Вы находитесь на странице: 1из 9

HABARI

HabariZAza
NISHATI
nishati&MADINI
&madini

NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Toleo No.172
Toleo No. 51 Limesambazwa kwa Taasisi
Limesambazwa kwana Idaranazote
Taasisi IdaraMEM
zote MEM Tarehe - 23-29 Januari , 2015Mei 19 - 25, 2017

Wabunge
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AZINDUA RASMI BODI YA TANESCO -Uk2
PROFESA MUHONGO AKATAA
KUSAINI LESENI YENYE
MASLAHI DUNI KWA MZALENDO
Waimwagia sifa MEM, TANESCO, REA
Somahabari Uk.2

Waziri wa Nishati na Madini,


Profesa Sospeter Muhongo

UCHIMBAJI MAFUTA, GESI KILOMBERO


Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa
Naibu Waziri wa Nishati na
Madini, anayeshughulikia
Naibu Waziri wa Nishati na
Madini anayeshughulikia
Mkurugenzi Mtend-
aji wa TANESCO,
Mkurugenzi Mkuu wa
REA, Dk. Lutengano

KUANZA SEPTEMBA, 2017


Sospeter Muhongo Mhandisi Felchesmi Mwakahesya
Madini Stephen Masele Nishati, Charles Kitwanga Mramba UK
>>3

JWTZ wapongezwa kunusuru mtambo wa Msimbati-Uk4


Ofisi ya M awasiliano Serik alini inapokea habari za matukio mbalimbali
kwa ajili ya News Bullettin hii ya Wizar a ya Nishati na Madini
Ofisi ya Mawasiliano Serik alini inapokea habari za matukio mbalimbali
Wasiliana nasi Kitengo cha Mawasiliano kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263
kwa ajili ya News Bullettinau Fika hii
Ofisina Jarida laGhorofa
ya Mawasiliano Wizarya
a Tano
ya Nishati
(MEM) na Madini
Wasiliana nasi Kitengo cha Mawasiliano kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263
au Fika Ofisi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM) Barua pepe: badra77@yahoo.com
NewsBulletin
Habari za nishati/madini

2
http://www.mem.go.tz

Mei 19 - 25, 2017

Na Veronica Simba Profesa Muhongo akataa kusaini leseni


Dodoma
yenye maslahi duni kwa mzalendo

W
aziri wa
Nishati na
Madini,
Profesa Kwa upande wake, Kamishna
Sospeter Mchwampaka, pamoja na kuahidi
Muhongo amekataa kusaini kuzingatia na kutekeleza agizo la
ombi la uhamishaji wa leseni Waziri; aliwataka wawekezaji hao
ya uchimbaji wa kati wa kuzingatia kanuni na miongozo
madini ya Shaba, Namba mbalimbali ya uwekezaji kama
ML 571/2017 kutoka kwa inavyobainishwa katika Sheria ya
mtanzania David Stanley Madini ya mwaka 2010.
Kayongoya kwenda Kampuni Wawekezaji wengine waliokidhi
ya Mechanized Minerals vigezo na Leseni zao kusainiwa ni
Supreme Mining Company pamoja na ya Salim Mohamed Salum
Limited inayomilikiwa na raia inayohusisha uhamishaji wa leseni
kutoka China. tatu za uchimbaji wa kati wa madini
Profesa Muhongo alikataa ya Marble namba ML 566/2016
kusaini leseni hiyo yenye iliyoko Mumbwi wilaya ya Handeni,
ukubwa wa kilomita za mraba ML 567/2016 iliyoko Ulanga
0.43 katika eneo la Fufu Morogoro na ML 568/2016 iliyoko
wilayani Chamwino mkoani Kwenkambala Handeni mkoani
Dodoma, baada ya kubaini Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati), Tanga kwenda kampuni ya S & T
kuwa mtanzania anayetaka akizungumza na wawekezaji mbalimbali katika Sekta ya Madini,
waliowasilisha maombi ya kupatiwa leseni kwa ajili ya kuwekeza
Marble and Mining Limited.
kuhamishia leseni hiyo kwa Nyingine ni leseni namba
Raia wa China, hatanufaika katika sekta husika.
ML 577/2017 ya Mbarouk Saleh
kwa kiwango kinachoridhisha. raia wa China kujadiliana kwa mara manufaa mengine ambayo David Mbarouk, inayohusisha uchimbaji
Akizungumza na nyingine na mtanzania mwenye atapata, alielezwa kuwa ataajiriwa
wawekezaji mbalimbali wa wa kati wa madini ya Marble kwa
eneo husika (David), ili kuhakikisha katika kampuni hiyo kama kibarua, kipindi cha miaka 10 katika eneo
sekta husika, waliofika Makao ananufaika ipasavyo na uwekezaji huo. ndipo Waziri akakataa kusaini leseni
Makuu ya Wizara mjini la Mkuyuni Matombo wilayani
Ili niweze kusaini leseni hii, rudini husika. Morogoro.
Dodoma, kwa ajili ya kusainiwa
mezani, mzungumze na kukubaliana Ili kuhakikisha suala hilo Vilevile, leseni nyingine iliyosainiwa
leseni zao za uwekezaji, Mei
ili David aweze kunufaika. Hatuwezi linatekelezwa ipasavyo, Profesa ni ya Kampuni ya Tanzania Portland
15, 2017, Profesa Muhongo
alisisitiza kuwa ni lazima kukubali kuona watanzania Muhongo alimwagiza Kamishna wa Cement, namba ML 575/2017
wawekezaji katika sekta husika wakidhulumiwa namna hii, alisisitiza Madini nchini, Mhandisi Benjamin inayohusisha uchimbaji wa kati wa
wazingatie suala la maslahi ya Waziri. Mchwampaka, kujiridhisha kwa madini ya Limestone kwa kipindi
wananchi na Taifa kwa ujumla, Awali, ilielezwa kuwa mkataba wa kupokea ahadi za maandishi kutoka cha miaka 10 katika eneo la Wazo Hill
wakati wanapotekeleza kazi zao mauziano ya leseni husika unaonesha kwa mwekezaji yeyote anayeomba Wilaya ya Kinondoni. Ilielezwa kuwa,
za uwekezaji. kuwa David amepokea kiasi cha leseni, namna ambavyo atazingatia maombi ya leseni hiyo yanatokana na
Waziri Muhongo shilingi milioni 30 za kitanzania. maslahi ya nchi, kabla ya kumpatia leseni ya utafiti wa madini namba PL
alimwagiza mwekezaji huyo Waziri alipotaka kujua endapo kuna leseni anayoomba. 9416/2013.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati)


