Вы находитесь на странице: 1из 14

HABARI

HabariZAza
NISHATI
nishati&MADINI
&madini

NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Toleo No.167
Toleo No. 51 Limesambazwa kwa Taasisi
Limesambazwa kwana Idaranazote
Taasisi IdaraMEM
zote MEM Tarehe - 23-29 Januari , 2015
Aprili 14 - 20, 2017

Wabunge
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AZINDUA RASMI BODI YA TANESCO -Uk2
BARAZA LA WAFANYAKAZI:
WAZIRI MUHONGO AAGIZA
KIKAO KIKUBWA CHA WATAALAM
Watajadili maeneo mapya ya Ataka sekta za Nishati, Madini
uwekezaji Sekta ya Madini kuchangia ipasavyo uchumi wa viwanda
Waimwagia sifa MEM, TANESCO, REA
Somahabari Uk.2
Kaimu Katibu Mkuu
wa Wizara ya Nishati
na Madini, Profesa
James Mdoe (kulia),
akizungumza wakati
wa kikao cha Baraza
la Wafanyakazi wa
Wizara kilichofanyika
hivi karibuni. Kikao
hicho kiliendeshwa kwa
kutumia teknolojia ya
Tele-Conference na
kilijumuisha makundi
matatu katika vituo vya
Dodoma, Dar es Salaam
na Mwanza. Kushoto
ni Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa
Sospeter Muhongo,
ambaye alikuwa Mgeni
Rasmi katika kikao
hicho.

STAMIGOLD YATOA MILIONI 380 KWA


Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa
Naibu Waziri wa Nishati na Naibu Waziri wa Nishati na
Mkurugenzi Mtend-
aji wa TANESCO,
Mkurugenzi Mkuu wa
REA, Dk. Lutengano
VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI BIHARAMULO
Madini, anayeshughulikia Madini anayeshughulikia Mhandisi Felchesmi
Sospeter Muhongo Madini Stephen Masele Nishati, Charles Kitwanga Mwakahesya UK
Mramba
>>4

JWTZ wapongezwa kunusuru mtambo wa Msimbati-Uk4


Ofisi ya M awasiliano Serik alini inapokea habari za matukio mbalimbali
kwa ajili ya News Bullettin hii ya Wizar a ya Nishati na Madini
Ofisi ya Mawasiliano Serik alini inapokea habari za matukio mbalimbali
Wasiliana nasi Kitengo cha Mawasiliano kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263
kwa ajili ya News Bullettinau Fika hii
Ofisina Jarida laGhorofa
ya Mawasiliano Wizarya
a Tano
ya Nishati
(MEM) na Madini
Wasiliana nasi Kitengo cha Mawasiliano kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263
au Fika Ofisi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM) Barua pepe: badra77@yahoo.com
NewsBulletin
Habari za nishati/madini

