Вы находитесь на странице: 1из 12

HABARI

HabariZAza
NISHATI
nishati&MADINI
&madini

NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Toleo No.168
Toleo No. 51 Limesambazwa kwa Taasisi
Limesambazwa kwana Idaranazote
Taasisi IdaraMEM
zote MEM Tarehe - 23-29 Januari , 2015
Aprili 21 - 27, 2017

Wabunge
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AZINDUA RASMI BODI YA TANESCO -Uk2
Kinyerezi II kuanza uzalishaji
umeme Desemba, 2017
Waimwagia sifa MEM, TANESCO, REA
Somahabari Uk.2

Maendeleo ya ujenzi wa eneo la


Kinyerezi II, litakapojengwa mitambo
ya kuzalisha umeme wa kiasi cha
PICHA YA TAREHE 19, APRILI 2017
Megawati 240 kwa kutumia Gesi Asilia

STAMICO YAANZA MAANDALIZI YA


Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa
Naibu Waziri wa Nishati na
Madini, anayeshughulikia
Naibu Waziri wa Nishati na
Madini anayeshughulikia
Mkurugenzi Mtend-
aji wa TANESCO,
Mkurugenzi Mkuu wa
REA, Dk. Lutengano

UCHIMBAJI WA MAKAA YA MAWE KABULO


Sospeter Muhongo Mhandisi Felchesmi Mwakahesya
Madini Stephen Masele Nishati, Charles Kitwanga Mramba UK
>>6

JWTZ wapongezwa kunusuru mtambo wa Msimbati-Uk4


Ofisi ya M awasiliano Serik alini inapokea habari za matukio mbalimbali
kwa ajili ya News Bullettin hii ya Wizar a ya Nishati na Madini
Ofisi ya Mawasiliano Serik alini inapokea habari za matukio mbalimbali
Wasiliana nasi Kitengo cha Mawasiliano kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263
kwa ajili ya News Bullettinau Fika hii
Ofisina Jarida laGhorofa
ya Mawasiliano Wizarya
a Tano
ya Nishati
(MEM) na Madini
Wasiliana nasi Kitengo cha Mawasiliano kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263
au Fika Ofisi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM) Barua pepe: badra77@yahoo.com
NewsBulletin
Habari za nishati/madini

2
http://www.mem.go.tz

Aprili 21 - 27, 2017

Greyson Mwase, MRADI WA KINYEREZI II KUANZA


Nuru Mwasampeta na
Zuena Msuya- KUZALISHA UMEME DESEMBA, 2017
Dar es Salaam

N
wa uhakika unapatikana nchini hasa
aibu Katibu
izingatiwa Serikali ya Tanzania
Mkuu wa
imejikita zaidi kwenye uchumi wa
Wizara ya
viwanda.
Nishati na
Aidha Dkt. Pallango aliwataka
Madini
mkandarasi wa upanuzi wa mitambo
anayeshughulikia Nishati Dkt.
ya Kinyerezi I (MW 185) kuongeza
Mhandisi Juliana Pallangyo
kasi ya utekelezaji wa mradi ili miradi
amesema kuwa, mradi wa
yote iweze kukamilika kwa pamoja.
kuzalisha umeme wa Kinyerezi
Awali akiwasilisha taarifa ya
II wa kiasi cha Megawati 240
utekelezaji wa Mradi wa Kinyerezi
unaotekelezwa na kampuni
II, Meneja Mradi wake, Mhandisi
ya Sumitomo kutoka Japan,
Stephen Manda alisema kuwa hadi
unatarajia kuanza kuzalisha
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia
sasa wameshapokea majenereta
Megawati 30 za mwanzo
Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (wa pili kutoka kulia) matatu na kazi inakwenda kwa kasi
ifikapo mwezi Desemba mwaka
akiongozana na wataalam na viongozi wanaosimamia ujenzi wa kubwa ili kuhakikisha kuwa umeme
huu.
mradi wa Kinyerezi II alipofanya ziara ili kufahamu hatua iliyofikiwa wa uhakika unapatikana kwa wakati.
Dkt. Pallangyo aliyasema
katika ujenzi huo. Tunataka kuhakikisha wananchi
hayo Aprili 20, 2017 katika ziara
wanapata umeme wa uhakika
yake aliyoifanya katika Mradi II kufikisha Megawati 575 ifikapo Aliongeza kuwa gharama za mradi utokanao na gesi asilia mapema na
wa Kinyerezi I Extension (MW Desemba, 2018. wa Kinyerezi II ni Dola za Marekani hii itapelekea ongezeko la wawekezaji
185) na Kinyerezi II iliyopo jijini Akielezea hatua iliyofikiwa ya milioni 344, asilimia 15 ya gharama nchini, alisema Mhandisi Manda.
Dar es Salaam akiambatana na ujenzi wa Mradi wa Kinyerezi II, Dkt. ambayo ni Dola za Marekani
wataalam kutoka Wizara ya Pallangyo alisema kuwa ujenzi wote milioni 51 ikichangiwa na Serikali ya
Nishati na Madini na Shirika la umefikia asilimia 53 ndani ya muda Tanzania ambayo imeshalipwa yote
Umeme Tanzania (TANESCO) mfupi kutokana na mafundi kufanya kwa mkandarasi.
kwa ajili ya kujionea maendeleo kazi usiku na mchana ili kuhakikisha Dkt. Pallangyo alisema kuwa
ya ujenzi wake. kuwa mradi unakamilika kwa wakati. lengo ni kuhakikisha kuwa umeme
Alisema kuwa Megawati
30 zitaanza kuzalishwa mara
baada ya kukamilika kwa ujenzi
wa mtambo mmoja mapema
Desemba mwaka huu na baada
ya hapo mitambo iliyobaki saba
yenye uwezo wa Megawati
30 kila mmoja itakamilika
ifikapo Desemba, 2018 hivyo
kukamilisha Megawati 240 Naibu Katibu Mkuu wa
zinazotakiwa. Wizara ya Nishati na Madini
Aliongeza kuwa mbali anayeshughulikia Nishati, Dkt.
na ukamilishwaji wa Mradi Mhandisi Juliana Pallangyo
wa Kinyerezi II, upanuzi wa akiwaeleza wasimamizi wa
Megawati 185 katika Mradi wa mradi wa Kinyerezi (hawapo
Meneja wa Miradi ya Umeme ya Kinyerezi, Simon Jilima akieleza pichani) hatua za kuchukua ili
Kinyerezi I wenye uwezo wa kuhusu maendeleo ya mradi wa Kinyerezi II wakati wa ziara ya Naibu mradi ukamilike kwa wakati kwa
Megawati 150 utapelekea miradi Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, manufaa ya Watanzania na Taifa
yote ya Kinyerezi I na Kinyerezi Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo. kwa ujumla.