akikabidhi leseni ya uchimbaji wa kati wa madini ya Marble Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto),
iliyohamishwa kutoka kwa Salim Mohamed Salum (wa pili kutoka akimkabidhi Leseni ya uchimbaji wa kati wa madini ya chokaa,
kushoto) kwenda kwa wawekezaji wa kampuni ya S & T Marble and mwakilishi wa Kampuni ya Saruji ya Tanzania Portland Cement,
Mining Limited (kulia). Wa kwanza kushoto ni Kamishna wa Madini Richard Magoda (katikati). Kulia ni Kamishna wa Madini Tanzania,
Tanzania, Mhandisi Benjamin Mchwampaka. Mhandisi Benjamin Mchwampaka.
NewsBulletin 3
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Mei 19 - 25, 2017

UCHIMBAJI MAFUTA, GESI


KILOMBERO KUANZA
SEPTEMBA, 2017
TAHARIRI Na Mwandishi wetu, za awali za kijiolojia kwa kutambua aina

U
na sifa za miamba iliyopo na kuchukua
UTEKELEZAJI WA BAJETI chimbaji wa Mafuta na taarifa za mitetemo.
KWA MWAKA 2016/17 Gesi Asilia katika Kitalu Dkt. Kalemani alieleza kuwa, kutokana
na tafiti hizo, kampuni ilibaini uwezekano
UMELETA TIJA cha Kilosa- Kilombero
unatarajiwa kuanza mwezi wa kuwapo kwa mafuta na gesi asilia katika
Septemba 2017 mara baada eneo husika.
Hivi karibuni Wizara ya Nishati na Madini na Taasisi zake
ziliwasilisha kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ya utafiti kukamilika. Aidha, aliongeza kuwa, mwezi
Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2016/17. Hayo yalisemwa Bungeni mjini Februari, 2017, Serikali kupitia Shirika
Mengi yametekelezwa na Wizara na Taasisi zake katika Sekta za Dodoma tarehe 15 Mei, 2017 na Naibu la Maendeleo ya Petroli Tanzania
Nishati na Madini na mafanikio hayo hayapaswi kubezwa kwa kuwa (TPDC) ilianza kutoa elimu kuhusu
Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard
utekelezaji wake umewezesha wananchi na Taifa kupiga hatua. utafiti wa mafuta na gesi asilia na fursa
Kalemani wakati akijibu swali la Mbunge
Jambo hilo linajidhihirisha wazi tukianzia na mifano michache zitakazopatikana kwa wananchi wa
wa Mlimba, Susan Kiwango aliyetaka Mlimba hususan maeneo yanayozunguka
ikiwemo miradi ya Gesi Asilia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na
kujua ni kwa nini Serikali inafanya kimya Mradi huo.
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), hivi sasa takribani
asilimia 50 ya umeme kwenye Gridi ya Taifa unazalishwa kutokana kimya zoezi la utafiti wa mafuta na gesi Elimu hiyo ilihusu pia athari za
na gesi. Hii ni hatua kwa kuwa, upatikanaji na uwepo wa gesi asilia asilia katika Jimbo la Mlimba bila kutoa mazingira na ushiriki wa Wananchi katika
umewezesha Taifa kupunguza kiwango cha kuzalisha umeme kwa taarifa rasmi kwa wananchi juu ya zoezi Mradi pamoja na manufaa ya Mradi kwa