2
http://www.mem.go.tz

Aprili 14 - 20, 2017

Na Veronica Simba
Dodoma
WAZIRI MUHONGO AAGIZA
KIKAO KIKUBWA CHA WATAALAM
W
aziri wa
Nishati na
Madini,
Profesa
Sospeter
Muhongo amefungua Baraza
la Wafanyakazi wa Wizara
na kuiagiza Idara ya Madini
kuandaa Mkutano mkubwa wa
wataalam, Julai mosi mwaka
huu, kujadili maeneo mapya
ya uwekezaji katika sekta
hiyo ili kuvutia wawekezaji
hivyo kuchangia kwa kiwango
kikubwa utekelezaji wa uchumi
wa viwanda na katika Pato la
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Madini, wakishiriki kikao cha Baraza hilo
Taifa. katika Ukumbi wa Nyaraka mjini Dodoma. Kikao hicho kiliendeshwa kwa kutumia teknolojia ya Tele-
Profesa Muhongo, ambaye Conference na kilijumuisha makundi matatu katika vituo vya Dodoma, Dar es Salaam na Mwanza.
alikuwa Mgeni Rasmi katika
mkutano husika uliofanyika sekta husika na hivyo kuchangia Kuhusu kuainisha madini zinaishirikisha Wizara (Waziri
Aprili 12 mwaka huu, katika kikamilifu katika Pato la Taifa na mapya, Profesa Muhongo alisisitiza na Katibu Mkuu) pamoja na
vituo vitatu, Dodoma, Mwanza kuwezesha ipasavyo uchumi wa kuwa siyo sahihi kama nchi Mwanasheria Mkuu ili watoe maoni
na Dar es Salaam kwa kutumia viwanda. kuendelea kushughulika na madini yao kabla ya kuingia katika MoU
teknolojia ya Tele-Conference, Tunataka kuwa nchi ya viwanda, yaliyozoeleka peke yake kama almasi yoyote.
alimwelekeza Kaimu Kamishna hivyo sisi tuwasaidie wawekezaji wa na dhahabu bali ni vema kwenda Kwa upande wake, Kaimu Katibu
wa Madini, Mhandisi Ally ndani na nje kujua madini mapya sambamba na mahitaji ya soko la Mkuu wa Wizara, Profesa James
Samaje kuongoza kikao hicho yanayohitajika katika soko la Dunia Dunia kama ambavyo nchi nyingine Mdoe, akizungumza na waandishi
cha wataalam ambacho pamoja kwa sasa pamoja na kuwaeleza ulimwenguni zinafanya. wa habari kuhusu mkutano huo,
na mambo mengine kitajadili ni mahali gani yanapatikana kwa Kwa mfano, Lithium na alisisitiza kuwa maagizo yote
na kuainisha aina mbalimbali wingi. Graphite zinahitajika sana kwa sasa yaliyotolewa na Waziri yatafanyiwa
za madini mapya na mahala Aliyataja baadhi ya madini mapya kwa ajili ya Betri za Magari. Lazima kazi ipasavyo.
yanakopatikana nchini. yanayohitajika zaidi katika soko la tuwe wabunifu. Akifafanua zaidi kuhusu utaratibu
Alielekeza kwamba, baada Dunia kwa sasa kuwa ni pamoja Kwa upande wa nishati, Waziri wa Taasisi za Wizara kusaini MoU
ya kikao hicho, kichapishwe na Lithium na Graphite. Aidha Muhongo aliwataka wataalam wa za miradi mbalimbali, Profesa
kijitabu ambacho kitakuwa alitia mkazo kuwa madini ya ujenzi sekta hiyo kuhakikisha wanaweka Mdoe alisema kwamba, maelekezo
na maelezo ya aina zote za yanahitajika sana kwa sasa. Watu
madini yanayopatikana nchini, mkazo kwenye uzalishaji umeme yaliyotolewa na Waziri Muhongo
wengine wanadhani kokoto na kwa kutumia vyanzo mbalimbali ni ya msingi sana na kwamba ana
hususan madini mapya yaliyo mchanga siyo biashara; ni biashara
katika soko kwa sasa, ambayo ni tulivyonavyo kwa wingi nchini. hakika utaratibu huo ukifuatwa,
kubwa sana. Alivitaja vyanzo hivyo kuwa utaondoa kabisa matatizo mbalimbali
pamoja na madini ya viwanda Alisema kuwa zama za watu
na ya ujenzi. ni Gesi Asilia, Makaa ya Mawe, ambayo yamekuwa yakijitokeza
kuchimba madini kwa kubahatisha, Maporomoko ya Maji pamoja na katika baadhi ya mikataba iliyoingiwa
Aidha, alibainisha kuwa, zimepitwa na wakati hivyo ni lazima
kijitabu hicho kioneshe mahala Nishati Jadidifu inayojumuisha awali hususan inayohusu miradi
Wizara ifanye jitihada za kuainisha ni
yanakopatikana madini husika Jua, Upepo, Jotoardhi, Mawimbi ya Shirika la Umeme Tanzania
wapi ilipo malighafi inayohitajika ili
ili kuvutia uwekezaji zaidi katika ya Bahari na Tungamotaka. (TANESCO).
kusaidia ujenzi wa viwanda.
vyanzo hivi vipo kwa wingi nchini. Awali, akisoma hotuba ya
Tuvitumie. wafanyakazi wa Wizara, Mwenyekiti
Alisisitiza kuwa, kwa nchi ya wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara,
viwanda, inayohitaji umeme mwingi, Marcelina Mushumbusi, alimweleza
ni lazima mbinu mbalimbali za Mgeni Rasmi kuwa, wafanyakazi
uzalishaji wa nishati hiyo zitumike wanatoa pongezi kwa Serikali
ili kupata kiwango cha kutosha kwa jitihada ambazo zimekuwa
kinachotakiwa. zikifanyika katika kuboresha
Waziri Muhongo pia, alitumia mazingira ya kazi kwa watumishi.
fursa hiyo kuwaasa watumishi wa Aidha, Mushumbusi aliuomba
Wizara kuzingatia suala la uaminifu uongozi wa Wizara kuendelea
kazini pamoja na kuwa wazalendo kushirikiana na wafanyakazi
kwa nchi. katika hali zote ikiwa ni pamoja na
Akizungumzia suala la Taasisi kuendelea kuboresha maslahi yao.
zilizo chini ya Wizara kuingia Baraza la Wafanyakazi wa
Meza Kuu, wakisikiliza hotuba ya wafanyakazi wa Wizara ya Nishati
na Madini, iliyokuwa ikiwasilishwa na Mwenyekiti wa Baraza la Mikataba ya Makubaliano Wizara ya Nishati na Madini,
Wafanyakazi wa Wizara, Marcellina Mushumbusi (hayupo pichani). (Memorandum of Understanding hufanyika mara moja kila mwaka
Kutoka kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MoU) na wawekezaji mbalimbali, kwa lengo la kujadili masuala
Muhongo, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara, Profesa James Mdoe na Waziri Muhongo aliagiza kuwa mbalimbali yanayowahusu
Katibu wa Baraza la Wafanyakazi, Paschal Mduma. ni lazima Taasisi zihakikishe watumishi ikiwemo utendaji kazi.
NewsBulletin 3
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Aprili 14 - 20, 2017