Meneja wa Mradi wa Ujenzi wa Kinyerezi II Mhandisi Stephen


Manda akimueleza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Meneja wa Mradi wa Kinyerezi II Mhandisi Stephen Manda (mwenye
na Madini Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo kuhusu ufungaji wa kofia ya njano) akimwonyesha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati
Jenereta lenye uwezo wa kuzalisha umeme wa kiasi cha megawati na Madini anayeshughulikia Nishati Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo
30 lililoanza kufungwa tayari kuanza uzalishaji mwezi Desemba. (Kushoto kwake) eneo la ujenzi wa mradi huo.
NewsBulletin 3
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Aprili 21 - 27, 2017

UZINDUZI WA BODI MPYA


REA APRILI 19, 2017
TAHARIRI
HONGERA TGDC KWA KUAMINIKA
KITAALUMA UKANDA WA BONDE
LA UFA AFRIKA MASHARIKI
Mwishoni mwa mwezi Machi hadi mwanzoni mwa
Mwezi Aprili, 2017, Wizara na Taasisi zake ziliwasilisha
kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini,
Taarifa za Utekelezaji wa Bajeti kwa Mwaka 2016/17.
Miongoni mwa Mafanikio yaliyoanishwa na Kampuni
ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania (TGDC), ni namna
ambavyo kampuni hiyo ilivyoweza kuwajengea uwezo wa
Kitaaluma wataalam wake wa ndani katika eneo la Nishati
Jadidifu kiasi cha Wataalam hao kuaminiwa na nchi
nyingine kwa ajili ya kutoa mafunzo ya kitaaluma.
Akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya
TGDC, kwa Kamati hiyo ya Bunge ya Nishati na Madini,
Kaimu Mtendaji Mkuu wa TGDC Mhandisi Kato
Kabaka, alieleza kuwa, uwezo wa Kitaalam wa TGDC
umeongezeka kufikia kiasi cha kuaminiwa ndani na nje
ya nchi kuwa ni kampuni yenye uwezo wa kutosha kutoa
ushauri wa kitaaluma katika Ukanda wa Bonde la Ufa la
Afrika Mashariki.
Ukanda wa Bonde la Afrika Mashariki unajumuisha
jumla ya nchi 13 ambazo ni Djibouti, Ethiopia, Eriteria,
Uganda, Kenya, Tanzania, Rwanda, Burundi, DRC,
Malawi, Zambia, Comoro na Msumbiji.
Ni dhahiri kuwa, uwepo na uwezo wa wataalam
husika unawezesha azma ya Serikali kufikia malengo yake
ikiwemo pia utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi
(CCM) 2015-2020 ya Serikali kuwekeza nguvu kubwa
katika kuzalisha nishati Jadidifu. Vilevile, hili linawezesha
lengo kuu la Kampuni hiyo la kuzalisha Megawati 100 za
Jotoardhi ifikapo mwaka 2020.
Nishati Jadidifu ni chanzo kipya na miongoni mwa
vyanzo ambavyo Serikali inawekeza kuhakikisha kwamba
eneo hilo pia linachangia katika uzalishaji wa nishati
ya umeme ili kwa pamoja kufikia malengo ya Mpango Baadhi ya Wakurugenzi/Wajumbe wa Bodi mpya ya Wakala wa Nishati
wa Maendeleo wa Taifa 2016/17-2020/21 na Dira ya Vijijini (REA), wakizungumza mbele ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa
Maendeleo ya Taifa 2025. Sospeter Muhongo (hayupo pichani), wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi hiyo
MEM Bulletin inatoa pongezi kwa Menejimenti ya uliofanyika mjini Dodoma.
TGDC kwa kuwa, kutokana na uwezo huo wa kitaaluma,
watalaam wa ndani wamefanikiwa kukamilisha utafiti wa
awali wa kisayansi katika eneo la Kisaki mkoani Morogoro
KWA HABARI PIGA SIMU Five
tangu mwezi Oktoba, 2016.
Aidha, TGDC wanastahili pongezi kutokana na
kitengo cha mawasiliano Pillars of
Reforms
kuaminiwa na uwezo wake ambapo kampuni hiyo
imeingia makubaliano na kampuni ya ELC kutoka nchini TEL-2110490
Italia ili Wataalam wake 3 wakatoe ushauri wa kitaalam
kwenye Nyanja za kijiofizikia nchini Malawi, kuanzia FAX-2110389 increase efficiency