kutumia mafuta mazito ambayo ni gharama. hilo. Taifa,aliongeza Dkt. Kalemani.
Aidha, Miradi ya Umeme Vijijini inayotekelezwa na Wakala Dkt. Kalemani alisema kuwa, utafiti Pia alisema kuwa, eneo lililoainishwa
wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika la Umeme huo unafanywa na kampuni ya Swala kwa ajili ya uchimbaji wa kisima hicho lipo
Tanzania (TANESCO), imewezesha Watanzania kupata fursa za Energy na ulianza mwezi Februari 2012, katika kijiji cha Ipera Asilia katika Hifadhi
kutumia nishati ya umeme ambayo inatajwa kuwa kichocheo kikubwa ambapo kampuni hiyo ilianza kufanya tafiti Tengefu ya Bonde la Kilombero.
cha kuwezesha shughuli za kiuchumi, kijamii na maendeleo ya Taifa.
Akitangaza Takwimu mpya za kiwango cha utumiaji umeme
nchini, mnamo tarehe 20 Machi, 2017, Waziri wa Nishati na Madini
Profesa Sospeter Muhongo alisema kuwa, hadi kufikia Desemba,
2016 fursa ya kutumia umeme nchini (overall National acess level)
imeongezeka hadi kufikia asilimia 67.5 kutoka asilimia 10 ya mwaka
2007.
Aidha, Profesa Muhongo alisema kuwa, fursa ya kutumia umeme
vijijini kuwa imeongezeka kufikia asilimia 49.5 kutoka asilimia mbili
(2) mwaka 2007, huku fursa ya utumiaji umeme mijini ikiongezeka
hadi asilimia 97.3. Tunasema haya ni mafanikio kwa kuwa, ongezeko
hili linawezesha watanzania kupata fursa ya kujikita katika shughuli za
kiuchumi kwa kupitia nishati ya umeme.
Utekelezaji huu wa miradi ni hatua, mafanikio na maendeleo
kutokana na umuhimu wa nishati. Nishati ni muhimu kwa kuwa
inahitajika takriban katika kila sekta ikiwemo Afya, Elimu na
huduma nyingine. Ni wazi kuwa, kukosekana kwa nishati ya umeme
kunaweza kuchelewesha maendeleo katika jamii yoyote ile ikiwemo
kusababisha umaskini.
Aidha, kuzinduliwa rasmi kwa Awamu ya Tatu ya Mradi
Kabambe wa kupeleka umeme vijijini utapanua wigo na fursa za
Naibu Waziri wa Nishati na Madini,
utumiaji umeme jambo ambalo pia litawezesha azma ya Serikali ya
Dkt. Medard Kalemani
Mapinduzi ya Viwanda.
Vilevile, katika Sekta ya Madini mengi yametekelezwa. Tukianza
na machache ni suala la kuhakikisha kwamba wachimbaji wadogo
wanaendelezwa kwa kuwezeshwa kutoka uchimbaji mdogo kwenda KWA HABARI PIGA SIMU Five
wa Kati ikiwemo pia kutengewa maeneo ya uchimbaji. Katika hili, kitengo cha mawasiliano Pillars of
Reforms
TEL-2110490
tayari Wizara imetenga jumla ya hekta 38.567 katika maeneo 11
nchini kwa ajili ya uchimbaji mdogo.
Maeneo hayo yapo Msasa na Matabe Mkoani Geita, Biharamulo
na Kyerwa yaliyopo Mkoani Kagera, Itigi, Mkoani Singida, D- Reef,
Ibindi na Kapanda Mkoani Katavi, Ngapa Mkoani Songea, Nzega FAX-2110389 increase efficiency

