia
hofu Waislamu na ndugu
zake kufuatia kusuasua
kuimarika kwa afya yake
akiwa gerezani Segerea.
Mashaka na hofu
hiyo, inafuatia taarifa za
kubadilika kwa hali yake
m a r a k wa m a r a p i n d i
ndugu zake na Waislamu
wanapofika gerezani hapo
kuwapatia mahitaji muhimu
wa t u h u m i wa h a o k wa
ujumla.
Akiongelea hali hiyo,
Inaendelea Uk. 15
Gazeti hili hutolewa na Islamic Propagation Centre S.L.P. 55105 na kupigwa chapa na POA Printing Works LTD, S.L.P. 4605, Dar es Salaam.