MOB-0732999263
mwezi Aprili mwaka huu. Quality delivery
Dira ya TGDC ni kuwa Kampuni ya kuendeleza of goods/service
jotoardhi na yenye ushindani katika Ukanda wa Afrika satisfAction of
Mashariki. the client
Tunasema haya ni mafanikio kwa TGDC, Wizara na Bodi ya uhariri
Serikali kwa kuwekeza katika RasilimaliWatu na hususan satisfaction of
Msanifu: Lucas Gordon business partners
wataalam wa Nishati ya Jotoardhi ambalo ni eneo jipya Waandishi: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson
la taaluma na miongoni mwa chanzo kipya cha uzalishaji Mwase, Teresia Mhagama, Mohamed Saif, Rhoda James , satisfAction of
umeme nchini. Nuru Mwasampeta na Zuena Msuya shareholders
Habari za nishati/madini

4 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Aprili 21 - 27, 2017

WAZIRI MUHONGO AZINDUA BODI MPYA REA


AIAGIZA KUSIMAMIA MASLAHI YA WATANZANIA
Na Veronica Simba
. Wakandarasi wadogo wa umeme wawe watanzania
Dodoma . Nguzo, Transfoma, Nyaya zinunuliwe nchini

W
aziri wa . Walioshindwa REA II wasichukuliwe REA III
Nishati na hata kama ameshapitishwa na
Madini taratibu za manunuzi. Alisema,
Profesa endapo Bodi itakuwa na wasiwasi
Sospeter na uwezo wa Mkandarasi, ni
Muhongo, amezindua Bodi lazima iweke hilo wazi kwani kazi
mpya ya Wakala wa Nishati isipofanyika ipasavyo, hawatakwepa
Vijijini (REA) na kuiagiza lawama.
kufanya kazi kwa kutanguliza Iteni kampuni moja baada ya
maslahi ya Taifa na Watanzania nyingine mjiridhishe na utendaji wao.
kwa ujumla. Muone eneo alilopewa, ukubwa wa
Profesa Muhongo alizindua eneo hilo na bajeti aliyopewa. Pia
Bodi hiyo Aprili 19, 2017 mumuulize kuhusu vitendea kazi
Makao Makuu ya Wizara mjini alivyonavyo pamoja na wataalam
Dodoma. alionao, alisisitiza.
Akizungumza na Aidha, Profesa Muhongo
Wakurugenzi wa Bodi hiyo aliwataka wakurugenzi wa Bodi hiyo
mpya, wakati wa hafla ya kujenga utaratibu wa kutembelea
uzinduzi, Profesa Muhongo maeneo inakotekelezwa miradi
aliwaagiza kuhakikisha mbalimbali ya umeme vijijini ili
wanawasimamia wakandarasi kujionea kwa macho maendeleo ya
waliochaguliwa kutekeleza kazi inayofanyika.
miradi ya umeme vijijini ili Suala jingine muhimu ambalo
wanunue vitendea kazi ikiwemo Waziri aliwaelekeza Wakurugenzi
nguzo, transfoma na nyaya za wa Bodi kulifanyia kazi, ni kupitia
umeme kutoka kwa wazalishaji taarifa ya utekelezaji wa REA II
wa ndani ya nchi. ili pamoja na mambo mengine,
Wakandarasi ni lazima Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo,
akizungumza na Wakurugenzi wa Bodi mpya ya Wakala wa Nishati waweze kujiridhisha na majina
wanunue vifaa hivyo ndani ya ya wakandarasi waliopitishwa
Vijijini - REA (hawapo pichani), wakati alipokuwa akiizindua rasmi
nchi. Vikiisha hapa nchini, ndiyo
Bodi hiyo Makao Makuu ya Wizara mjini Dodoma, Aprili 19, 2017.
waagize nje. Hatutavumilia >>InaendeleaUk. 5
kuona mkandarasi ananunua
vitendea kazi nje ya nchi wakati kuwawezesha watanzania hivyo
hapa nchini vipo tele. ni lazima wapate fursa, alisisitiza
Hata hivyo, Profesa Waziri.
Muhongo alisisitiza suala Profesa Muhongo alitumia
la ubora ambapo alifafanua fursa hiyo kuhamasisha watanzania
kuwa, ni lazima vitendea kazi wenye sifa kujitokeza kwa wingi ili
vinavyonunuliwa viwe katika wafanye kazi na kampuni kubwa za
ubora unaostahili. Japokuwa wakandarasi kutoka nje, na baadaye
tunataka vitu kutoka ndani ya waweze kujitegemea na kujenga
nchi lakini ni lazima tuzingatie uwezo wa kufanya kazi hizo wao
suala la ubora wake. wenyewe.
Akiendelea kutoa maagizo Aliiagiza Bodi hiyo kuhakikisha
kwa Bodi hiyo, Waziri wanatatua changamoto ya baadhi
Muhongo pia alielekeza ya vibarua kutokulipwa malipo yao
kwamba, Kampuni zote za baada ya kufanya kazi. Aliwataka
kigeni ambazo zimeshinda kuweka usimamizi utakaowezesha
Zabuni ya kutekeleza miradi ya kila mmoja kulipwa stahili zake
umeme vijijini awamu ya Tatu kulingana na kazi aliyofanya.
(REA III), ni lazima zifanye kazi Vilevile, Profesa Muhongo aliitaka
na wakandarasi wadogo (sub- Bodi kusimamia ubora wa kazi
contractors) wa kitanzania. inayofanywa na wakandarasi husika
Ni lazima wakandarasi kwani kutokana na uzoefu inaonesha
wadogo wote watoke Kampuni kwamba, baadhi yao, kazi zao hazina
za Kitanzania. Inaweza kuwa ubora unaoridhisha. Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa James
Kampuni iko hapa nchini Alisema, Bodi inawajibika Mdoe (kulia), akiwasomea majukumu yao ya kazi, Wakurugenzi wa
lakini siyo ya watanzania; hiyo Bodi mpya ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), wakati wa hafla ya
kumfuatilia kila Mkandarasi
hatuitaki. Mradi huu unalenga uzinduzi rasmi wa Bodi hiyo, uliofanyika Makao Makuu ya Wizara
kujiridhisha kuhusu uwezo wake, mjini Dodoma, Aprili 19, 2017.
NewsBulletin 5
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Aprili 21 - 27, 2017