MOB-0732999263
Mkoani Tabora na Kitowelo Mkoani Lindi. Quality delivery
Tunachukua fursa hii kupongeza Watendaji na Watumishi wa of goods/service
Wizara na Taasisi zake zote kwa utekelezaji wa Bajeti ya Wizara
kwa mwaka 2016/17 kwa mafanikio. Hii ni kutokana na juhudi
satisfAction of
the client
zilizofanyika kuhakikisha kuwa, Watanzania na Taifa wananufaika na Bodi ya uhariri
rasilimali za Nishati na Madini. satisfaction of
Aidha, kutokana na utekelezaji huo, Wizara inatarajia kuendeleza Msanifu: Lucas Gordon business partners
utekelezaji wa majukumu yake kupitia Bajeti ya Mwaka 2017/18 Waandishi: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson
kutokana na miradi na mipango iliyoainishwa ambayo inalenga Mwase, Teresia Mhagama, Mohamed Saif, Rhoda James , satisfAction of
kuongeza tija zaidi kwa Taifa. Nuru Mwasampeta na Zuena Msuya shareholders
Habari za nishati/madini

4 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Mei 19 - 25, 2017

MAHAFALI YA NNE KITUO CHA


JEMOLOJIA KUFANYIKA MEI 19,2017

W
ahitimu wa Kamishna wa Madini Tanzania, mafunzo hayo kwa sasa hutolewa
awamu ya Nne Mhandisi Benjamin Mchwampaka, kwa wanawake watanzania tu ili
wa mafunzo amesema kuwa, kuanzishwa kwa kuwawezesha kujiinua kiuchumi.
ya ukataji na Kituo hicho ambacho huendesha Mafunzo hutolewa kwa muda
uongezaji mafunzo husika, ni moja ya wa miezi sita darasani (nadharia) na
thamani madini ya vito katika Kituo mafanikio makubwa katika Sekta ya mwezi mmoja wa mafunzo kwa
cha Jemolojia Tanzania (TGC), Madini nchini. vitendo.
wanatarajiwa kufanyiwa mahafali Akifafanua zaidi, Mhandisi Aidha, ameeleza kuwa, mafunzo
Mei 19, 2017 jijini Arusha. Mchwampaka amesema kuwa, hayo hutolewa bure kwa wahusika
kwa ufadhili wa Mfuko maalum
unaochangiwa na wafanyabiashara
mbalimbali wa madini nchini.
Kuhusu suala la ajira kwa
wahitimu wa mafunzo husika, Kamishna wa Madini Tanzania,
Kamishna Mchwampaka amesema Mhandisi Benjamin Mchwampaka
kuwa Serikali inaangalia uwezekano
wa kuwawezesha kwa kuwanunulia
vitendea kazi kupitia vikundi vya Nishati na Madini, Dk. Mhandisi
ujasiriamali watakavyounda ili Juliana Pallangyo.
waweze kujiajiri. Jumla ya wanawake 18
Mahafali hayo ya nne kutoka mikoa mbalimbali nchini
yanatarajiwa kuhudhuriwa na watatunukiwa vyeti vya kuhitimu
viongozi mbalimbali wa Serikali, mafunzo hayo ambapo watafanya
ambapo Mgeni Rasmi atakuwa idadI ya wahitimu kutoka
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya kuanzishwa mafunzo hayo kufikia 65.

Je UNAJUA?
HABARI ZA
NISHATI NA
MADINI PIA
ZINAPATIKANA
KUPITIA

TOVUTI; https://mem.go.tz
Facebook; Nishati Na Madini
Twitter; @nishatiMadini
YouTube; Wizara ya Nishati na Madini

KWA PAMOJA, TUENDELEZE SEKTA ZA NISHATI NA MADINI.


NewsBulletin 5
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Mei 19 - 25, 2017

DKT. PALLANGYO AKIKAGUA MIRADI YA TEDAP JIJINI ARUSHA

Naibu Katibu Mkuu wa


Wizara ya Nishati na Madini,
anayeshughulikia Nishati, Dkt.
Mhandisi Juliana Pallangyo
(katikati) akiwa eneo la New
Kilitex kunapojengwa Kituo
kipya cha kupozea umeme
cha uwezo wa 15MVA.
Kituo hicho ni kati ya vituo 6
vitakavyojengwa jijini Arusha ili
kuimarisha upatikanaji umeme
wenye ubora na uhakika. Mradi
huo unatarajiwa kukamilika
mwezi Julai, 2017. Dkt.
Pallangyo alifika kituoni hapo
katika ziara yake ya kukagua
miradi ya Tanzania Energy
Development Expansion Project
(TEDAP). Wa pili kushoto
ni Mtaalam Mshauri, Calus
Peter, wengine katika picha
ni Wataalam kutoka Shirika la
Umeme Tanzania, (TANESCO).