MKUTANO MPANGO
WA NISHATI ENDELEVU
TAHARIRI KWA WOTE (SE4ALL)
UTEKELEZAJI WA BAJETI Naibu Katibu Mkuu wa
KWA MWAKA 2016/17 Wizara ya Nishati na Madini,
anayeshughulikia Nishati Dkt.
UMELETA TIJA Mhandisi Juliana Pallangyo
(kulia waliokaa) na Mshauri
Wiki iliyopita Wizara ya Nishati na Madini na Taasisi zake Mwelekezi kutoka UNDP
ziliwasilisha kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Dkt. Balasankari Engg
Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2016/17. (katikati waliokaa) wakiwa
Mengi yametekelezwa na Wizara na Taasisi zake katika Sekta za katika picha ya pamoja na
Nishati na Madini na mafanikio hayo hayapaswi kubezwa kwa kuwa wadau wa Nishati mara
utekelezaji wake umewezesha wananchi na Taifa kupiga hatua. baada ya kumalizika kwa
Jambo hilo linajidhihirisha wazi tukianzia na mifano michache Mkutano kuhusu Mpango
ikiwemo miradi ya Gesi Asilia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wa Nishati Endelevu kwa
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), hivi sasa takribani Wote (SE4ALL) jijini Dar es
asilimia 50 ya umeme kwenye Gridi ya Taifa unazalishwa kutokana Salaam hivi karibuni.
na gesi. Hii ni hatua kwa kuwa, upatikanaji na uwepo wa gesi asilia
umewezesha Taifa kupunguza kiwango cha kuzalisha umeme kwa Naibu Katibu Mkuu
kutumia mafuta mazito ambayo ni gharama. wa Wizara ya
Aidha, Miradi ya Umeme Vijijini inayotekelezwa na Wakala Nishati na Madini,
wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika la Umeme anayeshughulikia
Tanzania (TANESCO), imewezesha Watanzania kupata fursa za Nishati Dkt.
kutumia nishati ya umeme ambayo inatajwa kuwa kichocheo kikubwa Mhandisi Juliana
cha kuwezesha shughuli za kiuchumi, kijamii na maendeleo ya Taifa. Pallangyo (kulia)
Akitangaza Takwimu mpya za kiwango cha utumiaji umeme akimpongeza
nchini, mnamo tarehe 20 Machi, 2017, Waziri wa Nishati na Madini Mshauri Mwelekezi
Profesa Sospeter Muhongo alisema kuwa, hadi kufikia Desemba, kutoka UNDP Dkt.
2016 fursa ya kutumia umeme nchini (overall National acess level) Balasankari Engg
imeongezeka hadi kufikia asilimia 67.5 kutoka asilimia 10 ya mwaka mara baada ya
2007. kumalizika kwa
kikao hicho.
Aidha, Profesa Muhongo alisema kuwa, fursa ya kutumia umeme
vijijini kuwa imeongezeka kufikia asilimia 49.5 kutoka asilimia mbili
(2) mwaka 2007, huku fursa ya utumiaji umeme mijini ikiongezeka Wadau wa Nishati
hadi asilimia 97.3. Tunasema haya ni mafanikio kwa kuwa, ongezeko wakifuatilia kikao
hili linawezesha watanzania kupata fursa ya kujikita katika shughuli za kuhusu Mpango wa
kiuchumi kwa kupitia nishati ya umeme. Nishati Endelevu
Utekelezaji huu wa miradi ni hatua, mafanikio na maendeleo kwa Wote
kutokana na umuhimu wa nishati. Nishati ni muhimu kwa kuwa (SE4ALL)
inahitajika takriban katika kila sekta ikiwemo Afya, Elimu na
huduma nyingine. Ni wazi kuwa, kukosekana kwa nishati ya umeme
kunaweza kuchelewesha maendeleo katika jamii yoyote ile ikiwemo
kusababisha umaskini.
Aidha, kuzinduliwa rasmi kwa Awamu ya Tatu ya Mradi
Kabambe wa kupeleka umeme vijijini utapanua wigo na fursa za
utumiaji umeme jambo ambalo pia litawezesha azma ya Serikali ya
Mapinduzi ya Viwanda.
Vilevile, katika Sekta ya Madini mengi yametekelezwa. Tukianza
Five
na machache ni suala la kuhakikisha kwamba wachimbaji wadogo
wanaendelezwa kwa kuwezeshwa kutoka uchimbaji mdogo kwenda KWA HABARI PIGA SIMU
wa Kati ikiwemo pia kutengewa maeneo ya uchimbaji. Katika hili, kitengo cha mawasiliano Pillars of
Reforms
TEL-2110490
tayari Wizara imetenga jumla ya hekta 38.567 katika maeneo 11
nchini kwa ajili ya uchimbaji mdogo.
Maeneo hayo yapo Msasa na Matabe Mkoani Geita, Biharamulo
na Kyerwa yaliyopo Mkoani Kagera, Itigi, Mkoani Singida, D- Reef,
Ibindi na Kapanda Mkoani Katavi, Ngapa Mkoani Songea, Nzega FAX-2110389 increase efficiency

MOB-0732999263
Mkoani Tabora na Kitowelo Mkoani Lindi. Quality delivery
Tunachukua fursa hii kupongeza Watendaji na Watumishi wa of goods/service
Wizara na Taasisi zake zote kwa utekelezaji wa Bajeti ya Wizara
kwa mwaka 2016/17 kwa mafanikio. Hii ni kutokana na juhudi satisfAction of
the client
zilizofanyika kuhakikisha kuwa, Watanzania na Taifa wananufaika na Bodi ya uhariri
rasilimali za Nishati na Madini. satisfaction of
Aidha, kutokana na utekelezaji huo, Wizara inatarajia kuendeleza Msanifu: Lucas Gordon business partners
utekelezaji wa majukumu yake kupitia Bajeti ya Mwaka 2017/18 Waandishi: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson
kutokana na miradi na mipango iliyoainishwa ambayo inalenga Mwase, Teresia Mhagama, Mohamed Saif, Rhoda James , satisfAction of
kuongeza tija zaidi kwa Taifa. Nuru Mwasampeta na Zuena Msuya shareholders
Habari za nishati/madini

4 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Aprili 14 - 20, 2017

STAMIGOLD YATOA MILIONI 380 KWA


VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI BIHARAMULO
Na Jacqueline Mattowo & na migodi kutojishughulisha kwa
Leticia Mpango-STAMIGOLD kuamini watasaidiwa na mgodi.