WAZIRI MUHONGO AZINDUA BODI MPYA REA


>>Inatoka. 4 wakurugenzi wa Bodi mpya
iliyoteuliwa, Kaimu Katibu Mkuu wa
kutekeleza REA III. Aliwataka
Wizara ya Nishati na Madini, Profesa
kumkataa Mkandarasi ambaye
James Mdoe, aliwataka kufanya kazi
watabaini amepewa Zabuni
kwa ushirikiano ili kuleta tija kwa
kutekeleza REA III wakati alishindwa
Taifa.
kazi REA II.
Profesa Mdoe aliwataja
Pia, Waziri Muhongo aliitaka Bodi
wakurugenzi wa Bodi mpya ya REA
kuwafuatilia wakandarasi husika ili
walioteuliwa kuwa ni Dkt. Gideon
kuhakikisha wakati wanasambaza
Kaunda ambaye ni Mwenyekiti
umeme vijijini katika awamu hii
pamoja na wajumbe Mhandisi
ya Tatu, wanatoa kipaumbele kwa
Innocent Luoga, Happiness Mhina,
maeneo muhimu ikiwa ni pamoja
Stella Mandago, Scholastica Jullu,
na Taasisi za jamii kama vile shule,
Amina Chinja, Theobald Sabi na
ofisi mbalimbali za uongozi, nyumba
Michael Nyagoga.
za kuabudu, sehemu za biashara na
Alisema kuwa, Waziri Muhongo,
uzalishaji. Watu wa mashambani
amefanya uteuzi huo kutokana na
wasiwe wanakuja wizarani kuomba
Mamlaka aliyonayo, chini ya Kifungu
umeme. Umeme upelekwe kwenye
Namba 5(1) (b) na Namba 8(3) cha
mashamba na hata kwenye Ranchi
Sheria ya Nishati Vijijini ya mwaka
mbalimbali. Hatutaki kusikia mtu
2005, akiwa ndiye Waziri mwenye
anarukwa, alisisitiza.
dhamana.
Sambamba na maelekezo hayo
Kwa upande wake, Mkurugenzi
yote, Profesa Muhongo pia aliitaka
Mkuu wa REA, Mhandisi Gissima
Bodi husika, katika kikao chake
Nyamo-Hanga, kwa niaba ya Wakala
cha kwanza, ijadili na kupendekeza
huo, aliahidi kutoa ushirikiano stahiki
namna ya kuongeza asilimia ya
kwa Bodi iliyoteuliwa ili kwa pamoja
watanzania wenye fursa ya kupata
waweze kuleta matokeo chanya katika
umeme, kutoka ile iliyopo sasa
kuwapatia umeme wananchi walioko
ambayo ni asilimia 49.5.
vijijini.
Mje na mapendekezo mnataka
Uteuzi wa Bodi mpya ya REA ni
tufike asilimia ngapi na kwa kutumia Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi
wa miaka mitatu na umeanzia tarehe
mbinu zipi. Gissima Nyamo-Hanga, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa
1 Aprili, 2017.
Awali, akizungumza na Bodi mpya ya REA, uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa tano kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi wa Bodi
mpya ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), mara baada ya kuizindua rasmi hivi karibuni mjini Dodoma. Kulia kwa Waziri ni Kaimu Katibu Mkuu
wa Wizara, Profesa James Mdoe na kushoto kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi, Dkt. Gideon Kaunda. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu
wa REA, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga.
Habari za nishati/madini

6 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Aprili 21 - 27, 2017

STAMICO YAANZA MAANDALIZI YA


UCHIMBAJI WA MAKAA YA MAWE KABULO
Na Koleta Njelekela - Mawe kilichopo chini ya ardhi katika
STAMICO mlima wa Kabulo ambacho kwa sasa