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini


anayeshughulikia Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (Wa pili
kushoto), akiwa na Wataalam kutoka Wizara ya Nishati na Madini na
TANESCO wakiwa katika eneo ambalo linatarajiwa kujengwa kituo
cha Kupozea umeme utakaounganisha mfumo wa Gridi za umeme
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia kati ya Tanzania na Kenya. Wengine ni Mhandisi kutoka Wizara ya
Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (kulia) akitoa ufafanuzi kwa Nishati na Madini Erick Rugabera, Meneja Mwandamizi Mipango
Waandishi wa Habari kuhusu umuhimu wa miradi ya TEDAP katika na Mikakati kutoka TANESCO, Mhandisi John Kabadi, na Meneja
kuimarisha hali ya upatikanaji umeme nchini. Uwekezaji (TANESCO), Mhandisi Rwebangi Lutenganya.

Naibu Katibu Mkuu wa


Wizara ya Nishati na Madini
anayeshughulikia Nishati,
Dkt. Mhandisi Juliana
Pallangyo katika picha
ya pamoja na Watalaam
kutoka nchi za Uganda,
Burundi, Sudan Kusini,
Congo DRC, na Kenya.
Watalaam hao walishiriki
katika Mkutano wa
Kujadili Miradi ya Umeme
itakayoweza kutekelezwa
na Serikali kwa kushirikiana
na Sekta Binafsi. Mbali
na nchi hizo, mkutano
huo pia ulihudhuliwa na
Watalaam kutoka Benki ya
Dunia, Mtalaam Mshauri
kutoka Ufaransa na
Taasisi iliyo chini ya nchi
zinazozunguka Mto Nile
(NELSAP).
Habari za nishati/madini

6 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Mei 19 - 25, 2017


MAKALA
TMAA na Matokeo Chanya katika uimarishaji ukaguzi wa
uzalishaji na mauzo ya Madini ya Ujenzi na Viwandani
Na Teresia Mhagama ambayo hutumika kwa shughuli

W
mbalimbali viwandani ikiwemo
akala wa kutengeneza simenti.
Ukaguzi Mtendaji Mkuu wa Wakala
wa Madini huo, Mhandisi Dominic Rwekaza
Tanzania anaeleza kuwa shughuli za
(TMAA) ukaguzi wa madini hayo ya ujenzi
ulianzishwa tarehe 2 Novemba, na viwandani hufanywa kwa
2009. Lengo kuu la uanzishwaji kushirikiana na Ofisi za Madini za
wake likiwa ni kuhakiki kiasi Kanda katika Mikoa ya Arusha,
cha madini yanayozalishwa na Dar es Salaam, Dodoma, Geita,
kuuzwa na wamiliki wa leseni za Iringa, Kagera, Katavi, Kigoma,
uchimbaji/uchenjuaji wa madini; Kilimanjaro, Lindi, Manyara,
kukagua hesabu za fedha za migodi; Mbeya, Morogoro, Mtwara,
na kukagua shughuli za utunzaji Mwanza, Njombe, Pwani, Rukwa,
mazingira katika maeneo ya migodi. Ruvuma, Simiyu, Singida na Tanga.
Utekelezaji wa lengo hilo unalenga Anasema kuwa Wakala kupitia
katika kuhakikisha kuwa shughuli ukaguzi huo katika kipindi cha
za uchimbaji wa madini zinaleta kuanzia mwezi Julai 2016 hadi
manufaa kwa Serikali na wananchi kufikia Machi 2017, umewezesha
wake. Mrabaha stahiki wa kiasi cha Shilingi
TMAA si neno geni bilioni 4.5. Mrabaha huo unatokana
miongoni mwa Watanzania na na uzalishaji na mauzo ya Tani
wasio Watanzania kwani kazi milioni 9.73 za madini ya ujenzi na
zinazofanywa na Wakala huo viwandani yenye thamani ya Shilingi
zinajulikana ndani na nje ya nchi, bilioni 151.9.
jambo linalopelekea Taasisi za nje Mhandisi Rwekaza anazidi
ya nchi kuja kujifunza jinsi Wakala kufafanua kuwa Wakala pia hukagua
huu ulivyofanikiwa katika shughuli thamani ya madini ya ujenzi Dominic Rwekaza
za ukaguzi wa madini nchini. Baadhi yanayotumika kwenye ujenzi wa
ya mafanikio yaliyowezeshwa na barabara ambapo katika kipindi cha wa huduma (service levy) zilizolipwa kuongezeka.
Wakala ni pamoja na ongezeko la mwaka 2016/17 Wakala ulikagua kwa Halmashauri za Arusha, Aidha, wachimbaji na wauzaji
ukusanyaji wa mrabaha utokanao na miradi 9 ya Barabara katika Mikoa Wangingombe, Namtumbo, wa madini ya ujenzi na viwandani
uzalishaji na biashara ya madini ya ya Arusha, Manyara, Mara, Iringa, Tunduru, Nanyumbu na Nkasi. wanatakiwa kuhakikisha kuwa
ujenzi na viwandani nchini. Ruvuma, Dodoma, Mtwara na Kutokana na ukaguzi wa wanalipa mrabaha na stahiki zote za
Baadhi ya madini ya ujenzi Rukwa. madini hayo kuonyesha mafanikio Serikali kama zilivyoainishwa kwa
ambayo yanafahamika sana kwa Shughuli za ukaguzi huo katika makubwa, TMAA imejipanga mujibu wa leseni zao ili kuepusha
wananchi kutokana na kuyatumia miradi ya ujenzi wa Barabara kuendelea kuimarisha ukaguzi hatua mbalimbali wanazoweza
katika shughuli za kila siku za ujenzi zimewezesha kiasi cha Shilingi huo katika mwaka wa fedha wa kuchukuliwa kutokana na kwenda
ni mchanga, kokoto na kifusi. Aidha, bilioni 1.73 kulipwa Serikalini ikiwa 2017/2018 ili kuhakikisha kuwa kinyume na matakwa ya leseni
madini ya viwandani ni kama vile ni Shilingi bilioni 1.07 za mrabaha mchango wa Sekta ya Madini zilizotolewa kwa mujibu wa Sheria ya
chokaa, jasi na madini ya nakshi na Shilingi milioni 661.5 za ushuru kwenye Pato la Taifa unazidi Madini ya Mwaka 2010.