K
Kikundi hicho hujihusisha na
ampuni ya uuzaji wa mbogamboga, matunda
STAMIGOLD na vyakula vya asili ikiwemo mihogo,
ambayo ni kampuni magimbi, viazi vitamu, maboga,
tanzu ya Shirika na ndizi kwa ajili ya chakula cha
la Madini la Taifa wafanyakazi mgodini. Kikundi
(STAMICO) inayochimba dhahabu hiki ni moja kati ya vikundi vitatu
katika mgodi wake wa Biharamulo vinavyofanya biashara na mgodi
uliopo wilayani Biharamulo kutoka vijiji vya jirani Mavota na
Mkoa wa Kagera imeendelea Mkunkwa vyote vya kata ya Kaniha
kuboresha maisha kwa wananchi wilaya ya Biharamulo.
wanaozunguka mgodi huo kupitia Wafuatao ni baadhi ya
vikundi vya wajasiriamali. wanakikundi waliobainisha mafanikio
Kufikia Machi 2017 vikundi yao kupitia mahojiano yaliyofanyika:
hivyo vya wajasiriamali vimeweza
kujipatia takribani shilingi milioni 380. Genoviva Lucas
Iliyokuwa nyumba ya Schola Charles
Vikundi hivyo ni pamoja na Kikundi Mimi kwa upande wangu
cha Kina Mama Maendeleo Mavota naushukuru sana mgodi kwani nafuga mbuzi 10. Ufugaji hunisaidia jinsi ulivyotusaidia kujipatia kipato
kilichopata shilingi milioni 176, kupitia kikundi hiki nimeweza pale napokwama kifedha kwani binafsi kupitia kikundi chetu. Binafsi
Kikundi cha Mwamko-Mkunkwa kunufaika kwa kuweka sakafu naweza kuuza kuku kadhaa au mayai nimefanikiwa kuongeza nyumba,
kilipata shilingi milioni 64 na Kikundi katika nyumba ninayoishi pamoja au mbuzi na kupata pesa ya kutatua kununua baiskeli, kununua simu
cha Jitihada-Mavota kimepata na kununua samani(viti na meza) tatizo nililonalo. ya mkononi, kununua shamba na
shilingi milioni 141. pia nimeweza kufufua sehemu kulima mahindi na mihogo pia
Hayo yamebainika tarehe 18 yangu ya biashara ya kushona nguo Debora Yona kuweza kukidhi mahitaji ya familia
Machi, 2017 wakati Watendaji ambayo ilishakufa kwa kukosa mtaji Kwa upande wangu kuwa yangu.
kutoka Kitengo cha Mahusiano ya nikanunua cherehani moja pamoja katika kikundi imenisaidia kujipatia Schola Charles-Binafsi
Jamii na Kitengo cha Mawasiliano na vitambaa na vifaa vingine vya kipato binafsi na kuweza kununua nimefanikiwa kujenga nyumba ya
katika mgodi wa Biharamulo ushonaji. Pia nimeweza kununua milango na kuweka sakafu pamoja kuishi tofauti na hiyo nyumba ya
walipotembelea jumla ya kina mama shamba na kulima mahindi ambayo na kununua makochi katika nyumba nyasi unayoiona niliyokuwa nikiishi
34 wanaounda Kikundi cha Kina yananisaidia kwa chakula na mengine nayoishi, pia nimeweza kununua zamani. Pia nimefanikiwa kuanza
Mama Maendeleo Mavota kwa nia kuuza hivyo ikanisaidia kuongeza kiwanja pale Mavota centre na kufuga mbuzi, kuku, kununua
ya kufahamu namna ambavyo kila kipato kukidhi mahitaji ya familia kujenga kibanda kwa ajili ya kufungua shamba na kulima mihogo pia
mmoja amenufaika tangu kikundi yangu. Ofisi yangu ya ushonaji hivyo kununua baiskeli.
kianze kufanya biashara na mgodi ntaachana na kulipa kodi ya pango
mnamo mwaka 2014. Justina Hussein kama navyofanya kwa sasa. Vilevile Regina Omary
Kwa takribani miaka mitatu sasa Kupitia kikundi hiki nimeweza nimeweza kuongeza cherehani ili Kwa upande wangu nimefanikiwa
wananchi kupitia vikundi hivyo kunufaika kwa kununua nyumba kukuza Ofisi yangu hivyo kuongeza kununua kiwanja na kuanza kujenga
wamekuwa na kipato cha uhakika ambayo itatumika kwa biashara hapo wateja. Pia naweza kukidhi mahitaji kwa ajili ya kuweka wapangaji. Pia
kutokana na uwepo wa soko la bidhaa baadaye pia nimeweza kuongeza mbalimbali kwa ajili ya familia yangu. nimefanikiwa kununua mbuzi na
zao katika mgodi wa Biharamulo mtaji katika biashara yangu ya baiskeli na kununua shamba ambalo
hivyo kuwasaidia kujikwamua chakula na vinywaji ambayo ilikuwa Dorcas Joseph nalima mahindi na mihogo.
kiuchumi na kuondokana na dhana inakaribia kufa na vilevile nafuga kuku Binafsi nimeweza kununua
ya wakazi wengi waishio jirani wa kienyeji kwa sasa wapo 20 na pia kiwanja na kujenga nyumba ya kuishi Anastazia Moses
pamoja na kuweka kifaa cha umeme Naushukuru sana mgodi mimi
wa jua (solar.) Pia nilinunua simu nimefaidika na mambo mengi
ya mkononi ili niweze kurahisisha ikiwemo kujenga nyumba, kununua
mawasiliano, nikalima mahindi baiskeli, ninao kuku 10 wa kienyeji,
kwenye eneo lililobaki baada ya mbuzi wanne pia shamba la mihogo
kujenga na kuanza kufuga bata. na mahindi.

Elizabeth Kitira Christina Samwel


Kwa upande wangu naushukuru Binafsi nimefanikiwa kununua
sana mgodi kwani nimefanikiwa baiskeli kwa ajili ya kijana wangu
kujenga nyumba, nimenunua shamba anaesoma Mubaba Sekondari, pia
na kulima mahindi ambayo natumia naweza kumtimizia mahitaji yake
kwa chakula na mengine nauza muhimu ya shule ikiwemo sare za
kwa ajili ya kujipatia fedha kusaidia shule, madaftari na kalamu. Vilevile
kukidhi mahitaji yangu. nimeweza kununua mbuzi, bata na
simu ya mkononi pamoja na kutimiza
Triphonia bikele mahitaji ya familia yangu ukizingatia
Nyumba mpya ya Schola Charles Naushukuru sana mgodi kwa >>InaendeleaUk. 5
NewsBulletin 5
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Aprili 14 - 20, 2017

STAMIGOLD YATOA MILIONI 380 KWA


VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI BIHARAMULO
>>Inatoka Uk. 4 na uwepo wa mgodi wa Biharamulo kama Mavota na Mkunkwa kupitia ikiwemo elimu, afya, uchumi na
kuwa mimi ni mjane. hususani vijiji vilivyo jirani na mgodi huduma mbalimbali za kijamii miundombinu.
Kwa upande wake Afisa
Mahusiano ya Jamii wa Mgodi
wa Biharamulo, Rosemary Marwa
alielezea kuwa mgodi kupitia Kitengo
cha Mahusiano ya Jamii utaandaa
mkakati wa kuwezesha wananchi
hususani wanaoishi jirani na mgodi
kujikwamua kiuchumi kwa kuwapatia
mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa
ambazo hazitasubiri soko la mgodi
pekee ili kuwawezesha kujikwamua
kiuchumi hata pale mgodi
utakapomaliza uzalishaji.
Bidhaa hizo ni pamoja na
sabuni za kusafisha choo, sabuni
za kunawia mikono, utengenezaji
wa siagi ya karanga, mishumaa,
kukausha matunda, kufungasha asali,
kufungasha unga wa dona na mhogo,
kutengeneza mvinyo na kutengeneza
batiki.
Tangu kuanzishwa kwake mwaka
2014 jamii mbalimbali zimenufaika Nyumba ya sasa ya Dorcas Joseph

Je UNAJUA?
HABARI ZA
NISHATI NA
MADINI PIA
ZINAPATIKANA
KUPITIA

TOVUTI; https://mem.go.tz
Facebook; Nishati Na Madini
Twitter; @nishatiMadini
YouTube; Wizara ya Nishati na Madini

KWA PAMOJA, TUENDELEZE SEKTA ZA NISHATI NA MADINI.