S
kinadiriwa kufika tani milioni 85.
hirika la Madini la Taifa Uchimbaji huu, ambao utaanzia
(STAMICO) limeanza kwenye mlima wa Kabulo na baadae
maandalizi ya mradi wa mlima wa Ivogo, utaiwezesha
uchimbaji makaa ya mawe STAMICO kuzalisha makaa ya
katika eneo la Kabulo mawe na hivyo kupunguza uhaba wa
Wilayani Ileje Mkoa wa Songwe, ili madini hayo nchini ambayo ni moja
kuanza kutekeleza mradi huo ifikapo ya vyanzo vya nishati ya umeme.
mwishoni mwa mwezi Aprili, 2017. Makaa ya mawe hutumika kama
Awamu ya kwanza ya Mradi moja ya vyanzo vya Nishati katika
huo itatekelezwa kupitia leseni zake shughuli za uzalishaji viwandani
mbili za uchimbaji mdogo wa madini vikiwemo viwanda vya Saruji nchini
Primary Mining Licences (PMLs) alifafanua Mkurugenzi Rutagwelela.
zilizopo ndani ya leseni ya utafiti ya Awali Kaimu Mkurugenzi wa
Kabulo zenye ukubwa wa Hecta Migodi na Huduma za Kihandisi,
16.52. Zena Kongoi alisema awamu ya
Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na kwanza inatarajiwa kuanza na
Uchorongaji wa STAMICO, Alex uzalishaji wa makaa ya mawe kiasi
Rutagwelela aliyasema hayo jijini cha tani 158,147 kwa mwaka ambapo
Dar es Salaam wakati akitoa taarifa awamu ya pili inatarajiwa kuhusisha
kuhusu maendeleo ya maandalizi zaidi utafiti na uchimbaji mkubwa
ya eneo la Mradi, baada ya kurejea katika leseni ya Kabulo.
kutoka Kiwira, alikokwenda kuratibu Naye Kaimu Mkurugenzi
kazi ya kutathimini kiwango cha wa Rasilimaliwatu na Utawala,
mashapo yaliyopo katika leseni hizo Deusdedith Magala alisema kuwa
za uchimbaji mdogo-Kabulo. STAMICO itatumia watumishi 39
Rutagwelela alisema kuwa, kutekeleza mradi huo wa Kabulo,
leseni hizo mbili za Uchimbaji wa ambapo 30 kati yao ni watumishi
Awali wa Madini katika eneo hilo la wa kudumu wa ndani ya Shirika na
Kabulo zina tani zipatazo 241,865 za wengine 9 wataajiriwa kwa masharti
mashapo ya makaa ya mawe yaliyoko ya ajira ya mkataba.
karibu na uso wa ardhi ambayo Watumishi wa ndani
Meneja Uchimbaji wa STAMICO, Mhandisi Alphonce Bikulamchi watahusisha fani za uchimbaji,
yataruhusu Uchimbaji wa Mgodi wa (mwenye kofia ya njano) akiwa na Mtaalam wa Upimaji Ardhi kutoka
Wazi (Open pit mining) kufanyika. uchorongaji, uchumi, uhasibu,
Kampuni Tanzu ya STAMICO ijulikanayo kama STAMIGOLD, Jovin
Aidha Rutagwelela alibainisha Fidelisi kwa pamoja wakiwa katika kazi ya kupima maeneo ya
waendesha mitambo, mazingira,
kuwa STAMICO ina mpango wa uchimbaji na kuyawekea alama maalum (Control Points) kwa ajili rasilimawatu, masoko na uhusiano
kufanya kazi za uchorongaji miamba ya uchimbaji wa Makaa ya Mawe katika eneo la Kabulo. Alama hizo kwa umma. Aidha, watumishi wa
katika mlima wa Kabulo ili kuongeza zitasaidia kuufanya uchimbaji wa makaa ya mawe kuwa wa kisasa mkataba wa muda watahusisha fani
kiwango cha mashapo ya Makaa ya na wenye ufanisi stahiki. Mradi huo unatarajiwa kuanza hivi karibuni. za upimaji ardhi (Surveyor), kemia
katika maabara ya makaa ya mawe,
usalama na mazingira na uendeshaji
mitambo ya uchimbaji alifafanua
Magala.
Magala aliongeza kuwa
maandalizi ya miundombinu
ikiwemo kazi ya uchongaji
barabara kipande cha Kilometa
1.5 imekamilika na tayari Shirika
limekamilisha mazungumzo na
kuwasilisha maombi ya kibali cha
kukata miti katika Halmashauri ya
Wilaya ya Ileje, ili kuruhusu kazi ya
uchimbaji makaa ya mawe iweze
kufanyika wakati wa kuanza mradi.
Magala aliwataka wataalam
watakaoshiriki katika mradi huo
wachape kazi usiku na mchana huku
wakizingatia uadilifu na weledi wa
hali ya juu ili kuliwezesha Shirika
Kazi ya uaandaji wa Barabara ya kipande cha Kilometa 1.5 ilivyokuwa ikiendelea kutoka katika eneo la kufikia malengo ya mradi na kuleta
Uchimbaji Makaa ya Mawe-Kabulo kuelekea katika barabara inayoelekea Ileje. Aliyesimama ni Mtaalam matokeo chanya kwa umma na Taifa
kutoka katika Mgodi wa Kiwira akisimamia zoezi. kwa ujumla.
NewsBulletin 7
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Aprili 21 - 27, 2017

WATAALAM TGDC WAAMINIKA UKANDA


WA BONDE LA UFA AFRIKA MASHARIKI
Na mwandishi wetu wa TGDC, wanaaminika wa Kitaaluma wataalam huo unajumuisha nchi 13 na kampuni ya ELC kutoka

I
katika Ukanda wa Bonde la wetu wa ndani katika eneo kwenye Ukanda wa Bonde la nchini Italia ili Wataalam
meelezwa kuwa, Ufa kutokana na uwezo wao la Nishati Jadidifu kiasi cha Afrika Mashariki ambazo ni wake Watatu (3) wakatoe
uwezo wa Kitaalam kitaalam kuongezeka kiasi cha Wataalam hao kuaminiwa Djibouti, Ethiopia, Eriteria, ushauri wa kitaalam kwenye
wa Kampuni ya kufikia kuaminiwa ndani na na nchi nyingine kwa Uganda, Kenya, Tanzania, Nyanja za kijiofizikia nchini
Uendelezaji Jotoardhi nje ya nchi kutoa mafunzo ya ajili ya kutoa mafunzo ya Rwanda, Burundi, DRC, Malawi, kwa kipindi cha
Tanzania TGDC kitaalam ya taaluma husika. kitaaluma,alisema Kato. Malawi, Zambia, Comoro na miezi 3 kuanzia mwezi Aprili
umeongezeka kufikia kiasi cha Tumewajengea uwezo Alisema kuwa, ukanda Msumbiji. mwaka huu.
kuaminiwa ndani na nje ya Ni dhahiri kuwa, uwepo Nishati Jadidifu ni chanzo
nchi kuwa ni kampuni yenye na uwezo wa wataalam kipya cha umeme na ni
uwezo wa kutosha kutoa husika unawezesha azma miongoni mwa vyanzo
ushauri wa kitaaluma katika ya Serikali kufikia malengo ambavyo Serikali inawekeza
Ukanda wa Bonde la Ufa la yake ikiwemo pia utekelezaji kuhakikisha kwamba eneo
Afrika Mashariki wa Ilani ya Chama Cha hilo pia linachangia katika
Hayo yalielezwa na Kaimu Mapinduzi (CCM) 2015- uzalishaji wa nishati ya
Mtendaji Mkuu wa TGDC 2020 ya Serikali kuwekeza umeme ili kwa pamoja
Mhandisi Kato Kabaka nguvu kubwa katika kuzalisha kufikia malengo ya Mpango
Mwishoni mwa mwezi nishati Jadidifu. Vilevile, hili wa Maendeleo wa Taifa
Machi 2017, wakati Wizara linawezesha lengo kuu la 2016/17-2020/21 na Dira ya
na Taasisi zake zikiwasilisha Kampuni hiyo la kuzalisha Maendeleo ya Taifa 2025.
Taarifa za Utekelezaji wa Megawati 100 za Jotoardhi Dira ya TGDC ni kuwa
Bajeti kwa Mwaka 2016/17 ifikapo mwaka 2020, alisema Kampuni ya kuendeleza
kwa Kamati ya Kudumu ya Kato. jotoardhi na yenye ushindani
Bunge ya Nishati na Madini, Aliongeza kuwa, kampuni katika Ukanda wa Afrika
Alieleza kuwa, Wataalam Kaimu Mtendaji Mkuu wa TGDC Mhandisi Kato Kabaka hiyo imeingia makubaliano Mashariki.