USIKOSE KUFUATILIA TAARIFA MBALIMBALI


ZA WIZARA YA NISHATI NA MADINI WAKATI
WA UWASILISHAJI WA HOTUBA YA BAJETI
YAKE BUNGENI TAREHE 25 NA 26 MEI, 2017
HOTUBA YA BAJETI ITAPATIKANA KUPITIA TOVUTI YA WIZARA KATIKA ANUANI
YA (www.mem.go.tz), na Tovuti za Taasisi zake. Pia katika kurasa za Facebook
(Nishati na Madini) na Twitter @nishatiMadini
NewsBulletin 7
Habari za nishati/madini

MAKALA
http://www.mem.go.tz

Mei 19 - 25, 2017

MIRADI HII YA UMEME VIJIJINI


ITAWEZESHA TANZANIA YA VIWANDA
Na Veronica Simba ni kuhakikisha tunakuwa na umeme kuwa ni kupeleka umeme kwenye katika mradi husika, yatafikishiwa

W
wa uhakika, unaotabirika na wa bei Taasisi zote za umma na nyingine miundombinu ya umeme
izara ya Nishati nafuu. zilizo rasmi hata kama siyo za umma. mkubwa unaolenga kuwezesha
na Madini Alisema, Serikali inatambua kuwa Taasisi hizo ni pamoja na wajasiriamali vijijini kupatiwa umeme
imeendelea wananchi walio wengi wanaishi Vituo vya Afya/Zahanati, Misikiti, utakaowezesha kuanzishwa kwa
na utekelezaji vijijini ndiyo maana Bajeti ya Wizara Makanisa, Masoko, Shule pamoja viwanda vidogo vidogo na vikubwa
wa miradi ya ya Nishati na Madini ambayo inaishia na Taasisi nyingine muhimu. Pia, kwa gharama nafuu.
umeme vijijini kwa kasi. Baada ya mwezi wa sita mwaka huu, fedha kwenye mitambo ya maji, alifafanua. Viongozi mbalimbali katika mikoa
utekelezaji wa awamu mbili za miradi zake nyingi zilipelekwa kwenye Aidha, aliwashukuru wananchi ambako miradi ya umeme vijijini
ya umeme vijijini kupitia Wakala wa miradi hususan ya umeme vijijini. kuitikia Mradi huo wa Serikali ambao inatekelezwa, wakiwemo Wakuu
Nishati Vijijini (REA I & II), sasa Maelezo hayo ya Profesa alibainisha kuwa utatekelezwa wa Wilaya na Wabunge, wamekuwa
uzinduzi wa mradi kabambe wa Muhongo, yanaungwa mkono ndani ya kipindi cha miaka minne wakitoa maoni mbalimbali kuhusu
umeme vijijini awamu ya tatu (REA na Naibu Waziri, Dkt Kalemani. hadi mitano. Hata hivyo, aliwataka uzinduzi wa Mradi Kabambe wa
III), umefanyika katika maeneo Aidha, Naibu Waziri, akiwa katika wananchi kuutumia umeme Usambazaji Umeme Vijijini Awamu
mbalimbali nchini. uzinduzi wa mradi huo katika mikoa watakaounganishiwa katika shughuli ya Tatu (REA III) katika maeneo yao.
Tumeshuhudia Waziri wa ya Mara na Dodoma, alifafanua mbalimbali za kiuchumi. Katika hafla ya uzinduzi wa
Nishati na Madini, Profesa Sospeter zaidi kwa kubainisha malengo ya Tunapenda sana umeme huu REA III iliyofanyika kijijini Mkwese,
Muhongo na Naibu wake, Dkt. REA III ambapo alisema kuwa utumike kwenye shughuli za kilimo wilayani Manyoni, Mkuu wa Wilaya