Habari za nishati/madini

6 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Aprili 14 - 20, 2017

Asteria Muhozya na
Rhoda James, DSM Profesa Muhongo, Dkt. Kalemani

W
aziri wa Nishati
na Madini
watoa maagizo kwa Wizara, Taasisi
Profesa Sospeter
Muhongo Aidha, alieleza kuhusu
ametaka mchango wa asilimia nne (4) wa
Watumishi wa Wizara na Taasisi Sekta ya Madini katika Pato la
kuelewa na kujadili namna Sekta za Taifa na kueleza kuwa, mchango
Nishati na Madini zitakavyosaidia wa sekta hiyo bado ni kidogo na
kufikia lengo la Dira ya Maendeleo hivyo kuwataka Watalaam husika
ya Taifa ya mwaka 2025, kutokana kuweka mikakati na malengo zaidi
na umuhimu wa Sekta hizo katika itakayowezesha mchango zaidi wa
kufikia Dira hiyo. sekta hiyo.
Alisema kuwa majadiliano hayo Tarehe 1 Julai mwaka huu
katika sekta za Nishati na Madini tutafanya kikao kujadili madini
yatapelekea kufikia lengo la Dira mapya ya viwandani yanayohitajika
ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka Duniani ambayo tunayo hapa
2025 la kuifanya Tanzania kuwa na nchini. Tujadili na tuweke mikakati
umeme wa kutosha na nchi yenye ya namna ya kutoka hapa tulipo Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Nishati na Madini
kipato cha kati. kupitia madini hayo, alisisitiza Kituo cha Dar es Salaam, wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri wa
Profesa Muhongo aliyasema Profesa Muhongo. Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani (anayeonekana kwenye
hayo wakati akifungua Mkutano wa Akizungumzia Sekta ya Nishati screen) wakati akifunga Mkutano huo. Mkutano huo ulifanyika kwa njia
Baraza la Wafanyakazi la Wizara aliwataka Wataalam kujadili na ya Video Conference na kushirikisha wajumbe kutoka Dar es Salaam,
ya Nishati na Madini lililofanyika kujipanga kuhusu namna Taifa Dodoma na Mwanza.
kwa njia ya Video Conferencing litakavyo tumia vyanzo vipya Kusafirisha Mafuta Safi kutoka Dar wa Nishati na Madini Dkt. Medard
kutoka vituo vya Dodoma, Dar es vya kuzalisha umeme ambavyo es Salaam Tanzania hadi Ndola Kalemani wakati akifunga mkutano
Salaam, Mwanza kwa kushirikisha vinapatikana nchini ikiwemo Makaa nchini Zambia. huo, alipongeza namna Baraza hilo
Wawakilishi kutoka Wizara, Taasisi ya Mawe na Nishati Jadidifu. Aidha, Profesa Muhongo alisistiza lilivyoendeshwa kwani limesaidia
na Ofisi za Madini za Kanda. Lazima tujenge picha kubwa uadilifu kwa Watumishi wa Wizara kupunguza gharama.
Aliwataka Watumishi hao kujadili ya namna gani tupate umeme na Taasisi, wakati wa kutekeleza Dkt. Kalemani aliwataka
namna Sekta hizo zitakavyowezesha mwingi kutoka vyanzo tulivyonavyo.
majukumu yao ikiwemo pia kuwa Watumishi na Watendaji kujiandaa
ongezeko la ukusanyaji wa maduhuli Namna ya kusafirisha umeme
mbalimbali yatakayosaidia kuchangia wabunifu na kufanya kazi kwa weledi kwa utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka
mwingi na kusambaza umeme
katika Bajeti Kuu ya Serikali. mkubwa. Pamoja na mambo mengi na kusisitiza kuhusu kuzingatiwa kwa 2017/18 na kuongeza kuwa, kila
Akizungumzia Sekta ya Madini, mtakayojadili, masuala muhimu ya kustahiki za watumishi. mtumishi ana umuhimu wake katika
alitaka sekta hiyo ijikite zaidi katika sekta hizi lazima yajadiliwe, alisema Naye Mwenyekiti wa TUGHE utekelezaji wa Bajeti hiyo.
mikakati ambayo itawezesha Taifa Prof. Muhongo. Wizara ya Nishati na Madini Akieleza utekelezaji wa Bajeti kwa
kunufaika kutokana na mchango Pia alitaka Wataalam husika ambaye anamaliza muda wake, mwaka 2016/17, alisema kuwa, yapo
wa madini mapya kama Graphite kuwaandaa Watanzania kuhusu Marcelina Mushumbusi akisoma maeneo ambayo wizara imefanya
ambayo matumizi yake ni makubwa namna ya kushiriki katika miradi risala ya watumishi katika mkutano vizuri sana na kuwataka watumishi
na yanahitajika viwandani na katika mipya ikiwemo Mradi wa Kusindika huo, alieleza umuhimu wa chombo kujipanga kwa utekelezaji wa maeneo
teknolojia mbalimbali duniani Gesi Asilia (LNG), Mradi wa Bomba hicho kwa watumishi na kuipongeza ambayo hayakutekelezwa kikamilifu.
na kuongeza kuwa, madini hayo la Kusafirisha Mafuta Ghafi kutoka Wizara kwa kuzingatia maslahi ya Baraza la Wafanyakazi la Wizara
yatawezesha kuvutia uwekezaji Hoima nchini Uganda hadi Bandari wafanyakazi. ya Nishati na Madini lilifanyika
mpya. ya Tanga na Mradi wa Bomba la Kwa upande wake, Naibu Waziri tarehe 12 Aprili, 2017.

Mwenyekiti wa Tawi la TUGHE Wizara ya Nishati na Madini ambaye Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi Wizara ya Nishati na Madini,
pia anamaliza muda wake Marcelina Mushumbusi, (kwenye screen Mhandisi Philip Mathayo akichangia jambo wakati wa Mkutano wa
kulia) akisoma Risala ya Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Madini. Baraza la Wafanyakazi uliofanyika kwa njia ya Video Conference na
Wanaofuatilia ni Wajumbe kutoka kituo cha Dar es Salaam. kuwaunganisha wajumbe kutoka Dar es Salaam, Dodoma na Mwanza.
NewsBulletin 7
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Aprili 14 - 20, 2017

Kikao Baraza la Wafanyakazi Aprili 12, 2017 Dar es Salaam

Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi kutoka Kanda ya Mashariki Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi kutoka Wizara ya Nishati na Madini
Tumaini Lyuvale akichangia jambo wakati wa Mkutano wa Baraza la Doricas Moshi akichangia jambo wakati wa Mkutano wa Baraza la
Wafanyakazi Wafanyakazi la Wizara ya Nishati na Madini.