Je UNAJUA?
HABARI ZA
NISHATI NA
MADINI PIA
ZINAPATIKANA
KUPITIA

TOVUTI; https://mem.go.tz
Facebook; Nishati Na Madini
Twitter; @nishatiMadini
YouTube; Wizara ya Nishati na Madini

KWA PAMOJA, TUENDELEZE SEKTA ZA NISHATI NA MADINI.


Habari za nishati/madini

8 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Aprili 21 - 27, 2017

CADESE: Mkombozi Nishati Jadidifu Nchini


Na Greyson Mwase, Wizara ya Nishati na Madini,
Dar es Salaam Paul Kiwele anasema Mradi

U
wa CADESE unaofadhiliwa na
napozungumzia Shirika la Umoja wa Mataifa
maendeleo ya nchi linaloshughulika na Maendeleo
yoyote duniani, (UNDP) ulianzishwa mwaka 2014
kamwe huwezi na unatekelezwa na Wizara ya
kusahau mchango wa Nishati na Madini kwa kushirikiana
Sekta ya Nishati katika maendeleo na wadau wengine kama Wakala
husika. Nishati ya umeme ni muhimu wa Nishati Vijijini (REA), Ofisi ya
katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Ili kufikia Dira ya Maendeleo ya (AG), Taasisi ya Uongozi na Taasisi
Taifa ya mwaka 2025, yenye lengo la ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii
kuhakikisha kuwa Tanzania inakuwa (ESRF).
nchi ya kipato cha kati ifikapo mwaka Mradi ulianzishwa ikiwa ni
2025, Nishati ya Umeme ya uhakika kama njia mojawapo ya kuisaidia
inahitajika. Serikali katika Mpango wa Matokeo
Wizara ya Nishati na Madini Makubwa Sasa (Big Results
Msimamizi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Wataalam wa Nishati
imeweka mikakati mbalimbali Now; BRN); Mpango wa Nishati na Tasnia ya Uziduaji (CADESE), Paul Kiwele akifafanua jambo
katika kuhakikisha kuwa Nishati Endelevu kwa Wote ulioasisiwa na kwenye ofisi za Kampuni ya Vifaa vya Umeme Jua ya Mobisol jijini
ya Umeme ya uhakika inapatikana Umoja wa Mataifa (UN) na Dira Arusha mara baada ya timu ya wataalam wa Nishati Jadidifu kutoka
ili kuwa kichocheo cha ongezeko ya Madini ya Afrika (Africa Mining Wizara ya Nishati na Madini kuhitimisha ziara katika ofisi hizo ili
la uwekezaji kwenye viwanda na Vision; AMV), mipango yenye lengo kukagua shughuli zake.
nchi kuwa ya kipato cha kati ifikapo la kuimarisha mchango wa Sekta za
mwaka 2025. Moja ya mikakati Nishati na uziduaji katika ukuaji wa Kiwele anafafanua kuwa wadau Maendeleo ya Petroli Tanzania
ni pamoja na ubunifu wa vyanzo uchumi wa nchi. wote ambao ni watekelezaji wa mradi (TPDC).
vipya vya uzalishaji wa umeme Akielezea malengo ya mradi wanapata fedha kutoka UNDP Kiwele anafafanua kuwa mradi
kama vile Jotoardhi, Jua, Upepo, wa CADESE, Kiwele anasema kwa ajili ya kutekeleza miradi yenye ulifanikiwa kuanzisha mfumo
Gesi na Makaa ya Mawe pamoja na kuwa ni pamoja na kuimarisha manufaa kwa Sekta za Nishati na mpya wa uhifadhi data na utoaji
kutangaza fursa zake. uwezo wa Wakala wa Nishati Vijijini uziduaji yaani masuala ya madini na taarifa kwa ajili ya Nishati Jadidifu
Moja ya mikakati ni pamoja (REA) katika kuendesha miradi na gesi. ujulikanao kama Tanzania
uanzishwaji wa Mradi wa programu zake hivyo kuwezesha Akielezea mafanikio ya mradi Renewable Energy Information
Kuwajengea Uwezo Wataalam ongezeko la upatikanaji wa umeme huo, Kiwele anasema mradi kupitia Management System (TREIMS)
wa Nishati na Tasnia ya Uziduaji vijijini. na Shirika la Umoja wa Mataifa wenye lengo la kutangaza fursa za
(CADESE) Capacity Development Malengo mengine ya mradi wa linaloshughulika na Maendeleo uwekezaji katika Nishati Jadidifu
in the Energy Sector and Extractive CADESE ni pamoja na kuogeza (UNDP) ulinunua magari 200 kwa nchini.
Industries) unaohusika na uwezeshaji uwezo kwa wataalam katika gharama nafuu kwa ajili ya kutumika Akielezea mfumo huo Kamishna
wa wataalam katika masuala ya usimamizi wa Sekta za Nishati na katika shughuli za serikali.
Msaidizi- Nishati Jadidifu kutoka
Nishati na Madini ili kuhakikisha uziduaji yaani Mafuta na Gesi, Anaendelea kusema kati ya
Wizara ya Nishati na Madini
kuwa sekta hizo zinakuwa na uwezo wa taasisi katika uandaaji wa taasisi zilizonufaika na magari hayo
Mhandisi Styden Rwebangila
mchango mkubwa katika ukuaji wa sera na miongozo katika usimamizi ni pamoja na Wizara za Serikali,
endelevu wa Sekta za Nishati na Shirika la Umeme Tanzania anasema kuwa taarifa za kampuni
uchumi wa nchi.
Akielezea mradi wa CADESE uziduaji yaani masuala ya madini na (TANESCO), Wakala wa Nishati zote zinazojihusisha na Nishati
msimaizi wa mradi huo kutoka gesi. Vijijini (REA) na Shirika la >>InaendeleaUk. 9