Medard Kalemani wakizindua REA lengo la kwanza la Mradi huo hususan kilimo cha umwagiliaji, ya Ikungi, Miraji Mtatulu, alikiri
III katika mikoa mbalimbali, ikiwemo kabambe ni kupeleka umeme kwenye kuendeshea mitambo ya maji, lakini kufurahishwa na Mradi huo wa
Tanga, Pwani, Dodoma, Mara, vitongoji vyote ambavyo vijiji vyake hata kuanzisha viwanda vya kati ili usambazaji umeme kwa wananchi
Singida, Iringa, Songwe, Mbeya na vimeshapata umeme. kukuza uchumi wetu. Tunaamini wa vijijini kwani upatikanaji wa
Shinyanga. Katika Mradi wa REA II, kuwa umeme huu utakuwa umeme wa uhakika utasaidia
Akizindua REA III kijijini tulikuwa tunapeleka umeme katika kichocheo kikubwa katika kusukuma kuongeza thamani ya mazao ya
Mkwese, Wilaya ya Manyoni, Kituo tu cha Kijiji, siyo Kijiji chote. maendeleo, alisisitiza. wakulima.
hivi karibuni, Profesa Muhongo REA III itafika katika vitongoji Katika uzinduzi wa Mradi Kwa upande wake, Mkuu wa
alisema kuwa dhamira ya Serikali ni vyote. huo katika maeneo mbalimbali, Wilaya ya Singida, Elias Tarimo
kuhakikisha inaondoa umaskini wa Naibu Waziri alitaja lengo Mkurugenzi Mkuu wa REA, alimweleza Waziri Muhongo kuwa
wananchi kwa kuwapatia huduma jingine la REA III kuwa ni kupeleka Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, wananchi wake wanashukuru na
muhimu ikiwemo Umeme. umeme kwenye vijiji vyote ambavyo amekuwa akizikumbusha Serikali kupokea kwa moyo mkunjufu
Injini mojawapo nzuri na havijapata umeme. Sambamba na za Kata na Vijiji kubainisha maeneo awamu ya Tatu ya utekelezaji wa
muhimu ya kuondoa umaskini wetu hayo, alibainisha malengo mengine maalum ya viwanda ambayo >>InaendeleaUk. 8

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati),


akibonyeza kitufe maalum, kuashiria uzinduzi rasmi wa Mradi
Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA III), Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (katikati),
kwa Mkoa wa Singida. Wanaoshuhudia (kutoka kushoto) ni Kaimu akifurahia pamoja na baadhi ya wabunge wa Mkoa wa Mara,
Mkuu wa Mkoa wa Singida ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati
Manyoni, Geofrey Mwambe, Mbunge wa Manyoni Mashariki, Daniel na Madini, Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Mwalimu Lydia Bupilipili na
Mtuka, Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Katarina Rangnitly, wananchi, baada ya kukata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Mradi
Balozi wa Norway nchini, Hamme-Hanie Kaarstad na Mwenyekiti wa wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) kwa Mkoa wa Mara.
Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Dkt. Gideon Kahunda. Uzinduzi ulifanyika katika Kijiji cha Mariwanda, Wilaya ya Bunda.
Habari za nishati/madini