01 02

03 04 05

06 07

PICHA 1 - 7; Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Taasisi zake katika kituo cha Dar es
Salaam, wakifuatilia Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Nishati na Madini ambalo lilifanyika tarehe 12 Aprili, 2017 kwa njia ya
Video Conference kwa kuunganisha Wajumbe kutoka vituo vya Dodoma, Dar es Salaam na Mwanza.
Habari za nishati/madini

8 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Aprili 14 - 20, 2017

Mpango wa Nishati Endelevu kwa Wote


(SE4ALL) kuanza kutekelezwa
Na Nuru Mwasampeta mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania kilichobaki pamoja na kuwaleta UNDP Dkt. Balasankari Engg

U
(BOT) jijini Dar es Salaam. wawekezaji mbalimbali kuwekeza alisema kuwa mkakati wa mpango
tekelezaji wa Mpango Akielezea juu ya utekelezaji wa katika Sekta ya Nishati. wa Nishati Endelevu kwa Wote
Endelevu wa miaka programu hiyo Mtaalamu kutoka Akichangia mada mmoja wa ni pamoja na kuwajengea uwezo
mitano 2017-2022 sehemu ya Nishati Jadidifu Wizara wadau wa Nishati nchini, Profesa wataalam wa nchi zinazohusika na
wa Nishati Endelevu ya Nishati na Madini, Emillian Siza D. Tumbo alisema kuwa Mpango huo kwa kutoa elimu juu ya
kwa Wote (SE4All) Nyanda alisema kuwa programu Umeme wa jua ni vizuri ukapewa kuwavutia wawekezaji katika Sekta
unatarajiwa kuanza hivi karibuni hiyo itatekelezwa ndani ya miaka kipaumbele kwenye mpango huo ya Nishati pamoja na kuharakisha
baada ya kamati inayohusika na mitano ikiwa ni jitihada za Umoja kwani vifaa vyake vinahamishika utekelezaji wa kupeleka huduma ya
wa Mataifa za kufikisha huduma kwenda sehemu mbalimbali ikiwemo
mpango huo na kupitisha mikakati ya nishati kwa wote (SE4ALL).
ya nishati kwa wote ili kuongeza mashambani na hivyo kuchangia
utekelezaji wa mpango huo. katika kuharakisha maendeleo ya Akifunga mkutano huo Naibu
kiwango cha maendeleo kwa
Haya yalibainika tarehe 12 wananchi. wananchi. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati
Aprili, 2017 wakati kamati hiyo Aidha alibainisha kuwa mradi Kinachohitajika kwa sasa ni na Madini anayeshughulikia Nishati,
iliyowakutanisha wadau mbalimbali huo utagharimu kiasi cha Dola za kusambaza umeme kwa wananchi, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo
wa Nishati kutoka Wizara ya Nishati Marekani Milioni 15 ambapo Shirika shughuli nyingine zitakazozaliwa kwa aliwashukuru wadau kwa kuona
na Madini, Taasisi za serikali, la Maendeleo la Umoja wa Mataifa uwepo wa nishati hiyo zitajitokeza umuhimu wa kufanya majadiliano
Mashirika binafsi na yale ya Umoja (UNDP) watachangia Dola za baada ya umeme kuwekwa hayo yatakayopelekea utekelezaji wa
wa Mataifa walipofanya Mkutano Marekani milioni 1 huku wafadhili alisisitiza. mikakati ya kuhakikisha kuwa nishati
uliofanyika katika ukumbi wa wengine wakikamilisha kiwango Naye Mshauri Mwelekezi kutoka ya umeme inapatikana kwa wote.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafadhili Miradi ya Nishati nchini kutoka


Marekani Scott Alexander akichangia mada katika mkutano
uliowakutanisha wadau wa nishati ili kupitisha mkakati wa utekelezaji
Mshauri Mwelekezi kutoka UNDP Dkt. Balasankari Engg akijibu hoja wa Mpango wa Nishati Endelevu kwa Wote unaosimamiwa na Shirika
mbalimbali katika mkutano huo. la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, anayeshughulikia


Nishati Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (katikati) akiwa katika picha ya
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, anayeshughulikia pamoja na Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Norway - Kitengo cha Nishati,
Nishati Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo ( wa nne Kushoto waliokaa) Katrine Vestbostad. Kushoto ni Msimamizi wa Mradi wa Kuwajengea
akiwa katika picha ya pamoja na wadau wengine wa Nishati mara Uwezo Wataalamu wa Nishati na Tasnia ya Uziduaji (CADESE), Paul
baada ya kumalizika kwa mkutano huo. Kiwele.
NewsBulletin 9
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Aprili 14 - 20, 2017

PROFESA MUHONGO AKUTANA NA WENYE


NIA KUWEKEZA SEKTA YA NISHATI NCHINI
Na Veronica Simba -
Dodoma

W
awekezaji mbalimbali wamemtembelea Waziri
wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo,
ofisini kwake mjini Dodoma na kumweleza nia yao
ya kuwekeza kwenye miradi mbalimbali katika Sekta
ya Nishati nchini.
Akizungumza na Waziri Muhongo, mwakilishi wa Kampuni ya L&T
ya India, Sanjay Gupta aliwasilisha nia ya Kampuni hiyo ya kujenga njia
ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze hadi Dodoma.
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic, Thomas
Buonga akiwa ameambatana na Mkuu wa Sekta inayoshughulikia
masuala ya Umma wa Benki hiyo, Noella Kimaro, walimweleza Waziri
kuwa wanaangalia fursa ya kuwekeza katika miradi ya sekta ya nishati.
Naye, mwekezaji kutoka Denmark, Malte Meyer, akiwa amefuatana Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), akimsikiliza
na Ofisa kutoka ubalozi wa nchi hiyo, Derrick Katunzi, alisema nia ya mwekezaji kutoka Kampuni ya L&T ya India, Sanjay Gupta (kulia). Katikati ni
kampuni yake ni kuwekeza katika Sekta ya Nishati hususan uzalishaji wa Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi Hillary.
umeme kwa kutumia upepo.
Waziri Muhongo aliwakaribisha wawekezaji hao na kuwahakikishia
kupata ushirikiano kutoka serikalini endapo watakidhi vigezo stahiki vya
uwekezaji vilivyowekwa.