Kamishna Msaidizi- Nishati Jadidifu kutoka Wizara ya Nishati na


Madini Mhandisi Styden Rwebangila (mbele) akielezea faida za
Meneja Uendelezaji na Upanuzi wa Miradi kutoka Kampuni ya mfumo wa uhifadhi data na utoaji taarifa kwa ajili ya nishati jadidifu
Vifaa vya Umeme Jua ya Mobisol, Saad Latif (wa pili kutoka kulia) (TREIMS) mbele ya wadau wa nishati jadidifu katika mafunzo
akielezea matumizi ya moja ya vifaa vya umeme jua. yaliyoandaliwa na mradi wa CADESE na kufanyika jijini Mwanza.
NewsBulletin 9
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Aprili 21 - 27, 2017

CADESE: Mkombozi Nishati Jadidifu Nchini


>>Inatoka. 8 Akizungumza kwa niaba ya jua na nishati jadidifu ambapo wa miradi ( project proposals) na
wenzake, mmiliki wa kampuni ya watapata soko ndani na nje ya nchi uandaaji wa sera kwa wataalam
Jadidifu, fursa za uwekezaji, sera, kusambaza vifaa vya umeme jua ya kutokana na kufahamika kwao 50 kutoka Wizara ya Nishati na
sheria na taratibu zitawekwa katika Kaguta General Supplies yenye Anasisitiza kuwa mfumo huo Madini, Shirika la Umeme Tanzania
mfumo huo utakaounganishwa na makazi yake Bukoba mkoani Kagera, utawezesha wawekezaji kutoka nje ya (TANESCO) Mamlaka ya Udhibiti
tovuti ya Wizara ili wadau kupata Justin Kamlali anasema kuwa nchi kufahamu maeneo ya uwekezaji wa Huduma za Nishati na Maji
uelewa kabla ya kuwekeza. mfumo wa TREMIS utawawezesha zaidi katika eneo la nishati jadidifu na (EWURA), Wakala wa Nishati
Mara baada ya mfumo kufahamika ndani na nje ya nchi. kuja kuwekeza nchini. Vijijini (REA) na Kampuni ya
kukamilika kabisa kutakuwa hakuna Anasema kuwa biashara ya Naye Mtaalam wa Nishati Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania
haja ya mwekezaji kutoka nje ya vifaa vya umeme jua imekuwa na Jadidifu kutoka Wizara ya Nishati na (TGDC)
nchi kufuata taarifa za miradi nchini changamoto nyingi ikiwa ni pamoja Madini, Emillian Nyanda akielezea Akielezea matarajio ya baadaye
kwa kuwa taarifa za kila miradi na na kutofahamika na kupelekea wateja mafanikio mengine ya mradi huo ya mradi wa CADESE, Nyanda
maeneo yenye vyanzo vya nishati kutokuwa na imani na huduma zao. anasema kuwa jumla ya wataalam anasema kuwa mradi umepanga
nchini zitawekwa kwenye tovuti, Baada ya ya mfumo huu 25 kutoka Wizara ya Nishati na kukamilisha mpango wa mafunzo
anasema Mhandisi Rwebangila. kukamilika na kuunganishwa Madini, Mamlaka ya Udhibiti kwa kutoa mafunzo kwa wedau
Akielezea hatua iliyofikiwa ya na tovuti ya Wizara, wadau na wa Huduma za Nishati na Maji wa mafuta na gesi nchini kuhusu
maandalizi ya mfumo wa TREMIS, wawekezaji wengi kutoka ndani na (EWURA), Shirika la Maendeleo ya
majadiliano ya mikataba ya miradi
Mhandisi Rwebangila anasema kuwa nje ya nchi watakaotembelea tovuti Petroli Tanzania (TPDC), Wizara
mikubwa hususan wa bomba la
mafunzo na ukusanyaji wa maoni ya wizara watapata fursa ya kuona ya Fedha, Mamlaka ya Mapato
kutoka kwa wadau mbalimbali wa mafuta ghafi la Afrika Mashariki
taarifa za kampuni zetu na kuwa na Tanzania (TRA), Ofisi ya Waziri
nishati mbadala nchini yameshaanza imani ya kufanya kazi pamoja nasi Mkuu, Ofisi ya Mipango, Ofisi ya kutoka Hoima nchini Uganda hadi
kufanywa ambapo mpaka sasa tofauti na zamani, anasema Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika bandari ya Tanga nchini
wamekwishafanya zoezi hilo Anaendelea kusema kuwa na wataalamu kutoka Serikali ya Tanzania, na ule wa kusindika gesi
katika Kanda ya Ziwa na Kanda ya kutokana na kampuni nyingi Mapinduzi Zanzibar walipata asilia kimiminika (LNG).
Kaskazini. zinazojihusisha na biashara ya vifaa mafunzo kuhusu uandaaji wa Pia tunatarajia kutoa mafunzo
Wakielezea kwa nyakati tofauti vya umeme jua kutokuwa na tovuti mikataba ya miradi mikubwa kama kwa wachimbaji wadogo wa madini
hivi karibuni mkoani Mwanza imekuwa ni vigumu kwa biashara ule wa gesi asili kimiminika (LNG) kuhusu njia sahihi za uchenjuaji wa
wadau mbalimbali wa vifaa vya zao kufahamika na watu wengi zaidi hasa kwa kuzingatia kuna ugunduzi madini na kuachana na matumizi
umeme jua kutoka katika mikoa ya mbali na kutumia vyombo vya habari wa gesi nyingi nchini. ya zebaki ambayo ni hatari kwa afya
Mwanza na Kagera wanaipongeza vilivyopo katika mikoa hiyo. Anaongeza kuwa mradi pia ulitoa zao, anasisitiza Nyanda
serikali kwa kuanzisha mfumo huo Naye Mkurugenzi Mtendaji mafunzo kuhusu utekelezaji wa Anaendelea kusema kuwa mradi
kwa kuwa utawezesha shughuli za kutoka kampuni ya Rex Energy, Dira ya Madini ya Taifa kwa wadau unatarajia kuzindua Dira ya Madini
kampuni zao kufahamika ndani Francis Kibhisa anaongeza kuwa mbalimbali kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa mwezi Aprili mwaka huu
na nje ya nchi na kupata wabia wa mfumo wa TREMIS ni mkombozi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. pamoja na kutembelea maeneo yote
kushirikiana nao katika bishara ya kwa wamiliki wa kampuni ndogo Pia mradi ulitoa mafunzo juu ya nchini ili kubaini maeneo ambayo
vifaa vya umeme jua. zinazojihusisha na vifaa vya umeme uandaaji wa maandiko ya uendelezaji hayafikiwa na huduma ya umeme.