8 MAKALA NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Mei 19 - 25, 2017

MIRADI HII YA UMEME VIJIJINI


ITAWEZESHA TANZANIA YA VIWANDA
>>Inatoka Uk. 7 vidogo vidogo, vya kati na vikubwa, upatikane haraka zaidi ili wananchi havijapata umeme, Vijiji 7,697
Mradi wa REA. hivyo kurahisisha upatikanaji wa waanze kufanya kazi za uzalishaji. vimepangwa kupatiwa umeme wa
Mradi huu utaleta mapinduzi ajira. Aidha, utatusaidia kupunguza Tutengeneze ajira vijijini. gridi na Vijiji 176 pamoja na Visiwa,
uharibifu wa mazingira ikiwemo Mkurugenzi Mkuu wa REA, vitapatiwa umeme wa nje ya gridi
katika nchi yetu hususan maeneo ya
kukata miti kwa ajili ya matumizi ya Mhandisi Nyamo-Hanga, anasema
vijijini na hii ni hatua ya utekelezaji kwa kuwa ndiyo njia muafaka ya
kupikia. kuwa, Mradi Kabambe wa
wa ujenzi wa nchi ya viwanda, kuvipatia umeme kwa sasa.
Kusambaza Umeme Vijijini Awamu
alisema Tarimo. Naye Mbunge wa Tarime Vijijini, ya Tatu, unalenga kufikisha huduma Jitihada hizi zinazofanywa na
Alifafanua kuwa, kupitia umeme John Heche, akizungumzia miradi ya umeme kwenye vijiji 7,873 katika Serikali, zinapaswa kupongezwa.
huo, wana-Singida wataweza kujenga ya umeme vijijini, anasema kuwa, Wilaya na Mikoa yote ya Tanzania Aidha, wananchi walio katika
viwanda vidogo vidogo vya shughuli Nishati ya umeme ni muhimu sana Bara ambavyo bado havijafikiwa na maeneo ambako miradi ya
mbalimbali kuanzia usindikaji wa kwa maendeleo ya watu. Kitu pekee umeme. umeme inatekelezwa wanapaswa
mazao hadi uchakataji wa bidhaa kinachoweza kuwafanya wananchi Kwa mujibu wa taarifa ya maeneo kuchangamka kwa kuutumia
nyingine ambazo zinapatikana katika wasihame kutoka vijijini kwenda rasmi ya kiserikali kutoka Ofisi ya
vijiji vyao. umeme katika shughuli mbalimbali
mjini ni umeme. Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, za kujiongezea kipato. Viwanda
Ninafurahi kuona fursa kama Mitaa (TAMISEMI), Tanzania Bara
Nyabaganga Taraba, anasema hii kwa wananchi wetu kupelekewa ina Vijiji 12,268 ambapo kati yake, vidogo-vidogo na vya kati
kuwa Serikali ya Awamu ya umeme vijijini ili waweze kufanya vilivyofikiwa na umeme hadi Juni vianzishwe sasa huko vijijini ambako
Tano ni ya Viwanda. Umeme kazi za uzalishaji kule vijijini. 2016 ni 4,395 sawa na asilimia 36. ndiko kunakopatikana rasilimali
utatusaidia kuanzisha viwanda Naishauri Serikali isimamie umeme Kati ya Vijiji 7,873 ambavyo mbalimbali.

Sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) katika maeneo
mbalimbali hivi karibuni.
NewsBulletin 9
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Mei 19 - 25, 2017

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


WIZARA YA NISHATI NA MADINI

WAKALA WA NISHATI VIJIJINI

TAARIFA KWA WAKANDARASI WALIOSHINDA ZABUNI ZA


KUTEKELEZA MRADI KABAMBE WA KUSAMBAZA UMEME
VIJIJINI AWAMU YA TATU (TURNKEY III)

DAR ES SALAAM, TANZANIA


Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umekamilisha taratibu za zabuni kwa ajili ya
utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (Turnkey
III). Mradi huu unahusisha kupeleka umeme wa gridi kwenye Vijiji 3559 katika Mikoa 25
ya Tanzania Bara. Hatua zinazofuata ni Wakandarasi walioshinda kupewa barua za tuzo
(Award Letters) na kusaini mikataba kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa Mradi.

Utoaji wa barua hizi unafuatia kukamilika kwa mchakato wa kuwapata wazabuni


watakaotekeleza mradi huo uliogawanywa katika mafungu (Lots) 29. Wazabuni
wanaopewa barua wanatakiwa kukamilisha vigezo na masharti yaliyotajwa katika barua
za tuzo kabla ya kusaini mikataba ya utekelezaji wa Mradi.

Aidha, Wakala umeandaa Mkutano maalum kwa Wakandarasi kwa ajili ya


kuwakabidhi barua za tuzo (Award Letters). Mkutano huo utafanyika tarehe 18 Mei 2017
kuanzia saa 8 mchana katika Ukumbi wa Hazina uliopo katika Manispaa ya Dodoma.

Wazabuni wote walioshinda wanatakiwa kushiriki katika Mkutano huu.

Imetolewa na:
Mkurugenzi Mkuu
Wakala wa Nishati Vijijini (REA)
Barabara ya Sam Nujoma, 14414
S. L. P 7990, Dar es Salaam.
Simu +255 22 2412001/2/3, Barua pepe: info@rea.go.tz

Kwa wadau wa sekta za Nishati na Madini, tembelea kurasa mpya za Wizara kwenye Mitandao
ya Kijamii ya Twitter na Facebook kwa anuani ya Nishati na Madini Karibu tuhabarishane na
tujadili kuhusu sekta za Nishati na Madini kwa maendeleo ya Watanzania wote.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Вам также может понравиться