Kutoka kulia ni Mkuu wa Sekta inayoshughulikia masuala ya umma katika


Benki ya Stanbic, Noella Kimaro, Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo, Thomas
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), Buonga na Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi Hillary, wakimsikiliza Waziri wa
akisisitiza jambo wakati wa kikao baina yake na mwekezaji Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), walipomtembelea
kutoka Denmark, Malte Meyer (katikati), aliyemtembelea ofisini ofisini kwake Dodoma hivi karibuni na kueleza nia yao ya kuwekeza katika
kwake Dodoma hivi karibuni na kueleza nia ya kuwekeza kwenye sekta ya nishati nchini.
Sekta ya Nishati nchini. Kulia ni Ofisa kutoka Ubalozi wa nchi hiyo,
Derrick Katunzi.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati), Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), akiagana na
akiwa katika picha ya pamoja na mwekezaji kutoka Denmark, Ujumbe kutoka Benki ya Stanbic, waliofika ofisini kwake mjini Dodoma, kueleza
Malte Meyer (kushoto) na Ofisa kutoka Ubalozi wa nchi hiyo, nia yao ya kuwekeza katika Sekta ya Nishati nchini. Kushoto kwa Waziri ni
Derrick Katunzi (kulia). Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi Hillary.
Habari za nishati/madini

10 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Aprili 14 - 20, 2017

WATENDAJI KAMPUNI YA JUMEME


WAKUTANA NA WAZIRI MUHONGO
Na Veronica Simba - Waziri Muhongo mjini Dodoma,
Dodoma kumweleza mipango na mikakati yao

W
ya kuendelea na uzalishaji wa umeme
aziri wa Nishati wa jua katika maeneo ya Tanzania
na Madini, yaliyo nje ya gridi ya Taifa ya umeme.
Profesa Sospeter Kampuni hiyo, inaendesha mradi
Muhongo wa kuzalisha umeme wa jua katika
amekutana
Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe
na ujumbe kutoka kampuni ya
na imelenga kuwafikia watu milioni
JUMEME inayojishughulisha na
moja ndani ya Tanzania kupitia
uzalishaji wa umeme kwa kutumia
nishati ya jua. mitambo 300 katika vijiji vilivyo nje ya
Ujumbe huo ulijumuisha baadhi gridi ya Taifa ifikapo mwaka 2022.
ya wakurugenzi wa kampuni ya Profesa Muhongo, kwa upande
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), JUMEME ambao ni Makamu wake, aliwahakikishia JUMEME
akisisitiza jambo kwa Ujumbe kutoka Kampuni ya JUMEME, kuwa Serikali itawapa ushirikiano
waliomtembelea ofisini kwake mjini Dodoma kuzungumzia masuala ya
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu
uzalishaji umeme wa jua. Kutoka kulia ni Leo Schiefermueller, Makamu Augustino Tanzania (SAUT), Padre
unaotakiwa ili kuhakikisha wananchi
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT), Padre Dk. Thadeus Mkamwa na Leo wa vijijini wanapata umeme kwa
Dk. Thadeus Mkamwa na Kaimu Kamishna wa Nishati na Masuala ya Schiefermueller. kutumia njia mbalimbali muafaka
Petroli, Mhandisi Innocent Luoga. Ujumbe huo ulifika ofisini kwa kama ilivyodhamiriwa.

Mmoja wa wakurugenzi
wa kampuni ya JUMEME,
Leo Schiefermueller
(kulia), akifafanua jambo
kwa Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa
Sospeter Muhongo
(kushoto). Wengine
pichani ni Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu
cha Mtakatifu Augustino
Tanzania (SAUT), Padre
Dk. Thadeus Mkamwa
(wa pili kutoka kulia)
na Kaimu Kamishna
wa Nishati na Masuala
ya Petroli, Mhandisi
Innocent Luoga.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa pili


kutoka kushoto), akitoa maelekezo kwa Ujumbe kutoka kampuni
ya JUMEME ambao ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya JUMEME, Leo Schiefermueller
Augustino Tanzania (SAUT), Padre Dk. Thadeus Mkamwa (kushoto) na (kushoto), akifafanua jambo kwa Kaimu Kamishna wa Nishati na
Leo Schiefermueller kutoka Ujerumani (kulia). Wa pili kutoka kulia ni Masuala ya Petroli, Mhandisi Innocent Luoga (kulia). Pamoja nao
Kaimu Kamishna wa Nishati na Masuala ya Petroli, Mhandisi Innocent pichani, ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino
Luoga. Tanzania (SAUT), Padre Dk. Thadeus Mkamwa.
NewsBulletin 11
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Aprili 14 - 20, 2017

KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA


NISHATI NA MADINI APRILI 12, 2017 - DODOMA
Waziri wa Nishati na Madini,
Profesa Sospeter Muhongo,
akizungumza katika kikao
cha Baraza la Wafanyakazi
wa Wizara kilichofanyika
hivi karibuni. Waziri Muhongo
alikuwa Mgeni Rasmi
katika kikao hicho na
alishiriki kikao katika kundi
lililokuwa Dodoma. Kikao
hicho kiliendeshwa kwa
kutumia teknolojia ya Tele-
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Madini Conference na kilijumuisha
(Dodoma), wakifuatilia hotuba ya wafanyakazi iliyokuwa ikiwasilishwa makundi matatu katika vituo
na Mwenyekiti wa Baraza hilo, Marcellina Mushumbusi (kwenye vya Dodoma, Dar es Salaam
screen). Kikao hicho kiliendeshwa kwa kutumia teknolojia ya Tele- na Mwanza.
Conference na kilijumuisha makundi matatu katika vituo vya Dodoma,
Dar es Salaam na Mwanza.