Mtaalam kutoka
kampuni ya vifaa vya
umeme jua ya Zola,
Omary Raymond
(katikati) akielezea
shughuli za kampuni
yake kwa Mtaalam
kutoka Sehemu ya
Nishati Jadidifu-
Idara ya Nishati,
Wizara ya Nishati
na Madini, Mhandisi
Stephan Kashushura
(kulia). Kushoto ni
Msimamizi wa Mradi
wa Kuwajengea Uwezo
Wataalam wa Nishati
na Tasnia ya Uziduaji
(CADESE) chini ya
Wizara ya Nishati na
Madini, Paul Kiwele
katika ziara iliyofanyika
hivi karibuni mkoani
Shinyanga kwa ajili
ya kukusanya maoni
ya wadau wa nishati
jadidifu kama maandalizi
ya mfumo wa uhifadhi
data na utoaji taarifa
kwa ajili ya nishati
jadidifu (TREIMS)
Habari za nishati/madini

10 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Aprili 21 - 27, 2017

UZINDUZI WA BODI MPYA REA APRILI 19, 2017

01 05 07

02 06 PICHA 1 - 7

Waziri wa Nishati na Madini,


Profesa Sospeter Muhongo
(kushoto) akiwakabidhi vitendea
kazi, baadhi ya wakurugenzi wa
Bodi mpya ya Wakala wa Nishati
Vijijini (REA), wakati wa hafla ya
uzinduzi wa Bodi hiyo uliofanyika
mjini Dodoma.

03

04

Baadhi ya Wakurugenzi wa Bodi mpya ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na maofisa


mbalimbali kutoka wizarani na REA, wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Bodi hiyo
uliofanyika mjini Dodoma.
NewsBulletin 11
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Aprili 21 - 27, 2017
Habari za nishati/madini

12 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Aprili 21 - 27, 2017

1 Wachimbaji, Wafanyabiashara na Masonara


Wakubwa na Wadogo, Wenye Leseni za Madini
wanakaribishwa kushiriki kwa kuuza madini na
bidhaa zao.
2 Kutaku
Kutakuwepo na Mnada wa Serikali kwa Madini
ya Tanzanite na Madini Mengineyo ikiwa ni
pamoja na bidhaa za usonara (kama vile;
mikufu, pete na hereni).
3 Wanunuzi Wakubwa na Wadogo wa ndani na nje
ya nchi wanaohitaji kununua madini ya vito na
bidhaa za usonara wote mnakaribishwa.
4 Vigezo na masharti kuzing
kuzingatiwa
Maonesho haya yameandaliwa na:
WIZARA YA NISHATI NA MADINI kwa kushirikiana na CHAMA CHA WAFANYABIASHARA WA
MADINI TANZANIA (TAMIDA) na kudhaminiwa na; WILLIAMSON DIAMOND LTD (PETRA DIAMONDS) na NITRO EXPLOSIVES (T) LTD
Washiriki wote wenye nia ya kushiriki maonesho haya wanaombwa kuwasiliana na Ofisi za Madini (Wizara ya Nishati
na Madini) zilizopo nchini ama Meneja wa Maonesho kwa simu 0767498869 kwa ajili ya taratibu za kujisajili

Вам также может понравиться