01 02

04 05

03
06 07

PICHA 1 - 7; Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Madini (Dodoma), wakishiriki katika kikao cha Baraza hilo
kilichofanyika hivi karibuni. Kikao hicho kiliendeshwa kwa kutumia teknolojia ya Tele-Conference na kilijumuisha makundi matatu katika vituo
vya Dodoma, Dar es Salaam na Mwanza.
Habari za nishati/madini

12 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Aprili 14 - 20, 2017

RC TANGA AKAGUA ENEO LITAKAPOJENGWA


GATI YA KUPAKUA MAFUTA KUTOKA UGANDA
ya kwanza. Eneo moja lililobaki
Na Mwandishi wetu, litaendelea Awamu ya pili
inayotarajiwa kuanza katikati ya

M
mwezi wa nne, alisema Kilovele.
kuu wa Mkoa
wa Tanga, Aidha, kwa upande wa utafiti
Martine wa Geophysics, Kilovele alisema
Shigela na kuwa, kwa sasa kuna mazoezi
Uongozi matatu (3) yanayoendelea ambayo
wa Mkoa ikiwemo Kamati ya kitaalam yanajulikana kama, Seismic,
Ulinzi na Usalama tarehe 5 Electrical na Microgravimetry.
Aprili, 2017, walitembelea eneo Kwa upande wake, Mkuu wa
la Chongoleani litakapojengwa Mkoa alipongeza hatua zilizofikiwa
gati ya kupakua mafuta ghafi kuhusu mradi husika na hivyo
yatakayosafirishwa na Bomba kutumia fursa hiyo kuwaomba
kutoka Hoima nchini Uganda wananchi wa eneo hilo kuwa na
hadi Bandari ya Tanga. subira wakati Serikali ikiendelea na
Lengo la ziara hiyo ilikuwa taratibu za uthamini na masuala
ni kuona maendeleo ya shughuli mengine ya fidia.
za mradi huo wa Bomba la Sheria zinazingatiwa, hivyo
Mafuta zinavyotekelezwa katika basi haki za wananchi zipo palepale.
eneo hilo, lililopo nje kidogo ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga (katikati), Martine Shigela, akimsikiliza Endeleeni kushirikiana vizuri na
Jiji la Tanga. Mtaalam wa Maji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi viongozi wa mradi ili kuweza
Akiwa katika eneo hilo, Alphonce Kilovele (watatu kushoto) baada ya kutembelea eneo la
kukamilisha tafiti hizo ambazo
Shigela alipokea taarifa ya Mradi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi, Chongoleani, Tanga
itakapojengwa gati ya kupakua mafuta. zitasaidia kazi za usanifu wa mradi,
maendeleo ya mradi husika alisema Shigela.
kutoka kwa Maafisa kuhusu (Hydrologist) kutoka Kitengo kupelekwa maabara za ndani na nje Mbali na Kamati ya Ulinzi,
maendeleo ya mradi huo. cha Mazingira, Wizara ya Nishati ya nchi kwa ajili ya uchunguzi wa wengine walioshiriki katika ziara hiyo
Akitoa taarifa ya mradi na Madini, Mhandisi Alphonce takwimu mbalimbali za kihandisi. ni pamoja na Mkurugenzi wa Jiji la
kuhusu zoezi la utafiti kwa Kilovele alisema kuwa, sampuli Tayari maeneo 6 Tanga Maafisa Tarafa, Viongozi wa
upande wa nchi kavu na za udongo na maji zimekwisha yalishachorongwa visima vya Serikali ya Kata na Serikali za Mitaa
baharini, Mtaalam wa Maji ya Chongoleani na Putini.
patikana na zipo kwenye taratibu za sampuli za udongo katika Awamu

KIKAO CHA WAZIRI MUHONGO


NA BALOZI WA UINGEREZA
Waziri wa Nishati
na Madini,
Profesa Sospeter
Muhongo (kushoto),
akizungumza
na Balozi wa
Uingereza nchini
Tanzania, Sarah
Cooke (katikati),
aliyemtembelea
Waziri ofisini kwake
mjini Dodoma hivi
karibuni na kujadili
masuala mbalimbali
yanayohusu
ushirikiano wa nchi
hizo mbili katika
sekta za Nishati na
Madini. Kulia ni Ofisa
kutoka Ubalozi huo,
Sylivester Ernest.
NewsBulletin 13
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Aprili 14 - 20, 2017

1 Wachimbaji, Wafanyabiashara na Masonara


Wakubwa na Wadogo, Wenye Leseni za Madini
wanakaribishwa kushiriki kwa kuuza madini na
bidhaa zao.
2 Kutaku
Kutakuwepo na Mnada wa Serikali kwa Madini
ya Tanzanite na Madini Mengineyo ikiwa ni
pamoja na bidhaa za usonara (kama vile;
mikufu, pete na hereni).
3 Wanunuzi Wakubwa na Wadogo wa ndani na nje
ya nchi wanaohitaji kununua madini ya vito na
bidhaa za usonara wote mnakaribishwa.
4 Vigezo na masharti kuzing
kuzingatiwa
Maonesho haya yameandaliwa na:
WIZARA YA NISHATI NA MADINI kwa kushirikiana na CHAMA CHA WAFANYABIASHARA WA
MADINI TANZANIA (TAMIDA) na kudhaminiwa na; WILLIAMSON DIAMOND LTD (PETRA DIAMONDS) na NITRO EXPLOSIVES (T) LTD
Washiriki wote wenye nia ya kushiriki maonesho haya wanaombwa kuwasiliana na Ofisi za Madini (Wizara ya Nishati
na Madini) zilizopo nchini ama Meneja wa Maonesho kwa simu 0767498869 kwa ajili ya taratibu za kujisajili
Habari za nishati/madini

14 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Aprili 14 - 20, 2017

WIZARA
WIZARA YA
YA NISHATI
NISHATI NA
NA MADINI
MADINI
INAWATAKIA
INAWATAKIA KHERI
KHERI YA
YA PASAKA
PASAKA

Uongozi wa Wizara ya Nishati na


Madini unawatakia Wafanyakazi na
Wadau wake Wote kheri ya Sikukuu
TUJITUME ya PASAKA.
Prof. Sospeter Muhongo
Waziri wa Nishati na Madini

Tuendelee kushirikiana
kufanya kazi kwa bidii ili
kuleta Maendeleo
Endelevu katika Sekta za
Nishati na Madini.

Naibu Waziri wa Naibu Katibu Mkuu -


KAIMU Katibu Mkuu - Nishati na Madini,
Profesa James Mdoe Nishati, Dkt. mhandisi
Dkt. Medard Kalemani Juliana Pallangyo

Вам также может понравиться